Iraq ilivyokuwa na ilivyo sasa, wazungu noma

Mpunilevel

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
3,140
1,871
Inasikitisha sana, nchi iliyoongoza kwa utoaji wa mafuta duniani chini ya utawala wa saddam hussein na ilikua imetulia na uchumi imara leo imegeuka uwanja wa vita na watu wake maskini mpaka wamefikia hatua ya kuuza viungo vya miili yao ili wapate kukidhi mahitaji yao ni hatari sana.

Hii ni baada ya Marekani na washirka wake kuivamia 1991 na kumuua saddam hussein.

Kweli wazungu noma, inasikitisha.
 
Aisee nimeona bbc swahl newz kupitia star tv, inasikitisha sana, mkuu wakat mwingne siyo wazungu, bali viongoz wanyewe wanajichanganya sana
 
kilichompata sadam 1991 alijitakia mwenyewe

mie hata simsikitikii

ona alichowafanya kuwait kipindi kile cha gulf war

Kuwait_burn_oilfield.png

invasion.jpg

Kuwait-invasion-Dhow-Harbor-1021.jpg
 
niliwahi soma kitabu kimoja kinaitwa the future of the middle east,author wake anaitwa bernard lewis.. kiukweli waarabu wamebarikiwa sana na ukanda wao (Middle East) pamoja na kuwa na jangwa eneo kubwa... history inaonyesha kuwa wakishikamana huwa wana nguvu sana refer to messopotamia,egypt,assyria,israel,ottoman waliweza kutawala dunia kiurahisi sana.. ni watu wenye akili nyingi na maarifa ya kutosha kusema ukweli... ila kinachawaharibia ni wale wachache wanaofuata islamic fundamentalists ideology.. serikali huwa haina dini,ukisha changanya serikali na dini ni migogoro kwenda mbele. eg serikali ya kikristo ni dhahiri itawatenga na kuwatizama chini wasio wakristo hivyo kutokutenda haki kwa raia na kuibua vita..then what about international relations and diplomacy ktk hizi nchi? uongo mtupu...... hawa jamaa dawa yao ni democracy tu,wanatakiwa wajielewe.. hivi fikiria kitu kama silaha za maangamizi hususani za nuclear ziwafikie magaidi waliozoea kujitoa muhanga kwa mgongo wa dini,dunia haitakuwa mahali salama tena kwa upuuzi wa idea za kifala kabisa.. in short dini yao imekuwa chanzo kikubwa sana cha migogoro baina yao.........
 
Panga la shaba nakuunga mkono, umoja umekosekana, hawaaminiani, wanajitoa mhanga bila kujali iwapo target iko sokoni au msikitini ! Ah hawa ni nyumbu haswa .
 
Mkuu sio kuwa umoja umekosekana baina ya waarabu bali Marekani amewagawanya na kujenga chuki baina yao mfano nchi za kiarabu ambazo ni rafiki na marekani kama UAE, Qatar, Bahrain, Saudi Arabia nk hazipatani na nchi za kiarabu ambazo ni maaduni wa Marekani mfano Iran.

Waarabu wamekaliwa na marekani kwa sababu ya utajiri mkubwa wa mafuta waliyonayo. Na ndiyo maana vita haitaisha huko mashariki ya kati. Wee angalia tangu uvamizi wa Afghanistan, Iraq, hadi leo hizo nchi hazitawaliki lakini mafuta yanatoroshwa kimagendo.

Ile vita ya gulf marekani alijihalalishia kuivamia Iraq kwa kisingizio cha kulinda raia wa Kuwait baada ya kuvamiwa na Iraq . Ila Kuwait ilitumika kuleta chokochoko ili kuihalalishia marekani kuivamia Iraq.

Marekani anafanya divide and rule kuwatawala waarabu wasiojitambua , Hebu Arab spring vuguvugu lile lililetwa na marekani kwa kisingizio cha demokrasia na kushuhudiwa kuwatoa kwa nguvu viongozi kama Gaddafi, Mubarak, na sasa wanajaribu kumtoa Assad. Bila kuwa na maarifa yoyote baadaye kushuhudia nchi zao hazitawaliki huku hao waliosupport wakichota mafuta kupeleka kwao na wananchi wa mataifa hayo kushuhudia hali ngumu ya Maisha hadi kuamua kuwa wakimbizi. Kweli waarabu wazembe sana
 
Kila kibaya ni Marekani sio,kwani hao viongozi hawana akili mpaka wakubali kurubuniwa kirahisi hivyo?
 
niliwahi soma kitabu kimoja kinaitwa the future of the middle east,author wake anaitwa bernard lewis.. kiukweli waarabu wamebarikiwa sana na ukanda wao (Middle East) pamoja na kuwa na jangwa eneo kubwa... history inaonyesha kuwa wakishikamana huwa wana nguvu sana refer to messopotamia,egypt,assyria,israel,ottoman waliweza kutawala dunia kiurahisi sana.. ni watu wenye akili nyingi na maarifa ya kutosha kusema ukweli... ila kinachawaharibia ni wale wachache wanaofuata islamic fundamentalists ideology.. serikali huwa haina dini,ukisha changanya serikali na dini ni migogoro kwenda mbele. eg serikali ya kikristo ni dhahiri itawatenga na kuwatizama chini wasio wakristo hivyo kutokutenda haki kwa raia na kuibua vita..then what about international relations and diplomacy ktk hizi nchi? uongo mtupu...... hawa jamaa dawa yao ni democracy tu,wanatakiwa wajielewe.. hivi fikiria kitu kama silaha za maangamizi hususani za nuclear ziwafikie magaidi waliozoea kujitoa muhanga kwa mgongo wa dini,dunia haitakuwa mahali salama tena kwa upuuzi wa idea za kifala kabisa.. in short dini yao imekuwa chanzo kikubwa sana cha migogoro baina yao.........
Mkuu kwani hao waarabu hawakuwai kushika dola Dunia hii? Na vipi ilitokea vita yoyote ya Dunia au Mtikisiko wa kiuchumi? Kulikuwa na mauwaji ya wasiokuwa na hatia?
 
Mkuu sio kuwa umoja umekosekana baina ya waarabu bali Marekani amewagawanya na kujenga chuki baina yao mfano nchi za kiarabu ambazo ni rafiki na marekani kama UAE, Qatar, Bahrain, Saudi Arabia nk hazipatani na nchi za kiarabu ambazo ni maaduni wa Marekani mfano Iran.

Waarabu wamekaliwa na marekani kwa sababu ya utajiri mkubwa wa mafuta waliyonayo. Na ndiyo maana vita haitaisha huko mashariki ya kati. Wee angalia tangu uvamizi wa Afghanistan, Iraq, hadi leo hizo nchi hazitawaliki lakini mafuta yanatoroshwa kimagendo.

Ile vita ya gulf marekani alijihalalishia kuivamia Iraq kwa kisingizio cha kulinda raia wa Kuwait baada ya kuvamiwa na Iraq . Ila Kuwait ilitumika kuleta chokochoko ili kuihalalishia marekani kuivamia Iraq.

Marekani anafanya divide and rule kuwatawala waarabu wasiojitambua , Hebu Arab spring vuguvugu lile lililetwa na marekani kwa kisingizio cha demokrasia na kushuhudiwa kuwatoa kwa nguvu viongozi kama Gaddafi, Mubarak, na sasa wanajaribu kumtoa Assad. Bila kuwa na maarifa yoyote baadaye kushuhudia nchi zao hazitawaliki huku hao waliosupport wakichota mafuta kupeleka kwao na wananchi wa mataifa hayo kushuhudia hali ngumu ya Maisha hadi kuamua kuwa wakimbizi. Kweli waarabu wazembe sana

Chuki Waarabu ni ya asili, wao kwa wao wana ubaguzi wa kikanda, wa nani ni Mwarabu halisi na pia ubaguzi wa kikoo, ubaguzi wa kidini na kimadhehebu, Marekani anapita kwenye hizo weakness
 
Chuki Waarabu ni ya asili, wao kwa wao wana ubaguzi wa kikanda, wa nani ni Mwarabu alisi na pia ubaguzi wa kikoo, Marekani anapita kwenye hizo weakness
Na hii ndiyo silaha kuu ya Marekani. Na kupitia chuki, ubaguzi na udini baina yao wataendelea kuwa chini ya uvamizi wa wazungu.
 
Mkuu sio kuwa umoja umekosekana baina ya waarabu bali Marekani amewagawanya na kujenga chuki baina yao mfano nchi za kiarabu ambazo ni rafiki na marekani kama UAE, Qatar, Bahrain, Saudi Arabia nk hazipatani na nchi za kiarabu ambazo ni maaduni wa Marekani mfano Iran.
...

Waarabu wana chuki baina yao tangu mwanzo wa nyakati acha kutuletea ujinga. Waulize akina FaizaFoxy, THE BIG SHOW, na hata Mzee Mohamed Said wakusimulie jinsi waarabu walivyofarakana baina yao, kuuana na kuishia kujengeana chuki tangu enzi hizo dini inaanza hadi nyakati zetu hizi. Mwarabu kwa asili ni mtu wa chuki, visasi, na daima hana amani ila bingwa wa unafiki hakuna mfano.
 
Mkuu nimekuelewa, hebu nielimishe vizuri asili ya chuki baina ya waarabu
 
Fungua hiyo link upate japo kwa ufupi mambo ya waarabu na desturi zao huko Arabuni zilivyokuwa tangu mwanzo. Ni vita, mauwaji, visasi, na mambo kama hayo. Hayo yote yalisababishwa na Marekani? By then wala hiyo Marekani ilikuwa haijazaliwa! ASHURA

Mwandishi wa huo ujumbe kwenye mstari wa mwisho kabisa anamalizia kwa kusema, "Kwa hakika kifo (shahada) cha Husayn kitaamsha mori katika nyoyo za waumini ambao hautapoa milele". Hayo ndio mambo ya waarabu akina Daesh, ISIS, na ndugu zao akina Boko, Shabaab.
 
Waarabu wana chuki baina yao tangu mwanzo wa nyakati acha kutuletea ujinga. Waulize akina FaizaFoxy, THE BIG SHOW, na hata Mzee Mohamed Said wakusimulie jinsi waarabu walivyofarakana baina yao, kuuana na kuishia kujengeana chuki tangu enzi hizo dini inaanza hadi nyakati zetu hizi. Mwarabu kwa asili ni mtu wa chuki, visasi, na daima hana amani ila bingwa wa unafiki hakuna mfano.

What you dont understand ni kwamba wapo waarabu ambao ni wakristo wenzako na wanamuabudu jesus kama mungu wao kama vile unavyomuabudu wewe..

Ila sasa kwa kuwa propaganda za wazungu mabwana zako umezimeza basi umeshakuwa kipofu..

Usiuchanganye uislam na uarabu...

Crusade wars zilizopiganwa kuhakikisha ukristo unasimama ziliamuliwa na waislam?

World war one and two...ziliamuliwa na uislam?

George Bush wakati anatangaza kuvamia middle east alisema anaenda kupamba na silaha za maangamiz...na kupambana vita ya msalaba...silaha za maangamiz hakupata..na wamejenga hali ngum kuliko walivyoiacha..

Wakatoka wakenda libya..wakatoka wakaenda syria...baadae wanakuja kuzalisha makundi ya kigaid kama alqaeda..isis na kadhalika kisha baadae anakuja kutupia lawama kwa waislam..

Ila haitupi shida ukweli unafahamika sasa
 
Before muamerica hajavamia huko middle east haya makundi kama isis...alqaeda...ulishayasikia?

Hata kama huko waarabu walikuwa wana matatizo yao ulishawahi skia machafuko kama haya yanayotokea hiv sasa?

Mfano mzuri ni hapo jiran libyaa..walipoenda na kumuondoa ghadaff...wakati wa uwepo wa ghadaff na hiv sasa bora ni wakati upi?

Why unadiscuss outcomes huku ukiacha roots of the problem

Unajitoaje ufaham bure bure kias hiko
Fungua hiyo link upate japo kwa ufupi mambo ya waarabu na desturi zao huko Arabuni zilivyokuwa tangu mwanzo. Ni vita, mauwaji, visasi, na mambo kama hayo. Hayo yote yalisababishwa na Marekani? By then wala hiyo Marekani ilikuwa haijazaliwa! ASHURA

Mwandishi wa huo ujumbe kwenye mstari wa mwisho kabisa anamalizia kwa kusema, "Kwa hakika kifo (shahada) cha Husayn kitaamsha mori katika nyoyo za waumini ambao hautapoa milele". Hayo ndio mambo ya waarabu akina Daesh, ISIS, na ndugu zao akina Boko, Shabaab.
 
... baadae wanakuja kuzalisha makundi ya kigaid kama alqaeda..isis na kadhalika kisha baadae anakuja kutupia lawama kwa waislam..
Mkuu labda nikuulize, una ushauri gani kwa waisilamu watanzania wenye mawazo ya kujiunga na makundi ya kigaidi?
 
Back
Top Bottom