Murro
Member
- Feb 18, 2013
- 47
- 9
vipi unaonaje na kwa wale wanaotumia malory ya mchanga kuomba watu, je tuwafanyaje mkuu....?Hebu tueleze ukweli.
Huwezi kutudanganya kua polisi wamemshikilia dereva kwa sababu abiria wamewaonyesha vidole viwili.
Halafu kama huyo dereva alikuwa kabeba abiria 100 ndani ya basi moja..na afungwe na anyang'anywe leseni.
Madereva wa aina hiyo ndo huleta ajali na kuuwa watu kila siku.
Haya mleta mada tueleze ukweli.