Baada ya 2020 utakuwa upinzani. Sijui wewe mwenzangu utaandamana na panya? Pole sanaHahaha nafikiria jinsi Halima mdee atakovyotishia polisi simba
Simba katika hifadhi zetu za taifa (Serengeti, Manyara, Ngorongoro, Mikumi, Ruaha) wasije kuadimika #2020.
Mara paap, raia wanatinga nao mtaani.
FAKE NEWS SIMBA KUUNGWA KWENYE STORI ZA MAANDAMANO JANGWANI IRAQ HUKO. HATA HUKU KWENYE MBUGA HAKUNA MWENYE SIMBA