Irene Uwoya unachomfanyia Mzee Majuto Mungu anakuona

As Salafiyyu91

JF-Expert Member
Jan 11, 2014
2,539
2,000
Ndugu wanabodi kwanza nitangulize kuomba radhi kama nitakuwa nimemgusa mtu kwa namna moja au nyingine kwa maneno nitakayo yasema kuusu binti huyu Irene Uwoya

Hivi karibuni binti huyu alifungua Night Club yake ambayo inauza kinywaji Haramu cha pombe jambo ambalo halifai kabisa na linachukiza mbele ya Mwenyezi Mungu

Binti huyu akuishia hapo alichonikera mimi mpaka nikaamua kuandika huu uzi ni kitendo chake cha kumuweka Maerhemu Alhaj Mzee Mujuto kwenye Ukuta wa Baa yake.

Tunafahmu fika wanandugu kuwa Mzee wetu huyu ametutoka na bado vidonda vya Machungu bado havijakauka sio kwa familiar tu bali hata kwa watanzania ambao walikua ni washabiki wake.

Kitu cha ajabu na kuchangaza Irene Uwoya amemuenzi Mzee huyu kwa kuweka picha yake kama kivutio ktk Biashara yake haramu ya kuuza Pombe

Jamani kweli Pombe ambayo ni Uchafu na ni katika matendo ya Kishetani kweli itangazwe na mtu ambaye ni Muislam alafu marehemu huku si ni kumsabishia mzee wa watu awe na hali mbaya uko Kaburini.

Ombi Langu

Familia ya marehemu na Ndugu zake kwa Ujumla wamfuate binti huyu mwenye Roho ya kishetani ili azifute picha za Mzee wawatuSent using Jamii Forums mobile app
 

carcinoma

JF-Expert Member
Mar 5, 2017
4,948
2,000
Mm naona sio sahihi pombe ni ktk matendo ya shetan

Sent using Jamii Forums mobile app
Pombe haina shida yoyote mkuu.
Na pombe na shetani ni vitu viwili tofauti.
Wewe unayekemea pombe leo inawezekana umetoka kusema uongo au kuzini sasa hivi... kwahio usiisingizie pombe chochote na kuna watu wamelala bar jana na leo wanafanya mambo ya kawaida na mazuri zaidi ya wasiokunywa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom