Boniface Jacob: Polisi yaua tena Iringa

Itscharlie

JF-Expert Member
Apr 15, 2022
3,794
15,773
1701469157572.png

Mwanamke mmoja katika Manispaa ya Iringa amepoteza maisha baada ya kupokea kichapo kutoka Jeshi la Polisi.

Polisi wakiwa katika zoezi la kuondoa wafanyabiashara ndogondogo katika Manispaa ya Iringa. Polisi walikuwa wanatumia nguvu kuwakata na kuwapiga baadhi ya wakina mama waliokuwa wanauza mboga na kutembeza ndizi eneo la mashine 3-Iringa.

Mwanamke huyo ambaye bado natafuta jina lake na ndugu zake kupita uongozi wa wafanya biashara amefariki baada ya kupigwa na Polisi hadi presha kushuka.

Video inaonyesha wakina mama wenzie wauza mbogamboga wakimpatia Mwanamke huyo huduma ya kwanza, muda mchache baada ya kupoteza fahamu na baadae kuaga Dunia.

Nawapa pole sana wakina mama wote ambao ni wapambanaji wa maisha kwa kupitia biashara ndogondogo.

Najua mlijua Rais akiwa Mwanamke mwenzenu huenda anajua shida zenu zaidi. Poleni.

By:Boniface jacob/twitter x
 
Bado Waziri wa Mambo ya ndani yupo ofiaini

Bado Wambura yupo ofisini.

Nilishasema kuwa CCM sasa ni mkusanyiko wa wahalifu wanaotumia sheria na katiba ya Nchi kutimiza wakitakacho
 
Mwanamke mmoja katika Manispaa ya Iringa amepoteza maisha baada ya kupokea kichapo kutoka Jeshi la Polisi.

Polisi wakiwa katika zoezi la kuondoa wafanyabiashara ndogondogo katika Manispaa ya Iringa. Polisi walikuwa wanatumia nguvu kuwakata na kuwapiga baadhi ya wakina mama waliokuwa wanauza mboga na kutembeza ndizi eneo la mashine 3-Iringa.

Mwanamke huyo ambaye bado natafuta jina lake na ndugu zake kupita uongozi wa wafanya biashara amefariki baada ya kupigwa na Polisi hadi presha kushuka.

Video inaonyesha wakina mama wenzie wauza mbogamboga wakimpatia Mwanamke huyo huduma ya kwanza, muda mchache baada ya kupoteza fahamu na baadae kuaga Dunia.

Nawapa pole sana wakina mama wote ambao ni wapambanaji wa maisha kwa kupitia biashara ndogondogo.

Najua mlijua Rais akiwa Mwanamke mwenzenu huenda anajua shida zenu zaidi. Poleni.

By:Boniface jacob/twitter x
Walitoa talifa mpaka kwenye tv kuwa wafanya biashara wahamewalikaidi
 
Huyu Boniface ni mpumbavu, badala ya kuchukua hatua, anakaa kulia lia kama changudoa wa kimboka
 
Mwanamke mmoja katika Manispaa ya Iringa amepoteza maisha baada ya kupokea kichapo kutoka Jeshi la Polisi.

Polisi wakiwa katika zoezi la kuondoa wafanyabiashara ndogondogo katika Manispaa ya Iringa. Polisi walikuwa wanatumia nguvu kuwakata na kuwapiga baadhi ya wakina mama waliokuwa wanauza mboga na kutembeza ndizi eneo la mashine 3-Iringa.

Mwanamke huyo ambaye bado natafuta jina lake na ndugu zake kupita uongozi wa wafanya biashara amefariki baada ya kupigwa na Polisi hadi presha kushuka.

Video inaonyesha wakina mama wenzie wauza mbogamboga wakimpatia Mwanamke huyo huduma ya kwanza, muda mchache baada ya kupoteza fahamu na baadae kuaga Dunia.

Nawapa pole sana wakina mama wote ambao ni wapambanaji wa maisha kwa kupitia biashara ndogondogo.

Najua mlijua Rais akiwa Mwanamke mwenzenu huenda anajua shida zenu zaidi. Poleni.

By:Boniface jacob/twitter x
Ni utekelezaji wa ilani.
 
Ngoha nimuulize RC Iringa kwanini karuhusu mauaji. Je hasira za mwanaye ambaye pia ni DC wa Chamwino kugonga treni pale Dodoma ndio anamalizia kwa akina mama wa Iringa?

RC Iringa -+255 655 303 397.
Nchi inayoliwa 🥧 ya taifa na royal families, mama RC na mtoto DC!!!,kisa ujinga,upumbavu wa watanzania ndio mtaji wao,maana wanajua kuwa watalalama kwenye social networks then kimyaaa, yule mzazi aliyeuliwa mtoto wake aliyekua student pale Lindi, Ile issue kama tulivyo lalama humu imeshakua cold case
 
Back
Top Bottom