Kwakweli Chakubanga kakuboa.Itakuwa kakujibu wakati eneo Hilo Kuna mende karibu.Hivyo ulitaka kumuharibia timing ya kumruka( Joke).Nashukuru Mkuu nlikua cjui mzee Baba
Kuna Chakubanga mmoja amenijibu kunyaa hapo juu aise
Atakua mwanaume wa Dar Ndiyo tabia zao wanaogopa mende sanaKwakweli Chakubanga kakuboa.Itakuwa kakujibu wakati eneo Hilo Kuna mende karibu.Hivyo ulitaka kumuharibia timing ya kumruka( Joke).
Kituko new force inagongana na new force, washukuru basi limepindukia upande wenye mlima na sio korongoni.Watu kadhaa wamenusurika kifo katika Mlima Kitonga Mkoani Iringa baada ya basi la kampuni ya New Force lililokuwa likitokea Mbeya kuelekea Dar es Salaam kugongana na gari nyingine linalodaiwa kuwa ni la Kampuni ya Golden deer lilokuwa likitokea Dar kwenda Tunduma na kisha kuanguka chini ya mlima huo wenye mteremko mkali.
Kaimu Kamanda Polisi wa mkoa wa Iringa, Deusdedit Kashindo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kusema kuwa taarifa za awali zinasema kuna majeruhi tu.
ajali za newforce ni nyingi ila hakuna kifo hata kimojamda wa kafara kwa new force huu
hahaaa na wewe kweli inaonesha mwoga, umezoea shambalai eee?Kampuni moja hiyo
Nilipanda newforce kutoka mbeya na nilivyo muoga sasa kila mda namuomba Mungu wangu anifikishe salama
hahaaa na wewe kweli inaonesha mwoga, umezoea shambalai eee?
HapanaVisivyoonekana ndio visivyojulikana!
Ahaa ushapazoea eeh, mi nikiwa Kwa bus tukifika kitonga naskia kuumwa kbs,napaogopa afu unakuta dereva hana wasi yuko speed afu full kuyaovertake maloriPale napitaga kwa speed kabisa..

Yes nimepazoea nkiwa na gari ndogo tena hasa manual ah unapita fasta tu chap,Ahaa ushapazoea eeh, mi nikiwa Kwa bus tukifika kitonga naskia kuumwa kbs,napaogopa afu unakuta dereva hana wasi yuko speed afu full kuyaovertake malori![]()
![]()
Mapendekezo yangu ni hata
1) watanzania susieni haya mabasi ya kampuni ya New Force !!! Haiwezekani kila Sikh ni haohao wanasababisha ajali kunatatizo ndani ya hii kampunu
2) serikali isimamishe Kwa muda hii kampuni ifanye uchunguzi WA kitaalamu kwann hii kampuni inakua na ajali nyingi!??
Alafu ndio haohao golden deerNew force, why?
Mmh, kitonga inatisha lkn, huko Nyang'oro ndyo wapi hata sipafahamuuYes nimepazoea nkiwa na gari ndogo tena hasa manual ah unapita fasta tu chap,
Nyang'oro naona ndio danger zaidi kuliko kitonga
Kukimbiza gari hakuna uhusiano na ajali,Hakuna cha wachina wala nini, abiria ndiyo wanaendekeza hizi ajali kwa kuacha dereva afanye analotaka mpaka inafikia ajali Udreva wa enzi ya Facebook una Matatizo sana ukikimbiza na kuendesha kwa Fujo ndiyo unaonekana unajua kuendesha