Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,753
- 27,476
Pichani ni kombora la Iran lililoanguka katika eneo la Judea kaskazini mwa Israel ambapo halikufanikiwa kulipuka
Makombora ya Iran pamoja na kufika anga la Israel ila mengi hushindwa kulipuka, kutokuwa na shabaha na mengi hushindwa kupenya mifumo ya ulinzi wa anga hususan Iron Dome
Hii ni ishara ya uwepo wa ushindani mkubwa wa teknolojia ya juu ya kijeshi baina ya mataifa hayo mawili,
Zaidi ya makombora yanayofikia 45% hushindwa kulipuka