Uchaguzi 2020 Iringa: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Msigwa na yule mama watatoshana nguvu, ila tuseme mmoja lazima mfumo umbebe.
Kichekesho ni pale ambapo hata wanamagamba walipokuwa hawamtaki mgombea pandikizi na akashinda "wako wanalia kama waliavyo wapinzani!!" Kwingine tetesi zasema kura zimezidi idadi ya wapigaji!! Kwingine mtu anakimbia na sanduku la kupigia kura huku askari wakimtazama!!!
 
Tundu ndio alitia fora kila alipopita wananchi walikosa hamu ya kumfatilia wengi walijuta hata kwenda kumwona. Maana hajawahi ongea kwa wema chochote kinachofanyika au kilichofanyika tangu Tanzania kuumbwa. Alijua ndio ujanja kumbe hapo ndio alijipoteza

Aliyemshauri kushirikiana na wazungu kuhujumu taifa letu hamtakii mema. Mimi nilishawafuta Lissu, Maalim Seif na Zitto kwenye list yangu ya potential leaders!
 
Tundu ndio alitia fora kila alipopita wananchi walikosa hamu ya kumfatilia wengi walijuta hata kwenda kumwona. Maana hajawahi ongea kwa wema chochote kinachofanyika au kilichofanyika tangu Tanzania kuumbwa. Alijua ndio ujanja kumbe hapo ndio alijipoteza

wameiba kura mama D, yan mnabariki huu wizi ? Wamezima kila namna ya watu kuweza kutumia internet, wameua, wamepora masanduku kwa mabunduki wamechukua nchi, haya basi wafanye yanayotakiwa HAWAFANYI, ikifika wakati wa uchaguz sababu hawakufanya yanayotakiwa wanatumia nguvu nyingi tena kurud madarakani, we hauoni kama ni circle ambayo inajirudia, sasa lini Tutayaacha haya ya kuiba kura tukawaza mambo mengine ya maendeleo ??
 
Wanaibaje kura wakati mlisema mtalinda kura? Au mlikuwa mnasinzia wakati wa kulinda?

Sasa kama bullets were flying watu wafanyaje ? wapen upinzani na wenyewe mabunduki muone kama mtakimbia kimbia , Tume ya ccm, police wa ccm, nyie jamaa hata mnavhoshangilia sijakiona ila kusema ukweli hii nchi inahitaji reformation ya hali ya juu na Mangufuli atakufa kifo kibaya sana, ametesa sana watu awaulize wenzake kina Ally Bashir
 
Haya mtanzania ulie chagua kihalali na kushinda. Hongereni. Sasa muache kumtaja Mungu kwenye mambo yenu maana juhudi zenu zimewakomboa
Watanzania sio wajinga kuchagua saccos ya Mbowe kuwaongoza. Chama cha mfukoni, genge la wahuni nani anataka upuuzi. Mmevuna mlichopanda.
 
Chadema wangekuwa angalau na kaustarabu la hivi kwenye issues za muhimu, wangeweza kutushawishi sisi tusio na vyama kuwaunga mkono nyakati fulani fulani. Lakini kupinga na matusi muda wote, mhhhh ......!!
Anayeamuwa nani awe kiongozi wako si kura yako.
 
Back
Top Bottom