Iringa kimenuka

Iringa kimenuka

Nadhani wewe umechanganyikiwa. Unasema Iringa kimenuka then unasema yametokea Mbeya jana. Lipi ni lipi?

Hahaha...

Mzee unaweweseka kiasi kwamba posts zote unataka uzijibu wewe...
 
Hakuna sababu ya kuwashikilia wote kwa wakati mmoja na kama kuna suspect wange inspect na kuacha waendelee.ni kosa kumchelewesha abiria jwa saa moja bila sabb ya mcingi.

Yana mwisho hayo na ni baada ya october
 
Daaaaaaa!!!! Noooomaaa sanaaa. Uongo mwinginee huu. Yani unatuonaa watotooooo.
 
Hiyo hadithi alikufundisha nani mtoto?

Hii sio hadithi ni kweli! Ulizia watu wanaojua uchaguzi Kenya! Kabla KANU haijaondoka madarakani ilikuwa patashika. Huyo aliyetoa hiyo ''amri'' ya vijana wa KANU kutembea na visu vyao vikali ili wanapokutana na mtu anayeonyesha alama ya V kama Chadema (iliyokuwa inatumiwa na wapinzani) wawakate vidole vyao kisha wavipeleke kwenye ofisi za KANU kwa kumbukumbu jina lake nadhani ni Mutisya (sikumbuki vizuri).

Cheki hii ''One Minister urged government backers to cut off the fingers of people flashing two raised fingers -- a sign of support for a two-party system''
link yake iko hapa http://www.hrw.org/reports/1990/WR90/AFRICA.BOU-03.htm
 
kila kona watu kibao,sijui nini na nini watu kibao...............bbke
 
hao ni asilimia 10 tu, kizuri ni kwamba hata ndani ya hao wanajiita wana ccm hawata mpa kura magufuli. kumbuka alichosema bukoba na shinyanga, kuwa mchana ccm usiku ukawa, hii inamaana kula ccm kura ukawa. au umesahau kwenye kampeni zunu mnapouliza swali rais wenu ni nani wana jibu Lowassa, pia kumbuka kilichotokea kwakina riz1 yule mc alivyo sema maendeleo chadema. kwakifupi watu wanaishabikia ccm mdomoni tu, ila moyoni ni ukawa. asante

Okay ngoja nijitoe ufahamu nijifanye uko sawa. Sasa nikuulize: kwamba hatutashinda ndiyo kunawafanya mzimie watu na mkose ustaarabu ama ni kwa sababu mmechanganyikiwa kwamba mnashindwa vibaya? Kipi ni Kipi?
 
Ngoja waendelee kuwapa wananchi hasira.... Safi sana polisi
 
Hiı style ya kampeni za Wana Ukawa italeta majanga hata kabla ya uchaguzi .Ngoja Greens nao waanze yao,ndo ushndi mtapokonywa kweupee!
 
ukawa hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee lowasa hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
hivi iringa kuna kinywaji gani vile, Ulanzi eeh?
 
hao ni asilimia 10 tu, kizuri ni kwamba hata ndani ya hao wanajiita wana ccm hawata mpa kura magufuli. kumbuka alichosema bukoba na shinyanga, kuwa mchana ccm usiku ukawa, hii inamaana kula ccm kura ukawa. au umesahau kwenye kampeni zunu mnapouliza swali rais wenu ni nani wana jibu Lowassa, pia kumbuka kilichotokea kwakina riz1 yule mc alivyo sema maendeleo chadema. kwakifupi watu wanaishabikia ccm mdomoni tu, ila moyoni ni ukawa. asante

Maana kweli nashangaa! Kama mmeshashinda tayari sasa vurugu mjini za nini yarabi na kura zimeshawatosha? Mimi nilidhani ukishabeba mke au bwana wa mtu wewe tayari bingwa huhitaji tena kufoka foka! Basi kifupi nyie sasa kumbe siyo wastaarabu tu! Sasa mkiapishwa si ndiyo mtatembeza watu uchi huku mkiwazomea! Mtaisikia white house ndotoni aisee
 
Police tambueni ccm sio mungu wenu..
 
Hakuna sababu ya kuwashikilia wote kwa wakati mmoja na kama kuna suspect wange inspect na kuacha waendelee.ni kosa kumchelewesha abiria jwa saa moja bila sabb ya mcingi.

Mkuu Kwani Alishikwa Ni Dereva Au Wote Kwenye Basi?Mbona Mnajaribu Kupindisha Mambo
 
Serikali wakiacha huu mchezo uendele wakizani ni sifa yatakayotokea watoto wa watu ni kuumia
 
Lowasa ameanza michezo YAKE ya kihuni,na ninavyojua wameishapigiana simu zamu ijayo ni ya arusha,serikali isipozibiti mchezo huu ni hatari,
 
Back
Top Bottom