Nkwesa Makambo
JF-Expert Member
- Aug 26, 2011
- 4,763
- 1,320
Mkuu kwema? Pokea Baraka tele za Mwaka huu mpya! Huyo jamaa ni mtambo huo!
Where did you get this definition that
PERFECT means (NO NEED OF ANYTHING)?
Help me with the name of that Dictionary! Is it italian one?
chinese! Or Perhaps the Indian one!
Tell me where can i find that definition please.
I found this in Oxford English dictionary.
perfect
Definition of perfect in English:
ADJECTIVE
Pronunciation: /ˈpəːfɪkt /
1Having all the required or desirable elements, qualities, or characteristics; as good as it is possible to be:
1.she strove to be the perfect wife.
2.life certainly isnt perfect at the moment.
Hahahahahaaaaa .....
Mkuu upo?
Ling time sana aisee ....!!
Amen Mkuu! Wamezoea uji wakilishwa dona wanarusha miteke! Ndio TUMEANZA!Kwema Mkuu, nimetoka jela ya mwezi mzima kwa kumkera Shetani.Amen. Mwaka huu uwe wa heri kwetu sote ili tuitumikie kweli kwa Furaha na amani...
Hakuna mungu kama yupo lete ushahidi wa uwepo wake.Mbona hoja inaeleweka!
Mie hapa chenga tu....
Hakuna mungu kama yupo lete ushahidi wa uwepo wake.Mbona hoja inaeleweka!
Ukisema "Hakuna Mungu" ni kwamba umefunga milango ya kutafakari umebaki Kama nguruwe Tu huwezi jifunza chochote kuhusu Mungu.
Pole msomi
Rafiki usiende mbali kiasi hicho.
Hebu naomba utusaidie maana ya Kifo kwanza.
Hivi kifo hasa ni nini?
Na km hilo swali ni gumu hebu nisaidie maana ya Busara (intelligence) na je! Unaweza Kutuonyesha hivyo viwili hapo juu the same way Unavyotaka kumuona Huyo MUNGU?
Naomba jibu tafadhali.
Rafiki usiende mbali kiasi hicho.
Hebu naomba utusaidie maana ya Kifo kwanza.
Hivi kifo hasa ni nini?
Na km hilo swali ni gumu hebu nisaidie maana ya Busara (intelligence) na je! Unaweza Kutuonyesha hivyo viwili hapo juu the same way Unavyotaka kumuona Huyo MUNGU?
Naomba jibu tafadhali.
Amelivamia Gari litembealo kwa mbele huyo.................Teh teh teh..........!!!Sijaanza, mleta mada ndo kaanza.
Mimi nimemjibu tu.
Suala hapa ni kuthibitisha kuwapo kwa mungu.
Hata aliyeulizwa hayo kuhusu kifo ni nini na busara ni nini akisema hajui, kutokujua majibu ya maswali hayo hakuthibitishi kuwapo kwa mungu.
Kwa hivyo, swali lako liko nje ya maswali yanayoweza kutusaidia kujua kama mungu yupo au hayupo.
Sasa Rafiki kiranga Kama Huyo muulizaji Anashindwa kujua KIFO ni nini, kitu ambacho kinatokea mbele ya mwacho ya Binaadamu.
Na anashindwa kujua kuwa Busara(intelligence) ni nini kitu ambacho binaadamu wengi na wanyanya wengi wanacho.
Hivi kweli unategemea Mtaweza Kuelewa MUNGU NI NANI?
Wapi ktk Historia ya Mwanaadamu Ukaona mwanafunzi wa Darasa la Sita anafundishwa sighns and algorithm?
Hebu jaribuni kuanza na Basic kwanza muone mtafika wapi ,
Mkiweza kutambua mambo madogo km KIFO, INTELLIGENCE and So on then kisha Muingie kwenye Maswali km haya ya Kutaka KUMJUA MUNGU NI NANI.
One step at a time.
Km wewe umeshakubali kuwa HATA KIFO Hujui ni Nini.
Sasa anzia hapo kwanza.
You dont need to overload your head with a lot of stuff. You might ending up hating yourself.
Suala hapa ni kuthibitisha kuwapo kwa mungu.
Hata aliyeulizwa hayo kuhusu kifo ni nini na busara ni nini akisema hajui, kutokujua majibu ya maswali hayo hakuthibitishi kuwapo kwa mungu.
Kwa hivyo, swali lako liko nje ya maswali yanayoweza kutusaidia kujua kama mungu yupo au hayupo.
Hakuna mungu kama yupo lete ushahidi wa uwepo wake.Mbona hoja inaeleweka!
You are putting the horse before the cart.
Kabla ya kusema nashindwa kumuelewa mungu ni nani, prove kwamba yupo.
Mungu akiwa hayupo, of course nitashindwa kumuelewa ni nani.
Hayupo.
Nitamuelewaje ni nani wakati hayupo?
Thibitisha kwamba mungu yupo.
Perfect is nothingness.
Once you deviate from nothingness, you defile perfection.
Another reason why your god is an illusion.
Mtu kakupa challenge (Hakuna mungu) halafu kakuachia mlango wazi muendelee kujadiliana ili kama una uwezo wa kumbadilisha mawazo umbadilishe (kama yupo thibitisha) halafu unasema kafunga milango ya kutafakari.
Hapo wewe ndiye umefunga milango ya kutafakari.
cc Free ideas
Hapana,huwezi kutoa majibu ya kirahisi kiasi hicho. Kifo ni jambo ambalo linatambulika na kila mtu na hakuna njia ya kukwepa kifo,ni fumbo kwetu na hakuna anayejua ni lini atakumbwa na kifo,ni jambo ambalo liko nje ya uwezo wetu si jambo la kirahisi kama unavyotaka kulichukulia.
Sasa Mungu tunayejadili uwepo wake ndiye anayesema yeye ni mwenye kutoa uhai kwa kiumbe na ndiye mwenye kuchukua huo uhai(kifo). Hiyo ni sifa yake pekee hakuna mwenye uwezo kama huo.
Kwahiyo hiyo ni sifa yake kama sifa yake ya uwezo wote na ujuzi wote.
Hivyo huwezi kusema hata kidogo hili jambo la kifo liko nje ktk vitu vitakavyoweza kutusaidia kujua uwepo wa Mungu,wakati hili nalo ni jambo ambalo linyekufanya kuamini uwepo wa Mungu.