You are putting the horse before the cart.
Unasema kuna uhusiano kati ya kifo na mungu kabla hata hujathibitisha mungu yupo.
Thibitisha mungu yupo kwanza kabla ya kuforce uhusiano wa kifo na mungu.
Unaweza kuthibitisha mungu yupo?
Unaweza kuthibitisha kutokuwa na uwepo wa Mungu bila kuangalia kwanza kama Mungu ana Upendo au hana?
Upendo na uwezo wote hizo ni sifa zake kama lilivyo swala la kifo.
Kutokuwepo hakuthibitishiki.
Unaweza kunipa alama za vidole za mwizi ambaye hayupo na wala hajawahi kuwepo?
Ulipojifunga ktk hilo swali lako ni hayo masharti ya huyo mwizi, kwama "hayupo na hajawahi kuwepo".
Sasa mie nimekwambia kuwa Mungu yupo na ndiyo nikakwambia wewe unayesema hayupo uthibitishe kutokuwepo kwake(baada kukataa ishara zenye kujulisha uwepo wake)
Kabla ya kusema yupo, toa uthibitisho kwamba yupo.
Uthibitisho upo ktk kitabu chake.
Labda kati yenu pengine kuna mmoja hajui udhibitisho ni nini? Na upo katika aina ngapi?
Mkilijua hilo mtaelewana mapema kuliko mnavyozid kurudia maneno yale yale tokea awali
I am in a deep thoughts,Is God really fair?
For instance...how come mtu unajitunza for so long timeas as a woman or a man)then it reaches a point unadecide kuwa na maisha...you open up your heart to sb...you give him/her everything full committed then what you get in return ni maumivu yasiyoeleweka na HIV juu
Kinachosikitisha ni kuwa....wale ambao ni waru waru,are enjoying life to the fullest...IS GOD REALLY FAIR?
NISAIDIENI cause spmetimes i do fail to explain
Kiabu gani?
Kilichosema ana uwezo na upendo wote, kisha kaumba ulimwengu ambao utasababisha awachome viumbe wake mwenyewe moto wa milele?
Hivi hili linaingia akilini na kukubalika kweli?
Kitabu gani hicho? Na kimeuzungumziaje huo upendo?
Kiabu gani?
Kilichosema ana uwezo na upendo wote, kisha kaumba ulimwengu ambao utasababisha awachome viumbe wake mwenyewe moto wa milele?
Hivi hili linaingia akilini na kukubalika kweli?
Kungia akilini mwa MTU inategemea mambo mengi.
1. Je ? MTU mwenyewe anayo hiyo akili ya kuweza kuelewa na kuingiza uelewa kihusu Upendo wa Mungu.
2.Je ? Anaelewa maana ya Upendo kwa kadri unavuozungumziwa kwamba ni Upendo wa Mungu.
3. Je ? MTU mwenyewe uwezo wake wa kujiuliza mambo mbali mbali iwe ya kimwili (material) au ya Kiroho (spiritual )
4. Je? MTU mwenyewe akili ya kufikiri na kutafakari IPO au anayo lakini imeghoshiwa au anayo ya kumsaidia kukariri Tu na si kutafakari...
Sasa MTU Kama Kiranga ambaye anayoakili ya kukariri Tu ya kutafakari imeganda kwake ni ngumu Sana kutia akilini mambo ambayo kuyaelewa uanahitaji matumizi ya akili ya kujihoji na kuhoji.
Usimlaumu Mungu ni wewe wewe
Biblia na Quran.
Vimeuzungumzia upendo kama upendo wa kimungu, upendo wote.
Wewe ulifikirije?
Hujajibu swali.
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya na mateso yanawezekana wakati alikuwa na uwezo na sababu kuumba ulimwengu ambao mabaya na mateso hayawezekani?
Hujajibu swali.
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya na mateso yanawezekana wakati alikuwa na uwezo na sababu kuumba ulimwengu ambao mabaya na mateso hayawezekani?
You are putting the horse before the cart.
Kabla ya kusema nashindwa kumuelewa mungu ni nani, prove kwamba yupo.
Mungu akiwa hayupo, of course nitashindwa kumuelewa ni nani.
Hayupo.
Nitamuelewaje ni nani wakati hayupo?
Thibitisha kwamba mungu yupo.
Umahiri wa busara za mtu huonekana pale anapojadili na watu ktk mada tofauti.
Nadhani wewe hauko hapa Kuelewa bali ni kuleta ubishi usiokuwa na Tija na kupoteza muda wako na wangu.
Unarudia maneno km matangazo ya vifo. Hali ukitambua kuwa km ungeamua Kufikiri kidogo usingefanya hivyo. Na mada hii isingekuwa na mlolongo mrefu namna hii bila sababu za msingi.
Nadhani kwa mtu mwenye busara itakuwa si jambo la busara kuendelea Kujadili na wewe manake Umeziba njia zote za Uelewi.
Nakusikitia sana kiranga Kwa kumkana MUNGU aliyekupa nafasi ya kuuona Utukufu wake uliokuzunguka.
Ni masikitiko kuona kwamba Mpaka leo hii 2015 kuna baadhi ya binaadamu wanakubali kabisa kuwa wao wako hapa duniani na kila kitu kinachowazunguka vyote vimekuwepo hapa kwa BAHATI NASIBU (Chance).
Nakutakia mjadala mwema.