mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 947
Hapo kitonga mkuu kuna bahadhi ya sehemu hakuna bonde kubwaMmmhhh mbona kama "KITONGA YA DAR"? Maana ile kitonga yenyewe ya Iringa sio mchezo hata gari lingeonekana kwenye picha kama BAJAJI lakini naona umepiga picha zero distance.