Iringa tunataka mabus mazuri vinginevyo ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iringa tunataka mabus mazuri vinginevyo !

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Calist, Feb 28, 2011.

 1. C

  Calist Senior Member

  #1
  Feb 28, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Imekuwa ni kawaida kwa wenye kampuni za usafirishaji kuleta mabus yaliyochoka kwenye njia ya Dar- Iringa-Dar. Mfano ni abood na hood ingawa huyu hata hilo bovu kaliondoa. Uwezo wa kulipa nauli kubwa na kusafiri kwa raha mstarehe tunao. Hongera kwa kampuni ya Sumry kwa kuleta gari zuri na ndio maana tunakuunga mkono. Ongeza mengine ili tuwasuse hao na mangalangala yao.
   
 2. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hivi mabasi ya upendo bado yapo na yale ya igesa line na comfort?
   
 3. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sumry sawa, ila wasilete kama kale kanakoenda Mbeya-Dodoma, karaha tupu ukipanda kale kabus
   
 4. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kuna mabasi yameandikwa IGURUSI yanakwenda wapi hayo wadau?
   
 5. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hahaaaaaaaaaa kuna mabasi ya kidabaga,kibadaga,chamdindi,ilambilole,itonya,nzihi,maganga matitu,migori na mtera hiyo Igurusi ipo mbeya man!
   
 6. C

  Calist Senior Member

  #6
  Feb 28, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Upendo yapo yanajitahidi ingawa yote niyazamani mengi ya seat za 3 by 2 tunapanda na kuku humo humo, Igesa na confort walishafutika. tunataka gari zuri hata kama nauli itakuwa 25000 sawa tu kuliko kusafiri na haya ya bei ndogo matokeo yake abiria na kuku humo humo. Ni kalaha.
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Feb 28, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Mlizoea mabasi ya relwe ndio maana watu binafsi hawaleti mabasi yao huko
   
 8. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #8
  Feb 28, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  man unanitisha juu ya nauli kwani iringa mpaka dar shilingi ngapi siku hizi baada ya nauli mpya kutangazwa!!maana iringa nimeondoka zamani sana!
   
 9. C

  Calist Senior Member

  #9
  Feb 28, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nauli ya sasa kwenye mabus ya kupanda na kuku ni shs 13000 sumry 18000 na linajaa kwanza ndio wengine nafuata na hii ni kabla ya bei kupanda.scand nauli yake ilikuwa juu ukilinganisha na wengine lakini alikuwa anjaza yeye kwanza ndio wengine wanafuata
   
 10. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #10
  Feb 28, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  scandnavia bado zipo I mean za iringa?
   
 11. C

  Calist Senior Member

  #11
  Feb 28, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndg. Yangu hazipo ndio maana tunateseka,
   
 12. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #12
  Feb 28, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ila huwa naona hata coaster zipo nyingi pale ubungo zikiwa na route ya Iringa, ila sasa vituo ni kama daladala halafu mnarundikana mno. Njia ya Arusha na ile ya Mwanza ndio wanamagari mazuri saana ya abiria, very luxurious.
   
 13. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #13
  Feb 28, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,920
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Nashangaa sana huyu Abood alivyo na magari mazuri Dar- Moro halafu analeta maboksi Dar-Iringa.
  Ila bwana kalisti kwa fununu za mbali ni kwamba huyu jamaa anapata faida kubwa sana Dar-Moro kuliko Dar-iringa.
  Hebu chunguza mkuu Difference ya faida utajua kwanini anfavour Moro- Dar!! hii route basi linapiga tripu nyingi sana.
   
 14. C

  Calist Senior Member

  #14
  Feb 28, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dawa ya kukwepa kurundikana ni kuweka luxury buses then unaweka nauli ya kilxury hapo utakuwa tayari umetenganganisha madaraja ndio maana tunayataka hayo.
   
 15. F

  Felister JF-Expert Member

  #15
  Feb 28, 2011
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  Samahani sana wana Iringa kwa haya nitakayo andika.....Mimi nililiona hilo kwa kutaka kubadili nikaleta gari/basi zuri tu kwa majaribio lilikua na kiyoyozi ful, viti ya coach, tv na hata ka fridge kadogo kwaajili ya vinywaji....Lakini mkaniangusha na kwakuwa mtaji wangu ulikuwa mdogo nikashindwa kuendelea na hiyo ruti kwani hata baada ya kuliadvertize mwezi mzima nachoma mafuta kwenda na kurudi tena kwa bei ya chini ya iliyokuwa hali bado watu walikuwa wanapanda hayo hayo mabasi unayolalamikia.....Jaribuni kubadili attitude ya watu wa Iringa kwanza siyo lazima mfanya biashara awe mwenye jina kubwa ndo muamini product yake...Na mimi nikaamua kulipeleka gari langu Arusha/Moshi kwa wanaojua nini maana ya value for money...

  Nikitengeneza mtaji mkubwa nitawakumbuka na ninyi ila mbadilike....ache nigange njaa kwanza.
   
 16. F

  Felister JF-Expert Member

  #16
  Feb 28, 2011
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sumry naona kafanikiwa kwasababu ana jina napia mizengwe ya hiyo sector (may be ina kibosile mwenye political influence) anaweza ku manage..Aise kuna mengi yanayofanywa humo; wakiona unakuwa a competitor basi gari lako na trafic linakuwa kama kiti cha boss na boss.....Alafu unapangiwa ratiba ya saa ambazo hakuna abiria....
   
 17. Freestyler

  Freestyler Senior Member

  #17
  Feb 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 199
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ni karaha kuandika kalaha badala ya karaha!...
   
 18. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #18
  Feb 28, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  widambe lipo bado jamani tehe comfort je
   
 19. d

  deecharity JF-Expert Member

  #19
  Feb 28, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 831
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  mh ila jaman kwel iringa hatuna magar ya route ya dar-iringa yan nivmeo 2. Ckatai upendo unasaidia sn ila cha ajabu yule m2 mi huwa naona gar anaongeza 2 ila co mpya na ct zake ndio yaleyale 3 by 2. Haya 2kija kwa luwinzo ndio walewale, ukija kwa chaula ndio mama yangu bora uende ipogolo ukavzie za mbeya. Sasa nashndwa elewa hv irnga kunan? Mana population kubwa sn pale ht gar hazjtoshelez na uktaka amin hlo shuka stand ya ipogolo kuanzia sa6 mchana utaona wakaz wa irnga walvyo weng kusubr gar znazotoka songea, mbeya, na km kwakina abood na hood ishu ni naul cwapandshe ilngane na sumr? Mbona mbeya wanapeleka ndnga za maana mi nadhan irnga kuna walakn ukianzia kwenye uongoz wa sumatra na kuendelea.
   
 20. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #20
  Feb 28, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  khaaaa mkuuu mbona hizo kampuni zilikufa kitaaambo saaana......................inshort jamaaa walifuuuulia
   
Loading...