Iringa mlimpiga makofi Queen Sendiga, sasa ndiyo mkuu wenu wa Mkoa

Watu wa humu bhana kweli vituko, kwahy nchi mzima chadema ndio wapinzani tuu ila hao wengine sio wapinzani, ety yule mama sio mpinzani ni ccm.?
CHADEMA mtabaki kupinga-pinga tuu.
 
Sasa ndio atawafanya nini, hawezi kiwalipizia kisasi(kuwanyima maendeleo) kwa ajili ya kulinda ugali wake
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…