Iron Dome: Mfumo wa kudaka makombora wa Israel!

Status
Not open for further replies.
Chuki ipo wapi sasa hapo? Waambie Hamas waache kurusha makombora yao uone ka waisrael wataendelea kuwashambulia wafilist!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

zionist mindset!!!
 
Silaha nzuri na imara ya kujikinga dhidi ya makombora ni kuwa na uhusiano mwema na majirani zako na kujali mutual interest. Hiyo Iron Dome anti-missile defense system inaonekana ipo effective sababu tu Hamas are ill-equipped militarily!!!
 
Prime Minister Benjamin
Netanyahu fired deputy Defense
Minister Danny Danon on
Tuesday evening
 
PaulaSlier_RT
PAULASlier_RT 2m
BREAKING: An #Israeli
civilian has been killed
after a rocket struck the
#Erez crossing on the
#Gaza border
 
Last edited by a moderator:
Silaha nzuri na imara ya kujikinga dhidi ya makombora ni kuwa na uhusiano mwema na majirani zako na kujali mutual interest. Hiyo Iron Dome anti-missile defense system inaonekana ipo effective sababu tu Hamas are ill-equipped militarily!!!

mkuu GeheimeStaatspolizei
ningekua na dada ningekupa bila mahali..
ungekua kiongozi wa UN nadhani dunia ingekua salama..
 
Last edited by a moderator:
One of the iron dome's co-creators, Reserve Brigadier General Danny a weapons expert and consultant, that the iron dome is a "total failure":A S wink:
 
kuna mtanzania mmoja yuko israel hospital mfanyakaz anasema kwanza karibu kila eneo nyeti kuna handak la kujificha halaf askar wako makini24 hrs anasema siku moja walipigiwa cmu watu wote waingiw kwenye mahandak hapo hosptal wakaingia kasoro mahtut baada ya kama robo saa akaskia mshtuko then wakaambiwa token akashangaa hakuna popote palipopasuka wala itilaf badae akauliza wakamwambia wamelielekeza bomu uwanja wa waz likatue kwa hyo jamaa wanaweza kuelekeza wap bomu liende na wanajua wamepanga kushambuliwa mudagani na huwa ikitokea kafa muisrael mmoja tu bac majibuyake ni zaid ya miamoja ila pia kawaida yao hawapigi wala kuua mpaka maadui waanze wao na ni mara chache sana wakosee walipopanga.

Dah, nimeipenda hii, halafu mbona wailielekeze litokapo na kuwakuta hao Mahamas waoga wajifichao nyuma ya wanawake na watoto.
 
hatutakiwi kujisifia kuwa hamas wanafanya kitu, cha kuomba MUNGU ni amani ya kudumu ipatikane na si kushabikia vita, kwasababu rocket mamia hata alfu zaweza kuwa zimefika, lakini hakuna muisrael hata mmoja aliyekufa, ila wapalestina zaidi ya 150 wamekufa, sasa hamasi hapo wanasaidia nini zaidi ya kusababisha vifo tu, na, na je, israel wanyamaze tu wakati wanarushiwa rockets, ungekuwa wewe ungefanyeje.
 
Adiosamigo kuna mtu zamani aliniambia eti Wayahudi wana mtindo mbaya sana unaitwa jino kwa jino maana yake ni Mwarabu mmoja ni sawa na Waislael 100 sijui wewe unasemaje.Nami kwa sakata hili acha nihakikishe kama ni kweli Maana waarabu waliwaua vijana watatu wa Kiyahudi na mpaka leo sijui Israel katika mashambulizi yake imefikisha Waarabu wangapi kuwauwa nisaidie maana mimi nimeshasahau na leo sikuangalia tv.Na kama msemo huo ni kweli basi Wayahudi wanatakiwa wauwe Waarabu 400 Itatisha sana bora wasimamishe vita tu.
One of the iron dome's co-creators, Reserve Brigadier General Danny a weapons expert and consultant, that the iron dome is a "total failure":A S wink:
 
Last edited by a moderator:
Adiosamigo kuna mtu zamani aliniambia eti Wayahudi wana mtindo mbaya sana unaitwa jino kwa jino maana yake ni Mwarabu mmoja ni sawa na Waislael 100 sijui wewe unasemaje.Nami kwa sakata hili acha nihakikishe kama ni kweli Maana waarabu waliwaua vijana watatu wa Kiyahudi na mpaka leo sijui Israel katika mashambulizi yake imefikisha Waarabu wangapi kuwauwa nisaidie maana mimi nimeshasahau na leo sikuangalia tv.Na kama msemo huo ni kweli basi Wayahudi wanatakiwa wauwe Waarabu 400 Itatisha sana bora wasimamishe vita tu.

Yaani muisrael 1 = Arabs laki 1,
Sasa Israelites 3 = arabs laki 3!
Baaado haijafika ni nusu tu mpaka sasa!
 
Last edited by a moderator:
Adiosamigo kuna mtu zamani aliniambia eti Wayahudi wana mtindo mbaya sana unaitwa jino kwa jino maana yake ni Mwarabu mmoja ni sawa na Waislael 100 sijui wewe unasemaje.Nami kwa sakata hili acha nihakikishe kama ni kweli Maana waarabu waliwaua vijana watatu wa Kiyahudi na mpaka leo sijui Israel katika mashambulizi yake imefikisha Waarabu wangapi kuwauwa nisaidie maana mimi nimeshasahau na leo sikuangalia tv.Na kama msemo huo ni kweli basi Wayahudi wanatakiwa wauwe Waarabu 400 Itatisha sana bora wasimamishe vita tu.
Tatizo Israel mara nyingi sana hasemi ukweli hata kama wameuliwa 1000 yeye atasema wawili tu.

Si umeona yeye kazi zake kushambulia watoto wanao cheza beach au wanawake, katika hao ameuwa wanajeshi wangapi hawajauwa zaidi ya wawili tu.

Afu nani aliye anzisha vita na nani anaye omba sasa vita visamamishwe, ingekuwa wamekufa watatu tu basi asinge omba vita isammaishwe, nyie mnadanganywa sana na CNN, BBC, AL JAZEERA NA AL ARABIYAA hizo zote ni channel za kiyahudi hata kama zingine zinarushwa zingine toka nchi za kiarabu.

Ukitaka news za uhakika sikia Channel za ki Israel 10, and 7 na Al mayadeen kutoka lebanon au Al Aqsa tv ujuwe wa Israel wangapi wamekufa.

Hivi wewe hujui kama UAE ndio anamuomba Israel aingie kuwamaliza HAMAS, Israel siku zote ni mfanyakazi tu wa wafalme wa kiarabu, fatilia story Israel imekuwa exist baada ya mfalme wa Saud Arabia kuwambia waingereza kuwapa nchi.
 
Wakati mwingine huwa nacheka peke yangu maana ni ajabu sana watu wazima kuamua kujitoa UFAHAMU haya Mtu mmoja alikuwa anapigana na jamaa mwingine lakini jamaa kaonekana kuzidiwa akaanza kusema MSHIKILIENI HUYU JAMAA MIMI NITAMUUA sasa mambo gani tena haya lakini ukweli UNAONEKANA WAZI leo mapigano yatasimamishwa ili wafu wawazike wafu wao yatosha sasa
Tatizo Israel mara nyingi sana hasemi ukweli hata kama wameuliwa 1000 yeye atasema wawili tu.

Si umeona yeye kazi zake kushambulia watoto wanao cheza beach au wanawake, katika hao ameuwa wanajeshi wangapi hawajauwa zaidi ya wawili tu.

Afu nani aliye anzisha vita na nani anaye omba sasa vita visamamishwe, ingekuwa wamekufa watatu tu basi asinge omba vita isammaishwe, nyie mnadanganywa sana na CNN, BBC, AL JAZEERA NA AL ARABIYAA hizo zote ni channel za kiyahudi hata kama zingine zinarushwa zingine toka nchi za kiarabu.

Ukitaka news za uhakika sikia Channel za ki Israel 10, and 7 na Al mayadeen kutoka lebanon au Al Aqsa tv ujuwe wa Israel wangapi wamekufa.

Hivi wewe hujui kama UAE ndio anamuomba Israel aingie kuwamaliza HAMAS, Israel siku zote ni mfanyakazi tu wa wafalme wa kiarabu, fatilia story Israel imekuwa exist baada ya mfalme wa Saud Arabia kuwambia waingereza kuwapa nchi.
 
Adiosamigo Hujanijibu swali langu kuhusu huo Msemo wa wayahudi wa Jino Kwa Jino je ni wa kweli au la??????? na ni kweli 1=100 waarabu?????
 
Last edited by a moderator:
Adiosamigo Hujanijibu swali langu kuhusu huo Msemo wa wayahudi wa Jino Kwa Jino je ni wa kweli au la??????? na ni kweli 1=100 waarabu?????
Nadhani tulisha kuwajibuni Iraq 1=100 na Afghanstan.

Kama wewe calculation zako unacompare Hamas na Israel sasa hapo nani anaye muogopa mwenzake, kwanini Israel anawafungia Hamas mipaka, ukiwa mwanaume acha mipaka iwe wazi huwezi kusema napigana na mtu na umemfunga mikono kamba afu unajidai wewe mwamba.

Hata hivyo na kubanwa kwake Hamas anampiga vibaya sana Israel, wewe katazame channel za kiyahudi zinasema nini.

Tazama channel 10,7 and 2. na Katazame Al Aqsa Tv ndio utajua ukweli.
 
Sioni kama hamas wanawalinda watu wao, manake wanapigwa na kuuliwa kila siku, tena adui huchagua kupiga apendapo na hutoa taarifa kuwa 'tunakuja kupiga'

kuwashabikia hamas ni kujitoa ufaham. Huitetei/huipiganii nchi yako kwa kujiua, manake hutaipata utakuwa ushakufilia kwa mbali.

Afrika hatukuipigania kwa stail ya kijinga namna hamas, wapiganaji walikaa mbali na raia, walijifunza mazimbu, naliendele n.k wakapambana kutoka msituni sio kutoka uraiani.

Hamas na islamic jihad wajitenge na raia na waache mara moja kujitwika jukumu la kuwalinda raia wa palestina, manake kwa kusema hivyo ndio wanawaua badala ya kuwalinda.

NO to Hamas/islamic jihad Palestina, YES to palestina state.
 
Tatizo Israel mara nyingi sana hasemi ukweli hata kama wameuliwa 1000 yeye atasema wawili tu.

Si umeona yeye kazi zake kushambulia watoto wanao cheza beach au wanawake, katika hao ameuwa wanajeshi wangapi hawajauwa zaidi ya wawili tu.

Afu nani aliye anzisha vita na nani anaye omba sasa vita visamamishwe, ingekuwa wamekufa watatu tu basi asinge omba vita isammaishwe, nyie mnadanganywa sana na CNN, BBC, AL JAZEERA NA AL ARABIYAA hizo zote ni channel za kiyahudi hata kama zingine zinarushwa zingine toka nchi za kiarabu.

Ukitaka news za uhakika sikia Channel za ki Israel 10, and 7 na Al mayadeen kutoka lebanon au Al Aqsa tv ujuwe wa Israel wangapi wamekufa.

Hivi wewe hujui kama UAE ndio anamuomba Israel aingie kuwamaliza HAMAS, Israel siku zote ni mfanyakazi tu wa wafalme wa kiarabu, fatilia story Israel imekuwa exist baada ya mfalme wa Saud Arabia kuwambia waingereza kuwapa nchi.

Hahahaha yaan cnn, bbc,etc ni za kiyahidi zisiaminike na hizo za kwako tuziaminije kama sio za kiarab?!!
 
Nadhani tulisha kuwajibuni Iraq 1=100 na Afghanstan.

Kama wewe calculation zako unacompare Hamas na Israel sasa hapo nani anaye muogopa mwenzake, kwanini Israel anawafungia Hamas mipaka, ukiwa mwanaume acha mipaka iwe wazi huwezi kusema napigana na mtu na umemfunga mikono kamba afu unajidai wewe mwamba.

Hata hivyo na kubanwa kwake Hamas anampiga vibaya sana Israel, wewe katazame channel za kiyahudi zinasema nini.

Tazama channel 10,7 and 2. na Katazame Al Aqsa Tv ndio utajua ukweli.

Ukiwa mwanaume hata kama wakifunga mipaka unaingia kimabavu kama marekan kwa sadam
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom