Wanayo mfumo wa kudungua hayo makombora , usidhan n wepes mkuu, kuna shughul pevu hapoKwani Iraq wakati wa Saddam ilipigwa vipi? Vita ya sasa ni anga na makombola ya masafa ya mbali infantry inakuwa mwisho mwisho labda kama unaongelea vita ya mwaka 47!!
Tatizo mnaleta ushabik wa kijinga unaijua vzr US au unaisikia inagopwa io nchi hata kipind cha world war 1 and 2 muingereza na mjeruman walikuwa wanamuogopa mjapan akajitia kichwa ngumu wakapigwa bomu mbili tu wakazika mamilion ya ndugu zao nagasaki na heroshima ebu nikuulize japan na iran ipi nj strong jibu unaloDuuh, aisee...nadhan umechanganya Iran na Iraq mkuu, huijui Iran vizuri mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo Trump kasema USA ina Intelligence Unit Bora dunian kote... Haya maneno yafikirie kwa Dakika 30 utapata majibu kwanini hao China , au Russia hawauwezi mziki wa US....Time will tell.
Us ajitafakariAngalieni Aljazeera muone waziri mkuu wa Iraq anaongea,kiongozi wa Hezbollah kishaongea.USA sasa inabidi wajitafakari.
Sasa kiongozi wa Hezbollah ndiyo marekani wakae kumsikiliza..? Iran alikuwa anatafutiwa sababu wanajua utundu wake wote ajaribu aone kipigo atakachochukua hatakaa asahauu..Angalieni Aljazeera muone waziri mkuu wa Iraq anaongea,kiongozi wa Hezbollah kishaongea.USA sasa inabidi wajitafakari.
mimi kusema ukweli naomba amani itawale.
Hahahah! Kahesabu marekani ana military base ngapi middle east, afu ukumbuke marekani ni mshirika na kiongozi wa NATO na kila mtu anantegemea amsadie pale atakapovamiwa sasa lazima fadhira zilipwe.Marekani hawezi enda vitani peke yake bila UK na wengine,Iran akiungana na mataifa mengine hapo middle east,USA ni zero tu.Aliondoka Vietnam mwenyewe bila kupenda.USA alone is zero zero.
Nakuunga mkono.Kumbuka wataokufa ni wananchi wasio na hatia,mimi kusema ukweli naomba amani itawale.
Saudi Arabia anamchongea Iran, Iraq hampendi Saudi Arabia, yaani ni unafiki tu
Drone mbona wameshindwa kuidungua mpaka ikammaliza kamanda wao?Wanayo mfumo wa kudungua hayo makombora , usidhan n wepes mkuu, kuna shughul pevu hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie.mnao msifia USA nipeni jibu wako wapi wale ma super power wa zamani
Watu wako kihisia zaidi ...Hahahah! Kahesabu marekani ana military base ngapi middle east, afu ukumbuke marekani ni mshirika na kiongozi wa NATO na kila mtu anantegemea amsadie pale atakapovamiwa sasa lazima fadhira zilipwe.
Juzi rais wa ufaransa alisema NATO ina mtegemea USA. Baada ya USA kusitisha mkataba na Iran makampuni kibao ya nchi za ulaya yalisitisha biashara na Tehran.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haikua Iran, ilikua Iraq..mataifa mawili tofaut hayo mkuuDrone mbona wameshindwa kuidungua mpaka ikammaliza kamanda wao?
Mkuu drone zimerushwa kutoka kwenye base za marekani ziliko kwenye bahari. Hivyo Iran angekuwa yuko smart angeziona kabla hazijafika Iraq.
Huu mvutano wa USA na Iran umeanza lini mkuu ? Una miongo mingapi ? Kwann hajampiga mpaka sasa kama alivyofanya kwa Assad ??? Iran sio masikhara mkuu, sio wa kusukuma kama mleviTatizo mnaleta ushabik wa kijinga unaijua vzr US au unaisikia inagopwa io nchi hata kipind cha world war 1 and 2 muingereza na mjeruman walikuwa wanamuogopa mjapan akajitia kichwa ngumu wakapigwa bomu mbili tu wakazika mamilion ya ndugu zao nagasaki na heroshima ebu nikuulize japan na iran ipi nj strong jibu unalo