Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Hizi basi mbili kampuni moja duuuh
Kivip tenaWenyewe kwa wenyewe tena mbwa hawa
Kivipi nnKivip tena
Pale napitaga kwa speed kabisa..Mmmh Mungu awasaidie watoke salama, afu pia Kitonga ni kama madereva washapazoea hivi yaani hawaogopi kiivo hyo speed yake dah wakati ukiangalia hivi pembeni hayo makorongo yake si mchezo aisee, hasa ukiwa unashuka yan from Iringa.
Gari zote hizo ni za mmiliki mmoja tofauti majina tuKivip tena
Nashukuru Mkuu nlikua cjuiGari zote hizo ni za mmiliki mmoja tofauti majina tu
Kivip tena
Nashukuru Mkuu nlikua cjui mzee BabaNew Force na Golden Deer ni kitu kimoja mzee.