Is anyone getting this error on idm when trying to download youtube videos???

Cestus

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
987
131
HTTP/1.1 403 Forbidden...thats the error m getting guys....on two different computers!!
 
poa chif ila kuna ka wk ilikuwa haiplay.
Let try.
Nackia hawa jamaa sahv wanadownloader yao so huhtaj Idm

Hawawezi eka downloader labda iwe ina filter video maana kuna comercial video mule

Mfano enrique ingleas katoa nyimbo mpya then inaplay yote youtube ikiisha au chini kwenye description unaambiwa to buy this song click here so wakieka downloader watu si watadownload tu nani atanunua

Pia kustream movie ni cheap kuliko dvd youtube movie nyingi ni dola 1 hadi 2 wakati dvd zinaanza dola 10 so wakieka downloader si watashtakiwa?
 
kuna day nilijaribu ikakubal but now natumia zile proxy naona haifanyi kazi cjui inakuwaje?
 
yah hata Proxy zilizokua na zile custom Youtube Player haziplay sasa hivi. zinleta ile standard youtube player inyohitaji javascript iwe enabled
 
yah hata Proxy zilizokua na zile custom Youtube Player haziplay sasa hivi. zinleta ile standard youtube player inyohitaji javascript iwe enabled

Yap proxy wameziban

hebu cheki hii sjaitest lakini i think itaplay youtube 37.157.196.129
 
Back
Top Bottom