Iringa: Basi la New Force la Mbeya - Dar, lapata ajali mlima Kitonga

Iringa: Basi la New Force la Mbeya - Dar, lapata ajali mlima Kitonga

Mmmhhh mbona kama "KITONGA YA DAR"? Maana ile kitonga yenyewe ya Iringa sio mchezo hata gari lingeonekana kwenye picha kama BAJAJI lakini naona umepiga picha zero distance.
 
New force na Pacha wake Dragons wameleta ushindani mkubwa sana kwa wazawa
Watu wa songea,mbeya,tukuyu,songea,mbozi,rungwe,morogoro,mtwara,hswatakubaljiulize kwa nini ajali zote zake zinatokea njia moja tuu kuna nini hapo
 
Kila siku ni New Force tu , hili kampuni wafungiwe aisee watu wanakufa kila siku hiyo njia ya Iringa - Mbeya hasa kitonga
 
Kwa nini hili basi linasababisha ajali mara kwa mara lkn halichukuliwi hatua?
 
Back
Top Bottom