Ndio maana Iringa haina Waislam KABISANyama ya nguruwe aka Kitimoto inauzika na kuliwa Iringa mjini sijawahi kuona. Karibu na ofisi ya CCM Mkoa kuna mabanda mengi sana zaidi ya 100 yanauza na kukaanga nyama ya kitimoto kila siku kuanzia asubuhi mpaka usiku wa manane, na nyama inaisha aisee.
Unakuta bar moja imezungukwa na majiko mpaka 8 ya kitimoto, unakula lager, unatafuna mdudu kiroho safi kabisa , ukitaka na ugali au ndizi ni wewe tu.
Moshi, Arusha hawawafikii waHehe kwa kutafuna kitimoto aisee, siyo mbwa tena kama zamani.
Wanaikaanga vyema sana, makachumbari kama yote.
Na hali ya hewa ya Iringa ni kama imechujwa hivyo bia zinatembea tu.
Heko Iringa, watoto wa Mkwawa.
nguruwe hoyeTujitahidi kula nguruwe maana muumba alitupatia kama zawadi muhimu.
Nguruwe oye..
huwezi jua dini ya mtu ikifika jioni kila mmoja anajifanya mlanguruweNdio maana Iringa haina Waislam KABISA
Uzuri hao hawapunji na nyongeza unapata.Nusu humalizi na zile ndizi aisee nyagi anapita tu chwaahNjoo Mbeya hapa MamaJohn au Soweto uone mdudu anavyoliwa...
We utakuwa mganga unayatakia nini!?Hivi maziwa ya nguruwe yapo?


Serious mkuuHahahaha mkuu acha utani
Naona sasa unatuletea shida wengine. Maana hatuchelewi kuchoma naul kutok dar kuifuata hyo offerHuku TUKUYU kilo ni 7k unapata na ndizi mbili kwa kila mlaji wa hiyo kilo moja ila kama utakua alone utapewa ndizi 6 ukiwa na option ya kuongeza 4 kama hazijakutosha plus parachichi,kachumbari na mchicha.
Mwisho wa ofa ni ndizi kumi kwa kilo moja zaidi ya hapo itabidi ulipie jero kwa kila ndizi 3
Kitimoto kinapendwa kinoma, kuna kipindi zilikuwepo sosage za kitimoto tamu kinoma kuliko sosage za aina yoyote ile, na iringa wachinjaji nguruwe iringa waislam wapo sasa sijui ni majina tu ila sio waislam coz unakuta mtu jina lake abdul ila anachinja kitimoto balaa 😂😂😂🤣🤣🤣Ndio maana Iringa haina Waislam KABISA
tena ukijitambulisha kuwa umetoka DSM utapatiwa na Mikungu ya ndizi za kuiva na maparachichi kama zawadi kwa familia yakoNaona sasa unatuletea shida wengine. Maana hatuchelewi kuchoma naul kutok dar kuifuata hyo offer
Acha kupotosha watuna hapo ndipo UKIMWI umejaa kwelikweli
Hapa manyoni kilo elfu 8Haizidi 10000
Njoo kwa kidevu hapa.... kilo ni 7000Hapa manyoni kilo elfu 8