Iron Dome: Mfumo wa kudaka makombora wa Israel!

Iron Dome: Mfumo wa kudaka makombora wa Israel!

Status
Not open for further replies.
Nimepata somo kubwa Sana kwenye hii thread
Asante sana mpendwa, mie pia nimejifunza makubwa!

Sent from my iPhone using JamiiForums



Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Wakuu nasikia kuna kifaru cha kisasa kabisa cha Israel kimelipuliwa na kombora!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Watu wengine bwana, mtu anaulizia teknolojia halafu wao wanataka kuufanya ni uzi a propaganda. Kama vipi si muanzishe nyuzi zenu!!
Kuna watu wana matatizo tu, hapa tunataka kupata elimu zaidi na si udini. Kuna wasiofikiria in deep wanadhani Parestina ni waislam na Israel ni wakristu kumbe sivyo!
Asante, natumai wapinga kristu na wazee wa matusi ya udini wamekusikia!


Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hiyo iron dome ni kwa Tel Aviv tu kama sikosei!
Hapana, hata kwa miji mingine pia as makombola yanapanguliwa hata ktk miji mingine tofauti na Tela Viv.


Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mods hebu peleka hii kitu jukwaa husika, hili ni bonge la somo

Rafiki ni jukwaa gani inatakiwa hii kitu? Mods watusaidie kuihamisha.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Vita ya wakati huu Iron dome imepata changamoto sana na seems Hamas wana nguvu kubwa safari hii as bado wanavurumisha makombora mengi. Iron dome inapata kashkash haswaaa!
Tutegemee mfumo mpya wa air defence baada ya vita hii.
Unafikiria itakuwa ni aina gani ya technolojia?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Naona kuna video Hamas wametoa kuwashukuru wafadhiri wao wakubwa wa kifedha na kisiraha na wamewataja Iran na Hezbollah wa Lebanon!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Netanyau ndo waziri mkuu anayetakiwa...na amesema wazi kuwa kichapo kitaendelea bila kujali kelele za jumuiya ya kimataifa..hawa HAMAS ni wa kuwafuta kabisa duniani washenzi sana...wameuwa vijana wa watu bila sababu....piga mipaka na mivitimoto hiyo ya HAMAS

teh teh teh

ungejua mara zote anaeanzisha zogo ni Israel wala sio hamas.

makafiri mila yenu moja tu
 
Arab countries waoga sana wanapiga kelele kwenye media ila kuwasaidia wenzao hawasogei.
Israel do what it takes to prevent the attacks from Hamas.
 
Arab countries waoga sana wanapiga kelele kwenye media ila kuwasaidia wenzao hawasogei.
Israel do what it takes to prevent the attacks from Hamas.

Rafiki Andybird314 Hamas wamesema wanapata msaada wa pesa na siraha za kisasa toka Iran na Lebanon kwa Hezbollah!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kwa wanaojua jamani, hizo system za kuzuia makombora hufungwa wapi? How many systems needed for protection?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh

ungejua mara zote anaeanzisha zogo ni Israel wala sio hamas.

makafiri mila yenu moja tu

Fuatilia vizuri chanzo cha mzozo huu wa sasa, vijana watatu wa kiyahudi waliuliwa na hamas sasa ni visasi tu. Usiingize udini hapa, pamoja na kuwa hamas ni wanamgambo wa kiislam lakini wapelestina wengi siyowaislam.
 
From earlier today. IAF airstrikes on terror targets in Gaza.

 
Last edited by a moderator:

Kamanda Echolima upo?
Vp mpango wa kile kitabu cha vita ya Kagera, umefikia wapi? Please, tujuze wadau tunahitaji kuongeza historia sahihi vichwani petu (samahan kama si mahali pake)


Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
jukwaa la great thinker mkuu , hata wachangiaje wa kule wako makini

Ok ridculouz,
Wakiona inafaa watai-locate ila isituzuie kuendelea kufundishana!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ugonvi wote unaanzia hapa
 

Attachments

  • 1405400922039.jpg
    1405400922039.jpg
    91.9 KB · Views: 127
Iron Dome (Hebrew: כִּפַּת בַּרְזֶל, kippat barzel) is a mobile all-weather air defense system[7] developed by Rafael Advanced Defense Systems.[6] The system is designed to intercept and destroy short-range rockets and artillery shells fired from distances of 4 kilometres (2.5 mi) to 70 kilometres (43 mi) away and whose trajectory would take them to a populated area.[8][9] Israel hopes to increase the range of Iron Dome's interceptions, from the current maximum of 70 kilometres (43 mi) to 250 kilometres (160 mi) and make it more versatile so that it could intercept rockets coming from two directions simultaneously.[10]

Iron Dome was declared operational and initially deployed on 27 March 2011 near Beersheba.[11] On 7 April 2011, the system successfully intercepted a Grad rocket launched from Gaza for the first time.[12] On 10 March 2012, The Jerusalem Post reported that the system shot down 90% of rockets launched from Gaza that would have landed in populated areas.[9] By November 2012, official statements indicated that it had intercepted 400+ rockets.[13][14] On 19 November, defense reporter Mark Thompson wrote that while these numbers were impossible to confirm, the "lack of Israeli casualties suggests Iron Dome is the most-effective, most-tested missile shield the world has ever seen."[15] On 28 September 2011, Flight Global reported that according to a source at Rafael, the Israel Defense Forces learned during its deployment that Iron Dome is also effective against aircraft up to an altitude of 32,800 ft (10,000 m).[16]
 
Elungata israel does not care abt usa, only care about herself.

yani wanapewa silaha bure na usa wanazibadilisha then wanauza china!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom