Iringa Mjini kitimoto inatafunwa ni balaa

Iringa Mjini kitimoto inatafunwa ni balaa

Iringa Kilo 1 Tsh. 8,000/= hapo imekaangwa mixer kachumbali, Ugali 1,000 ndizi 1 sh. 5,00 hapo ni Mabanda ya CCM unapata na bia yako tamu kwa bei elekezi, bei ya kizalendo kabisa.
Hivi mnaochanganya bia na nyama inakua tamu?
Mbona kwangu inakua chungu sana
Na prefer nyama tu ndio inakua nzuri kinyama.
 
Huku TUKUYU kilo ni 7k unapata na ndizi mbili kwa kila mlaji wa hiyo kilo moja ila kama utakua alone utapewa ndizi 6 ukiwa na option ya kuongeza 4 kama hazijakutosha plus parachichi,kachumbari na mchicha.
Mwisho wa ofa ni ndizi kumi kwa kilo moja zaidi ya hapo itabidi ulipie jero kwa kila ndizi 3
Hahahaha mkuu acha utani
 
Pale connection zipo kibao kama ni mtu wa kujichanganya kiasi.....watu wengu wa office kubwa iringa huwa pale.....usiku magari yenye nembo nyingi za serikali huwa pale

Iringa kwa connection balaa,niliwahi kuwa connected miaka ya 2000 mwanzoni.😂😂😂😂😂
 
Huku TUKUYU kilo ni 7k unapata na ndizi mbili kwa kila mlaji wa hiyo kilo moja ila kama utakua alone utapewa ndizi 6 ukiwa na option ya kuongeza 4 kama hazijakutosha plus parachichi,kachumbari na mchicha.
Mwisho wa ofa ni ndizi kumi kwa kilo moja zaidi ya hapo itabidi ulipie jero kwa kila ndizi 3

Ndio ni hapa ccm karibu na stand ya bus.
 
Iringa hawachelewi kukulisha dogi wakisingizia kitimoto
 
Habari bila picha/video clip sawa na taka taka tu.
JamiiForums-1418488963.jpg
 
Hivi mnaochanganya bia na nyama inakua tamu?
Mbona kwangu inakua chungu sana
Na prefer nyama tu ndio inakua nzuri kinyama.
Kwa mimi mzoefu nachanganya na inashuka vizuri. Ila kwa wewe nakudhauri kunyw kwanza bia ikishaanza kuchanganya ndio umalizie na nyama aseeh ni hatarii
 
Back
Top Bottom