Irene Uwoya unachomfanyia Mzee Majuto Mungu anakuona

Mzee majuto huko aliko hana kosa kabisa na Wala hatoadhibiwa kwa kosa la uwoya kumweka bango katika biashara ya pombe.

Japo inaweza kuwa familia wakilikalia kimya kwa hali ya kuridhia huwenda ikawa shida kwao kumuacha ndugu yao anafanywa bango katika kamari.

Lakini mzee majuto hatokuwa mwrnye kuadhibiwa kwa kosa ambalo limetendwa na mwingine baada ya kufa kwake.
 
Iyo ni kwamujibu wa Itikadi yako lakini ktika uislam pombe ni haramu

Rejea kwenye Quran




( يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْخَمْرُ وَالْمَيْسِرُ وَالْأَنصَابُ وَالْأَزْلَامُ رِجْسٌ مِّنْ عَمَلِ الشَّيْطَانِ فَاجْتَنِبُوهُ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ )

المائدة (90) Al-Maaida

Enyi mlio amini! Bila ya shaka pombe, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa.


Sent using Jamii Forums mobile app
Uislamu unaendana sana na usabato..jana nilikua namwambia mtu betting ni haramu..hhhaa wacha aniambie kwenye bible hakuna pameandikwa bettn haramu...!
 
Mleta mada ww ni dogo janja kuachwa ndio kinachokupa kiroho papo, mwenzako kafungua baha ww iyo picha ya majuto ambae hta uku kwetu sirari watu hawamjui ndio inakutoa kamasi!, Je walioweka picha za Nyerere na akina fidel castro utasemaje au haujaingia hta kwenye hotel za nyota5? Ww ni kiazi mviringo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kaka kwanza lipia tangazo maana me nilikuwa sijui kama kuna baa ya Irene ila kwa kuwa umenijuza itabidi saizi nikamalizie weekend yangu huko,

Kingine acha uchawi inamaana mtu kufa ndio hata history yake ipotee, kwan kina Michael Jackson, 2pac nk wanaowekwa ktk kuta mbali mbali/ ktk mabango ya ndani na watu wananunua kwan hua kuna ubaya gani hapo, na kuhusu suala la kuuza pombe hayo hayakuhu ww kama vp acha wanaotumia watumie na kama ww unatumia ugoro fanya kuweka picha ya mzee ktk kile unachoona ni sahh kwako.

acha unafki utazikwa na mkaa bure matakoni, maana wanafki huwa na tabia ya kutozaa daima!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe utakuwa mwehu kama wewe unaona pombe haramu ni wewe na Mingu wako usitake watu wote waamini unachotaka wewe.

Kuna watu wengine wanajifanyaga wqtakatifu kweli na hufanya madhambi sirini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom