As Salafiyyu91
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 2,537
- 2,526
Mkuu hili litamuweka pabaya mbele ya mola wakeWafu hawajui neno lolote kwa hiyo hana hali yoyote mbaya
Ingawa ni kweli pombe ni haramu
Mm naona sio sahihi pombe ni ktk matendo ya shetanIli tuendelee kujadili kwanza acha kufananisha pombe na vitu vya ajabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushetani huoKaribu beer bora kabisaa Kilimanjaro baridiii na kitimoto ya kuchoma baridi.
Kweli mkuu tumfikishie ujumbeMakosa makubwa sana amefanya bora angeweka picha ya mama yake
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Pombe haina shida yoyote mkuu.
Takbiiiiiiiir.