Is God fair ?

Is God fair ?

Kabla ya kusema "mungu anapofanya maamuzi yake..." thibitisha kwamba mungu yupo kwanza.

There is such a thing as putting the horse before the cart.

Kitu chenye mjadala hapa ni uwepo wa mungu.

Unatakiwa uthibitishe uwepo wa mungu.

Unathibitishaje kwa kusema "mungu anapofanya maamuzi yake wewe na mimi hatuna uwezo wa kumuuliza" wakati hata hujathibitisha kwamba yupo?

Vipi kama hiyo habari yako nzima ni changa la macho lililotungwa na binadamu tu, wakakwambia "mungu anapofanya maamuzi yake mimi na wewe hatuna uwezo wa kumuuliza" ili kulinda siasa zao?

Kama hatuna uwezo wa kumuuliza mbona mimi nishauliza swali hilo?

You are dead wrong to claim no evidence exists for God.

Do you really expect us to believe the vast majority of people reach a conclusion that God exists because no evidence exists?

Here is an outline of some evidences for God argued in world class debates. Nobody has defeated any one of them.

Contingency – God is the best explanation for why something exists contingently rather than nothing. Something cannot begin from nothing without a cause. Therefore, Something necessarily self-exists. Self-existence is logically necessary. A Universe from Self –creation is logically impossible. Our Universe began to exist. Our Universe is not self-existent. Our Universe requires a causally antecedent agency to explain it's existence. God does not – God has no beginning, but self-exists as prime.

Cosmological – Absolute beginning confirmed by Big Bang cosmology requires a causal agency. Cause of Physical Universe cannot itself be Physical. Must be non-physical, space-less, timeless and willful to cause Physical Universe from Physical Nothingness.

Design: Specified, ordered and integrated interdependencies aimed towards a third-purpose design objectives clearly infer intelligent agency. ‘Chance' events within limited time-frames cannot rationally account for Design achievements. No sufficient Naturalistic mechanisms or explanations. Intelligent purpose is far more plausible explanation. Origin of radically sophisticated DNA information (software) driving molecular highly sophisticated molecular machines within each cell. Also, the design inference from irreducible complexity cannot and certainly has not been adequately explained.

Precision FINELY TUNED constants and quantities present in initial conditions of the Universe to within infinitesimally narrow ranges to permit life. Universe is precision balanced on razor's edge. This is virtual mathematical proof of intent – a function of mind – is necessary to explain these precision orderings.

Ontological argument – God is a metaphysically necessary Being. Since God's attributes are metaphysically possible, and all metaphysical possibilities must also be actual if possible, God must be actual.

Intelligence in Nature: Intelligence, order and reason and information all from Nothingness?

Spiritual instinct of man: Evolved to connect with something not actual?

Free-will: Chemical causation is not free-will. Agency requires a soul.
Chemicals have no moral duties.

Moral Truth / Apprehension of Objective moral truth. Is rape really wrong or just an illusion? Is rape just a natural chemical byproduct caused by electrochemical activity (Atheism) – or an act of will.

Massive Historical evidences of witnessed Miracles, visions, fulfilled prophecies,.

Personal experiences: Ubiquitous NDE's, supernatural phenomena

Christ's resurrection witnessed by hundreds.

Absolute failure of Naturalism to explain a Finely tuned Universe, Finite Universe, Sentience, Rational truth and natural order, Moral Law (morality), intuition, intention, intelligence, purpose, free-will…
 
Kama hufahamu kwa nini mungu wako kafanya alivyofanya, humfahamu mungu wako.

Hata kama sifahamu sababu ya baba yangu kuwa baba yangu na sio baba wa Nyani Ngabu, hili haliondoi ukweli kwamba mpaka sasa hufahamu kwa nini huyu unayemuamini kuwa mungu kafanya alivyofanya.

Hilo linamaanisha hufahamu msingi wa muhimu kabisa wa imani yako.

Hilo linamaanisha, imani yako inawezekana kabisa kuwa potofu na wewe usifahamu hilo.

Not the best in choices of answers. I think anytime someone follows science or the Bible without questioning is not using their mind.

Non theism is incompatible with reason.
 
Nyerere alisema Wazanaki wanarithishwa mali za mjomba.

Kwa sababu mjomba wana uhakika undugu wake, wameona mama kakuzaa, wameona mjomba kazaliwa na mama yako.

Kwa baba hawajui nani ni baba wa nani.

Kama hujui kwa nini baba yako ni baba yako, utajuaje huyo ndiye baba yako na si baba wa kubambikiwa tu?

How hypocritical to give only these ridiculous choices which apply to almost nobody as answers and then call yourself "great thinker".

It's the sickest joke I've heard all day.
 
Kama hakuna uhusiano kati ya kifo na mungu, kwa nini umetaja habari yangu ya kutoelewa kifo ni nini kama kikwazo cha mimi kumtambua mungu?
Your questions are not particularly meaningful. Unless you prove to me that death exist.
 
Visivyopo havithibitishiki kwamba havipo.

Kwa sababu havipo ili kuthibitishika kwamba havipo.

Vilivyopo ndivyo vinathibitishika kwamba vipo.

Kwa sababu vipo, vinaweza kuthibitishika kwamba vipo.

Huwezi kupata alama za vidole za mwizi ambaye hayupo na hajawahi kuwepo.

Unaweza kupata alama za vidole za mwizi aliyewahi kuwepo.

Hivyo basi, swali linakugeukia wewe.

Unayesema mungu yupo.

Thibitisha kwamba mungu yupo.
What evidence is there that QM pre-existed the physical universe to cause the physical universe into existence? Which interpretation?
Otherwise, where did QM exist in a physical Universe that did not exist?

Explain how QM escapes causal necessity?

Explain how QM models the real world? Which interpretation?

Explain why anyone should believe classical space and time is not a real feature of the universe?
 
Nyerere alisema Wazanaki wanarithishwa mali za mjomba.

Kwa sababu mjomba wana uhakika undugu wake, wameona mama kakuzaa, wameona mjomba kazaliwa na mama yako.

Kwa baba hawajui nani ni baba wa nani.

Kama hujui kwa nini baba yako ni baba yako, utajuaje huyo ndiye baba yako na si baba wa kubambikiwa tu?

Wewe ulibambikiwa baba ? Humjui baba yako ?
Huoni unavyomkosea heshima mama yako ?
Ni Bahati mbaya Hana kitufe cha ignore list Kama unachotumia wewe !
 
Thibitisha kwamba mungu yupo, hata kwa uthibitisho wa kinadharia tu unaotumia mantiki bila kujikanganya.

What evidence is there that QM pre-existed the physical universe to cause the physical universe into existence? Which interpretation?
Otherwise, where did QM exist in a physical Universe that did not exist?

Explain how QM escapes causal necessity?

Explain how QM models the real world? Which interpretation?

Explain why anyone should believe classical space and time is not a real feature of the universe?
 
Kati yangu ninayetoa maswali kwa habari za mapokeo na kukariri vitabu vya dini, na wewe unayeshindwa kuyajibu maswali hayo nani anakariri?

Kama kweli una uelewa wa mambo mbona maswali yangu hunijibu?

Hata mfano wako mwenyewe huuelewi. Ukishatoa habari ya kufananisha matatizo ya maisha kuwa sawa na habari ya mtihani kwa mwanafunzi, umeshafananisha aliyeruhusu matatizo hayo na aliyeruhusu mtihani kwa wanafunzi.

Kwa wanafunzi mtihani unaletwa nawalimu wasio na uwezo wote wala ujuzi wote wala upendo wote, hivyo ukiuliza kwa nini wanaleta mitihani, wanaweza kusema wanataka kufundisha.

Huyo mungu anayeleta matatizo (sawasawa na mitihani) kashindwa vipi kufundisha viumbe vyake bila matatizo wakati ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?

Nitakubali vipi kabla ya kunijibu swali langu?

Imekuwaje mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aende kuumba ulimwengu ambao unawezekanika kufanyika mabaya ya kila aina?

Kiini cha yote ni uwepo wa mungu.

Uwepo wa mungu unaweza kupimwa kwa kuangalia nature yake mungu na kuilinganisha na dunia iliyopo.

Nature yake mungu ni mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na mwenye upendo wote.

Mungu kama huyu ana uwezo wa kuumba ulimwengu wowote, hata ulimwengu ambao mabaya hayawezekaniki.

Ulimwengu tunaouona mabaya yanawezekanika.

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, kiasi kwamba aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekaniki, kwa nini hakuumba ulimwengu huo na kaumba huu ambao mabaya yanawezekanika?

Hujajibu swali hili.

Unafikiri kujaza maneno kibao hapo ndiyo nitaona kuna jambo jipya hapo?

Narudia tena kwamba mfano wangu haukuwa na maana hiyo unayolazimisha wewe ilimladi tu tujadili vile utakavyo wewe.

Hoja yangu ni ileile tu kwamba huu ulimwengu umepatikana vp? Tukishajua hapo kwanza ndiyo tuanze mjadala.
 
Sasa mbona dunia hii haiakisi kwamba kuna mungu kama huyo?

The same earth doesn't even know you do exist. Consequently, you can not prove to me that you do exist.

I bet $100,000 US Dollar. Prove to me that you do exist.
 
Wewe ulibambikiwa baba ? Humjui baba yako ?
Huoni unavyomkosea heshima mama yako ?
Ni Bahati mbaya Hana kitufe cha ignore list Kama unachotumia wewe !

Kwa nini suala liwe mimi?

Mimi ni kinyangarika tu, niwe nimebambikiwa baba, sijabambikiwa, hilo halithibitishi uwepo wa mungu.

Unataka kumfananisha baba yangu na mungu?

Ndiyo mungu wako huyo? Yuko sawasawa na baba yangu?

Suala hapa ni kuthibitisha kuwapo kwa mungu.

Unajuaje kwamba mungu wako yupo?
 
Massive evidence and arguments for God exist.

Here is an outline of some evidences for God argued in world class debates. Nobody has defeated any one of them.

Contingency – God is the best explanation for why something exists contingently rather than nothing. Something cannot begin from nothing without a cause. Therefore, Something necessarily self-exists. Self-existence is logically necessary. A Universe from Self –creation is logically impossible. Our Universe began to exist. Our Universe is not self-existent. Our Universe requires a causally antecedent agency to explain it's existence. God does not – God has no beginning, but self-exists as prime.

Cosmological – Absolute beginning confirmed by Big Bang cosmology requires a causal agency. Cause of Physical Universe cannot itself be Physical. Must be non-physical, space-less, timeless and willful to cause Physical Universe from Physical Nothingness.

Design: Specified, ordered and integrated interdependencies aimed towards a third-purpose design objectives clearly infer intelligent agency. ‘Chance' events within limited time-frames cannot rationally account for Design achievements. No sufficient Naturalistic mechanisms or explanations. Intelligent purpose is far more plausible explanation. Origin of radically sophisticated DNA information (software) driving molecular highly sophisticated molecular machines within each cell. Also, the design inference from irreducible complexity cannot and certainly has not been adequately explained.

Precision FINELY TUNED constants and quantities present in initial conditions of the Universe to within infinitesimally narrow ranges to permit life. Universe is precision balanced on razor's edge. This is virtual mathematical proof of intent – a function of mind – is necessary to explain these precision orderings.

Ontological argument – God is a metaphysically necessary Being. Since God's attributes are metaphysically possible, and all metaphysical possibilities must also be actual if possible, God must be actual.

Intelligence in Nature: Intelligence, order and reason and information all from Nothingness?

Spiritual instinct of man: Evolved to connect with something not actual?

Free-will: Chemical causation is not free-will. Agency requires a soul.
Chemicals have no moral duties.

Moral Truth / Apprehension of Objective moral truth. Is rape really wrong or just an illusion? Is rape just a natural chemical byproduct caused by electrochemical activity (non theism) – or an act of will.

Massive Historical evidences of witnessed Miracles, visions, fulfilled prophecies,.

Personal experiences: Ubiquitous NDE's, supernatural phenomena

Christ's resurrection witnessed by hundreds.

Absolute failure of Naturalism to explain a Finely tuned Universe, Finite Universe, Sentience, Rational truth and natural order, Moral Law (morality), intuition, intention, intelligence, purpose, free-will…
 
Unafikiri kujaza maneno kibao hapo ndiyo nitaona kuna jambo jipya hapo?

Narudia tena kwamba mfano wangu haukuwa na maana hiyo unayolazimisha wewe ilimladi tu tujadili vile utakavyo wewe.

Hoja yangu ni ileile tu kwamba huu ulimwengu umepatikana vp? Tukishajua hapo kwanza ndiyo tuanze mjadala.

Huu ulimwengu hauwezi kuwa umepatikana kwa kuumbwa na mungu anayejua yote, anaye uwezo wote na upendo wote.

Kwa sababu una mapungufu makubwa sana kwa mungu kama huyo kuuumba.

Una mabaya mengi sana ambayo hayaendani na nature ya mungu kama huyo.

Imekuwaje mungu mwenye uwzo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao mabaya yanawezekanika wakati ana uwezo wote, ujuzi wote na uopendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekaniki?

Hujajibu swali hili.
 
Hana ubavu huo. Huyu ni mkaririshwa ambaye hana uwezo wa kusema zaidi ya aliyo karirishwa.

Umenena vyema mdau.

Nimeona ni shida kubwa kujaribu kumuelewesha mtu mwenye kuchagua kipi cha kufahamu.
 
What evidence is there that QM pre-existed the physical universe to cause the physical universe into existence? Which interpretation?
Otherwise, where did QM exist in a physical Universe that did not exist?

Explain how QM escapes causal necessity?

Explain how QM models the real world? Which interpretation?

Explain why anyone should believe classical space and time is not a real feature of the universe?

Hata nikisema sina majibu ya maswali yote hayo, hujathibitisha kwamba mungu yupo.

Pia, unajionyesha kwamba hujui kanuni za mjadala kwa kutuletea vifupi ambavyo havijaelezewa maana yake ni nini.

What is QM?
 
Huu ulimwengu hauwezi kuwa umepatikana kwa kuumbwa na mungu anayejua yote, anaye uwezo wote na upendo wote.

Kwa sababu una mapungufu makubwa sana kwa mungu kama huyo kuuumba.

Una mabaya mengi sana ambayo hayaendani na nature ya mungu kama huyo.

Imekuwaje mungu mwenye uwzo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao mabaya yanawezekanika wakati ana uwezo wote, ujuzi wote na uopendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekaniki?

Hujajibu swali hili.

Unaposema nature ya Mungu unamaana gani?

Ulimwengu umepatikana vp?
 
Umenena vyema mdau.

Nimeona ni shida kubwa kujaribu kumuelewesha mtu mwenye kuchagua kipi cha kufahamu.

Kati yangu ninayeuliza maswali msiyoweza kujibu na nyie mlioshikilia imani za dini ambazo hata kuuliza maswali zinakataza, nani kachagua nini cha kufahamu?
 
Huu ulimwengu hauwezi kuwa umepatikana kwa kuumbwa na mungu anayejua yote, anaye uwezo wote na upendo wote.

Kwa sababu una mapungufu makubwa sana kwa mungu kama huyo kuuumba.

Una mabaya mengi sana ambayo hayaendani na nature ya mungu kama huyo.

Imekuwaje mungu mwenye uwzo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao mabaya yanawezekanika wakati ana uwezo wote, ujuzi wote na uopendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekaniki?

Hujajibu swali hili.

Yes, any speculative multi-verse would also require an absolute beginning - according to BGV proof Theorem. You can't escape it God Hater.

Multi-verse speculations are not meant to escape the physical beginning. Committed Atheists contrived the multi-verse speculations as a last line of defense against the design inference from Fine Tuning confirmations of the 1970's. They needed an infinity of universes to increase the probabilistic resources necessary to defeat infinitesimal odds...thus the multi-verse speculation was concocted.

Unfortunately, even the multi-verse has serious problems with reason and mathematics. Roger Penrose of Oxford has determined that if such a multiverse existed, our universe would be vastly different from the universe we do observe.

Explain how QM escapes causal necessity?

Explain how QM models the real world? Which interpretation?

Explain why anyone should believe classical space and time is not a real feature of the universe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom