Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 24,940
- 26,796
Weka tareheMkuu, mbona hiyo picha ni ya siku nyingi?
Weka tareheMkuu, mbona hiyo picha ni ya siku nyingi?
Tulia. Yaani unaongea kama unajinyea vile! Eleza nini kimetokea
Kenya kuna kiongozi wa KANU alitoa amri watu watembee na visu vikali vya kukata vidole vya watu wanaoonyesha alama ya V lakini walishindwa
abiria walisema peoplesss power, yametokea yaliotokea mbeya jana.
Magufuli aliaibika sana kule mbeya, sasa wanajaribu kuzuia isitokee hapa iringa. kweli mabadiliko ni lazima
hapana ndugu, ya leo leo hii.
hiki ni kipindi cha campeni na kufanya hivyo ndo wanawapa wananchi hasira. mbona watu wanatukanana matusi ya nguoni hawapelekwi mahali kuwekwa alama ya chadema juu ndo iwe noma
asante. kwakifupi watu wairinga wame copy na ku paste yawale jamaa wambeya ya zomea zomea.
asante. kwakifupi watu wairinga wame copy na ku paste yawale jamaa wambeya ya zomea zomea.
Abiri wa Nganga wakisubiri dereva wao bila mafanikio nje ya kituo cha polisi.
Mungu ibariki Tanzania. kwani kuna maisha baada ya uchaguzi
Usipaniki, mapema sana kupaniki
Unahangaika sana wewe! Kenya kuna kiongozi wa KANU alitoa amri watu watembee na visu vikali vya kukata vidole vya watu wanaoonyesha alama ya V lakini walishindwa
Nadhani wewe umechanganyikiwa. Unasema Iringa kimenuka then unasema yametokea Mbeya jana. Lipi ni lipi?
Hebu tueleze ukweli.
Huwezi kutudanganya kua polisi wamemshikilia dereva kwa sababu abiria wamewaonyesha vidole viwili.
Halafu kama huyo dereva alikuwa kabeba abiria 100 ndani ya basi moja..na afungwe na anyang'anywe leseni.
Madereva wa aina hiyo ndo huleta ajali na kuuwa watu kila siku.
Haya mleta mada tueleze ukweli.
utaelewa taratibu
Dont Rush To The Conclusion Bila Kujua Clear Reasons Ya Wao Kukamatwa....