Iringa Municipality: The Photo Gallery

IMG_1646.jpg
 
Tupe na maelezo tafadhali
Yani, haya yote nnamfanyia gameover sababu alikejeli sana miji za kenya, ata akasema eti Thika ni robo ya Dodoma University kwenye uzi nyingine, ndo nikaona heri nimfuate hadi uzi ya mji ya nyumbani kwao, Iringa, ili nipate kumsuta na kum prove wrong.
otherwise thank y'all 🙏🏽
 
mzur msafi na unavutia
Mji huu unanikumbusha mengi
Maeneo pendwa ya kmoo
Kunusurika kuvunja meno gangilonga
Kumpiga bit meneja wa bank fulan
Kunusurika kuingia kwenye mikono ya mzambia kisa maindi ya kuchoma
Ipo siku nitarudi kuishi iringa
Iringa mji msafi sana sijui jiji la Arusha wanafeli wapi kwa uchafu, yaani eneo maarufu kitalii but chafu kuliko kuanzia Maeneo ya TANAPA kuingia town panatia kichefuchefu,watu wageni wakisikia Arusha wanaichanganya na Moshi kumbe huko ni Kilimanjaro. Arusha pa hovyo sana eti Clinton akapaita Geneva of Africa na bado aliretwa Cultural Heritage kuchukua vinyago sijui walimpitisha usiku?
Nendeni Iringa,Moshi na Mwanza mkajifunze usafi wa mji wenu wa Arusha
 
Kinacho niudhi eti kila demu ana ukimwi
mbona nabolingo na ngai, ulipotea kwenye uzi wa Dar vs Nairobi.. imekua mmda, miezi kadhaa sasa imepita, mwisho nikikuona pale, mrembo

ila, unakaribishwa tena pale. bonge la toto
 
mbona nabolingo na ngai, ulipotea kwenye uzi wa Dar vs Nairobi.. imekua mmda, miezi kadhaa sasa imepita, mwisho nikikuona pale, mrembo

ila, unakaribishwa tena pale bonge la toto
Jamani eee! aliye muelewa huyu jamaa ani-tag!..weye kabila gani mkuu
 
Jamani eee! aliye muelewa huyu jamaa ani-tag!..weye kabila gani mkuu
mimi omwana chikenya toka kericho. ila niliopo ssahivi, yaani kikazi ni nairobaa,
poa mshikaji wangu, na weye. watoka iringa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom