Nkwesa Makambo
JF-Expert Member
- Aug 26, 2011
- 4,763
- 1,320
Mungu anajua kila kitu au kuna vitu hajui?
Mkuu wangu usitegemee jibu toka kwa Kiranga. Ulichouliza hakipo katika Yale aliyokariri...
Sielewi anawaza nini kusema kwamba kutomwambia sababu za Mungu kuumba kwa kadri ya hitaji la Kiranga
Tukimwambia Mungu ametushirikisha katika Uumbaji wake kwa kutuma hekima na busara za namna ya kuishi katika ulimwengu ambao wapumbavu kina Kiranga wanao mapungufu wanayoyaona katika upofu wao wa kiroho yanawathibitishia kutokuwepo kwa mungu.
Ni ngumu kwa MTU mwenye busara kuwaelewa hawa jamaa na kufahamu ni shida gani inawakabili ...
Do illogical question deserve a logical answer?
1. Kiranga anadai kuwa hakuna Mungu
2. Kiranga sasa anadai kuwa Mungu anajua kila kitu
3. Kiranga anaendela kudai kuwa Mungu kuna vitu hajui
Je, unwezaje kuuliza swali kuhusu Mungu ambaye hayupo?
©@ishmael
Kabla ya kusema mungu katuahirikisha, thibitisha kwamba yupo.
You are putting the horse before the cart.
Maisha yako yote hujawahi kusikia kitu kinaitwa "immanent critique".
Google it.
Mungu anajua kila kitu au kuna vitu hajui?
Maelezo yote hayo niliyotoa unakuja kuuliza swali hilo tena mkuu?
Mungu anajua kila kitu.
Maelezo yote hayo niliyotoa unakuja kuuliza swali hilo tena mkuu?
Mungu anajua kila kitu.
Nilikuwa namaanisha hoja yako ya kwanini kaumba ulimwengu usioupenda Mimi ninaelewa hekima na busara alizoweka kwa binadam ni kwa ajili ya maarifa ya kuishi kwenye ulimwengu huh na kukabili changamoto zake.
Hilo la kutaka uthibitishiwe kwamba yuko. Hiyo ni default position yako ambayo hakuna jibu linaloweza kukuondoa kwenye msomamo huo na kariri hizo.
Is "immanent critique " religious or scientific ?
Inakuwaje anaghairi alilopanga kufanya kama alijua kila kitu?
Mkuu kwanza kabla ya kuendelea,maelezo yangu Je,maelezo yangu ya hapo awali yameeleweka?tena hasa kuhusu maovu.
Unaweza kuwa na misingi ya uumbaji wa mungu isiyo katika misingi ya mungu?
Sheria iliyo kinyume na katiba ikipitiwa na wanazuoni itapona?
Inakuwaje mungu anaghairi alilopanga kufanya kama alijua kila kitu?
Sijakuelewa mkuu rahisisha maelezo ili twende sawa.
Hayo ndiyo yaliyorahisishwa, nikirahisisha zaidi nitatuma post haina kitu.
Ambacho hujaelewa kipi?
Unaweza kujibu maswali?
Na kwa nini uanze kuona umuhimu wa kuelewa leo kwangu wakati unamuamini mungu usiyemuelewa wala kuweza kumuelezea?
Kughairi kupi huko unakopazungumzia?
"He was sorry that He had made man on the earth, and He was grieved in His heart," (Gen. 6:6)
Mungu alipoleta gharika alihuzunika kwa nini kaumba binadamu, akasononeka.
Mungu akaipiga dunia gharika.
Mungu mjuzi wa yote imekuwaje ahuzunike na kusononeka kwa kiumbe alichokiumba yeye mwenyewe mpaka kughairi kuendeleza dunia kama ilivyokuwa na kuipiga gharika?
Ina maana alivyoumba dunia hakujua kwamba hivyo ndivyo itakavyokuwa?
Mungu anayejua yote na kuweza yote atasononekaje? Atahuzunikaje wakati anajua yote na kuweza yote? Kipi kitakuwa kipya kwake mpaka kimsononeshe na kumhuzunisha?
Assumption yako ni kwamba huzuni ya Mungu ilimfika sababu hakujua wanadamu wata behave vipi??????
Kwa nini unafikiri ni assumption?
Na huzuni ilimfikia vipi?
Na vyovyote vile itakavyomfikia, mungu mwenye uwezo wote na ujuzi wote anafikiwaje na huzuni?