Haliali
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 574
- 263
Mkuu, mbona hiyo picha ni ya siku nyingi?Abiri wa Nganga wakisubiri dereva wao bila mafanikio nje ya kituo cha polisi.
Mungu ibariki Tanzania. kwani kuna maisha baada ya uchaguzi
Chuki yenu dhidi ya polisi haisaidii. Mleta mada hajasema huyo dereva ana kosa gani? Kama alikuwa anaendesha mwendo mkali kwa nini asiahikiliwe? Akisababisha vifo nani atalaumiwa?Polisi wanatumiwa
Polisi wanatumiwa
Unajichanganya mkuu. Yaani hata unatia huruma. Hiyo picha uliyoweka haioneshi kushikiliwa kwa raia. Umesema aliyeshikiliwa ni dereva na sasa unasema abiria 100. By the way nikuulize swali. Unafahamu basi kubwa linabeba abiria wangapi? Hao abiria 100 walikaa vipi kwenye basi moja? Uwe unatumia akili mkuu. Uongo mwingine ni kujidhalilishahahaha. polisi wamewashikilia raia wasiyo na hatia zaidi ya mia moja. na sasa wako kwenye bwalo la polisi.
Hoja za msingi sana hizi. Hawa ukawa wakiitwa nyumbu wanakuwa wakali sanaDont Rush To The Conclusion Bila Kujua Clear Reasons Ya Wao Kukamatwa....
Chuki yenu dhidi ya polisi haisaidii. Mleta mada hajasema huyo dereva ana kosa gani? Kama alikuwa anaendesha mwendo mkali kwa nini asiahikiliwe? Akisababisha vifo nani atalaumiwa?
Nadhani wewe umechanganyikiwa. Unasema Iringa kimenuka then unasema yametokea Mbeya jana. Lipi ni lipi?abiria walisema peoplesss power, yametokea yaliotokea mbeya jana.
Nadhani wewe umechanganyikiwa. Unasema Iringa kimenuka then unasema yametokea Mbeya jana. Lipi ni lipi?
soma vizuri post, nimesema wananchi 100, (pia), maana yake kuna makundi mawiliKhaa!!! Abiria 100 kwenye nganga... Basi linachukua takribani abiria 60, sasa hao 40 sijui walikaa vipi kwenye ilo basi....... Huu sio uongo tu, bali haya ni matusi...