atakuwa mkufunzi wa jkt, askar wa jkt hawez kuvaa baka baka
Angekuwa dar huyo,,,,,,!!
kama hujapiga TPDF huwez kuvaa zile combat za jexh huyo ni jwtz wakuu
Pombe kali ni hatari sana.Tungi kama kawa..
Siku hizi wanavaa sare sawa, ingawaje JKT wanazo za kwao mahsusi.
Bahati yake sijamtambua!
tena mp
Hata Boy Scout hujapitia, itakuwa insignia za jeshi?hujui lolote bro pga kmya
Nenda kambi yoyote ya JKT ujionee mwenyewe, ubishi si mzuri!Askari wa JKT (Serviceman) hawezi kuvaa nguo za JW lakini wa JW anaweza kufanya hivyo