As Salafiyyu91
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 2,537
- 2,526
Ndugu wanabodi kwanza nitangulize kuomba radhi kama nitakuwa nimemgusa mtu kwa namna moja au nyingine kwa maneno nitakayo yasema kuusu binti huyu Irene Uwoya
Hivi karibuni binti huyu alifungua Night Club yake ambayo inauza kinywaji Haramu cha pombe jambo ambalo halifai kabisa na linachukiza mbele ya Mwenyezi Mungu
Binti huyu akuishia hapo alichonikera mimi mpaka nikaamua kuandika huu uzi ni kitendo chake cha kumuweka Maerhemu Alhaj Mzee Mujuto kwenye Ukuta wa Baa yake.
Tunafahmu fika wanandugu kuwa Mzee wetu huyu ametutoka na bado vidonda vya Machungu bado havijakauka sio kwa familiar tu bali hata kwa watanzania ambao walikua ni washabiki wake.
Kitu cha ajabu na kuchangaza Irene Uwoya amemuenzi Mzee huyu kwa kuweka picha yake kama kivutio ktk Biashara yake haramu ya kuuza Pombe
Jamani kweli Pombe ambayo ni Uchafu na ni katika matendo ya Kishetani kweli itangazwe na mtu ambaye ni Muislam alafu marehemu huku si ni kumsabishia mzee wa watu awe na hali mbaya uko Kaburini.
Ombi Langu
Familia ya marehemu na Ndugu zake kwa Ujumla wamfuate binti huyu mwenye Roho ya kishetani ili azifute picha za Mzee wawatu
Sent using Jamii Forums mobile app