Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,378
- 33,551
kombora likifyatuliwa hulifuata roketi ama maroket yanakuja kupiga na kugongana nayo juu agani na hivyo kulipukia kulekule juu.
Kama wakiona roket zinazokuja kupiga zitadondokea eneo la wazi basi hawatafyatua makombora ya iron dome na wataliacha roketi lidondoke bila kuleta madhara.
Inatokea roketi ikapiga target ya makazi ujue kipindi hicho maroketi yalivyatuliwa kwa mpigo zaidi ya 12 kwahiyo wale wa kwenye iron dome watafyatua makombora yote 12 na kumaliza,wakati waku reload ama wakiweka kombora zingine kwenye launcher ndo roket zingine hupenya.