Ushawahi kufika tabora?Manispaa ya hovyo sijapata kuona
Huku nako kuna mamilima mno khaa
Ukiskia Iringa ujue 75% ni milima tu!Huku nako kuna mamilima mno khaa
Ustaadh umekumbuka nyama sasa!Igingilanyi
Hotel ya Nyota kadhaa. Mount Royal [emoji545]