Iringa Mjini kitimoto inatafunwa ni balaa

Iringa Mjini kitimoto inatafunwa ni balaa

Habari bila picha/video clip sawa na taka taka tu.
 
Bila picha itakua ni chai ya tangawizi

JamiiForums-1173385240.jpg


Sent from kekojuuuwanjawamchanga
 
Nilikuwa hapo jana jioni mkuu. Nilipata kilo ya kuokwa Safi. Kachumbari na pilipili ya kutosha.
 
Huku TUKUYU kilo ni 7k unapata na ndizi mbili kwa kila mlaji wa hiyo kilo moja ila kama utakua alone utapewa ndizi 6 ukiwa na option ya kuongeza 4 kama hazijakutosha plus parachichi,kachumbari na mchicha.
Mwisho wa ofa ni ndizi kumi kwa kilo moja zaidi ya hapo itabidi ulipie jero kwa kila ndizi 3
 
Back
Top Bottom