Iringa tunataka mabus mazuri vinginevyo !

Samahani sana wana Iringa kwa haya nitakayo andika.....Mimi nililiona hilo kwa kutaka kubadili nikaleta gari/basi zuri tu kwa majaribio lilikua na kiyoyozi ful, viti ya coach, tv na hata ka fridge kadogo kwaajili ya vinywaji....Lakini mkaniangusha na kwakuwa mtaji wangu ulikuwa mdogo nikashindwa kuendelea na hiyo ruti kwani hata baada ya kuliadvertize mwezi mzima nachoma mafuta kwenda na kurudi tena kwa bei ya chini ya iliyokuwa hali bado watu walikuwa wanapanda hayo hayo mabasi unayolalamikia.....Jaribuni kubadili attitude ya watu wa Iringa kwanza siyo lazima mfanya biashara awe mwenye jina kubwa ndo muamini product yake...Na mimi nikaamua kulipeleka gari langu Arusha/Moshi kwa wanaojua nini maana ya value for money...

Nikitengeneza mtaji mkubwa nitawakumbuka na ninyi ila mbadilike....ache nigange njaa kwanza.

mkuu ebu nambie hiyo basi yako yenye sifa ulizotaja ambayo uliihamishia ruti ya arusha moshi inaitwaje?

kama ilikuwa imepangwa ipige ruti ya iringa dar leo inapiga mosh arusha je ni basi au ni coster au ni hino ambazo ndo zimezoeleka arusha na moshi
 
Back
Top Bottom