Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,450
- 10,804
Wadau,
Vita inayogonga vichwa vya habari duniani kwa sasa ni vita ya waisrael dhidi ya Hamas. Hamas walijiandaa muda mrefu sana kwa ajili ya vita hii na ndio maana mpaka sasa japo Israel wanatumia madege mazito kuwazimisha bado hawajafanikiwa kusimamisha urushwaji wa makombora na Hamas bado wanarusha maroketi ktk ardhi ya Israel. Tofauti na zamani, makombora ya Hamas yanapiga miji ya Israel na ile system ya waisrael ya kuzuia makombora maarufu kama "Iron Dome" inapata wakati mgumu kudaka na kuangamiza mamia ya makombora ya Hamas!
Kwa ajuye, atudadavulie namna mtambo huu adimu wa kukinga makombora unavyofanya kazi tafadhari. Unadhani nchi yetu yaweza kumiliki hii kitu walau ya kuzuia mabomu Arusha na Zanzibar?
NB: vita isikie kwa jirani,usiombe ikaingia kwako kwa gharama yoyote. Nawapa pole wapalestina kwa kushabikia ujinga wa Hamas huku wanateketea!
Wasalaam!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums