Is baby wipes safe for wiping vagina?

jamani kweli dunia hadaa na ulimwengu.........................
wewe kweli unakuja hapa kuweka fedheha za hao unaotembea nao
mjengoni hapa huna jipya la kuhelimisha hapa kweli maajabu

sasa ndugu yangu wewe ukiona mwenzio mchafu kwanini
umwambii kuwa akaoge kwanza ndiopo mmdo
halafu isitoshe na wewe ni mchafu pia uwezi kumfuta na hiyo wipe
ya watoto kwani hujasoma instruction wakati unanunua hiyo kitu
hujui kuwa imewekwa kwa matumizi wa ya watoto wadogo na sio.......
 
Hiyo sabuni sio kama unaweka huko ni kunawa mikono iwe safi kwanza kabla haijapelekwa huko kwenye naniliu.....
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

sabuni ya nini au hizo Wiper imekuwa kioo cha gari (windscreen)
watu tunaitaitaka hiyo harufu nyie mnaiondoa
Mummy Farkina wewe na warumi ni wageni na hizi Papuchi ukiiosha sana na udi mara marashi ya pemba mm ntakimbia

  • km ni ngeni unapiga Katerer* itasafika
  • km ni yakila siku ni kuigia chumvini tu itasafika
  • na Beberu la mbuzi mbona haliioshi
  • hivyo ndivyo ilivyoumwa kuwa na harufu yake nzuri ya asili ili abdalaa kichwa wazi asimame bila miguu
 
Last edited by a moderator:
siyo mbaya, ila kitaalam kabla na baada ya tendo unatakiwa usafishe kwa maji, halafu uache uzinzi Mungu hapendi.
 
...Wewe ni me ama ke? Maana nikisoma naona kama wewe ni ke.

Just curios!

Then ntakufahamisha kama inafaa ama la!
 
mmh cjawah skia hl...nina maswal meng hapa.1.wana nuka?wananukaje sasa?kwan b4 tendo c lazma muoge.?au wewe pua yako ina allergy na harufu ya uke?
2..hv wapo wangap?na y ucmwambie mum kuna tatzo hl.au nenden hospt labda ana fungus..
3..hv unavyo mfuta b4 tendo nae anakenua tu meno?hao gals wako nao vlaza nahc.
lastly hazina madhara..bt kwa ushaur kama dem wako hajaja na ktambaa nunua vtambaa vyeupe each for tendo 1.n b4 n aftr tendo take bath..bt naogopa kama unao weng itakuaje na hvyo vtambaa...behave stck na 1 gal.
 
Lakini zipo special kwa ajili ya Vgn intimate something, wife huwa anatumia sijawahi bother kusoma ile lebo ila kile kipakti ni rangi ya maroon hivi
 
Uuuuupsi wewe Nomaaaa...tatizo usafii tuuu
Kwann msioge kabla na baada ya tendo?? Najiuliza hao wassichana hawaoni aibu ???cjui una wanawake wangapi
 
Dah, mkuu mtandao wako mpana Kama pazia la sinema ee! Mana unadai 'baadhi ya wasichana unaofanya nao' Ina maana unao wengi!!! Pole mkuu
 
hizo ni ubatili tu hata kwa watoto bado hazijawa salama sana kwani wengi hulalamika zinawaachia watoto viharara..nadhani maji safi yanatosha kabisa
 
Kwani unachukuaga wale wa chapchap ama? maana wale muda wa kuoga sijui kama unakuwepo na hapo mmechukua rum parttime bas shughuli ya maharufu lazima.kwanini msitulie mpate kinywaji mle mshibe muoge safi.ndo muanze shughuli? sasa mtu kazunguka na kaskentaiti au kaskinjeans kutwa nzima harufu ya majasho na vimkojo then unafika rum tu na kuanza kuvuana nguo chap kitandani hapo utapona kweli? achana na baby wipes hizo we jiwekeni swafi..then cheza salama ndugu UKIMWI upo..
 
Ni wewe binamu au,hua unakutana na aina gani hao,lol halaf punguza idadi tulia na mmoja
Uke una harufu ile ya asili lakin ikizidi hapo ni kero.tulia na mpenzi mmojaa
 
Hiyo sabuni sio kama unaweka huko ni kunawa mikono iwe safi kwanza kabla haijapelekwa huko kwenye naniliu.....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
we wa Zanzibar au Tanga naona haujambo? mi wangu namuosha na sabuni plus test tube brash kwa kusugua every corner!
 
Ni wewe binamu au,hua unakutana na aina gani hao,lol halaf punguza idadi tulia na mmoja
Uke una harufu ile ya asili lakin ikizidi hapo ni kero.tulia na mpenzi mmojaa
hivi harufu yake ya asili ni ipi! mi kweli sijui kabisa!
 
Lakini zipo special kwa ajili ya Vgn intimate something, wife huwa anatumia sijawahi bother kusoma ile lebo ila kile kipakti ni rangi ya maroon hivi
ngoja kesho lunch time nitamuuliza kama kweli anayo maana alisema hazijui!
 
Ni kweli mkuu wampinji, na kama hilo siyo tendo la zinaa basi kwa jina lingine linaitwa tendo la NGONO!
Kwanza turekebishe maneno, tendo la ndoa hufanywa na wanandoa sio kila mtu ilimradi ametoboka katikati ya miguu! Hilo ni tendo la zinaa...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom