Tatizo US inapigana vita na wewe nyumbani kwakoNyie watu mnadhani hayo mavitu ndio anapigana tu? hivi mnajua marekani wasingekua na technolojia wangekua wa mwisho kijeshi duniani? Hivi wa Vietnam walikua na hayo madege mnayosema mbona marekani waliwaondoa. Kinachopigana ni tactics ,strategies ,lakini na reason to fight . Je wamarekani wana genuine reason to fight that gives the morale to the fighters. So msije kushangaa ikawa aibu kwa marekani
Hivi unaelewa unachoandika ??? Narudia Tena unaelewa unachoandika ?Basi 2seme mapenzi kwa khamenei maana takwimu zinaonesha ndio mtu mwenye ushawishi zaidi ndani ya IRAN PPia Ikumbukwe Yakwamba Khamenei Ndio Ana Mamlaka Makubwa Kuliko Hata Huyo Rais Wenye Unae Muongelea Hapa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzako hawauwazi hata kidogo huo ukristo labda no maslai yao tu.Tukiwaambia ukweli hawa ijumaa hawasikii wanaanza matusi, Irani ni mtoto wa chekechea ukilinganisha na US
Hii ni dhana tu inajengwa ili kutokugusia kiini cha Tatizo, lakini haina UKweli.Hapa namaanisha kuwa hawa magaidi na vitimbi vyao US wanamkono mkubwa juu ya uwepo wao sasa wamewatumi weee ule wakati wa kupoteza ushahidi ukaanza maana mpaka wao madhara wameyapata.
Nyie watu mnadhani hayo mavitu ndio anapigana tu? hivi mnajua marekani wasingekua na technolojia wangekua wa mwisho kijeshi duniani? Hivi wa Vietnam walikua na hayo madege mnayosema mbona marekani waliwaondoa. Kinachopigana ni tactics ,strategies ,lakini na reason to fight . Je wamarekani wana genuine reason to fight that gives the morale to the fighters. So msije kushangaa ikawa aibu kwa marekani
Magaidi.comHii ni dhana tu inajengwa ili kutokugusia kiini cha Tatizo, lakini haina UKweli.
Kwa mfano, Waliwatumia ili kufanya Nini?
Wapoteze Ushahidi upi na kwa nani wanayemuogopa?. Utaona ni baseless.
Ukweli ni kua magaidi wengi wamekua Indocrinated na Religion.
Magaidi wamekua waki-Recruit new members, wazima mpaka Watoto kupitia nyumba za Ibada.
Ugaidi ni ideology in nature. Watu wanauishi, wanaabudu, wanasujudu.
Kuna watu sio magaidi lakini wanajihisi kushabikia na kuunga mkono Magaidi. Wakipewa Upenyo au Fursa watajiunga moja kwa moja. Ugaidi ni vita vya waoga. Ni sawa na kirusi cha Ukimwi. Kwasababu ni vigumu kumtambua gaidi akiwa katikati ya watu wema.
Na jinsi Waarabu wanavyopata Pesa ya Mafuta na ugaidi unazidi kua na nguvu duniani. Magaidi sio watu masikini. Ila wanaweza kutumia watu masikini wa mali hadi masikini wa akili.
Mimi ninawahurumia watoto wadogo na akina mama, mnaona yanayotea syria, vita sio ya kufurahia, hao viongozi wa iran wanona fahari kutoa amri ya kupigana na wakati wao wanakuwa wanalindwa kwa hiyo hawako kwenye hatari, wanakaa sehemu zenye security, lakini wananchi wa kawaida wanaingia kwenye line of fire kutokana na mazingira.Jamaa wamechukizwa sana na hilo tukio na wana haki ya kuwa hivyo, ila sidhani kama wanaweza ingia vitani na USA, hao waharibifu wana nguvu kubwa sana ya ndani, bado na nchi washirika wake, naona bora Iran wanywe maji tu, hasira zao zitulie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjapani anazidi kutajirika kwa kuuza hivyo vyuma vyake vya Toyota.
Hahah safi sana mkuu,naona umeangalia kwa jicho la 3.Mjapani anazidi kutajirika kwa kuuza hivyo vyuma vyake vya Toyota.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anataka kuwa Supper Power mashariki ya kati. Jambo ambalo si jema kwa dunia nzima.
Nielewe kuwa siombi vita ila kuna wanaotaka kuwa vijogooo (Iran). Acha wapigwe wakome
Na Isael hawataki kumsikia Sheikh Hassan Nasrallah kabisa.. wanamvizia na drone kila siku. walienda Lebanon wakaondoka patupu.Angalieni Aljazeera muone waziri mkuu wa Iraq anaongea,kiongozi wa Hezbollah kishaongea.USA sasa inabidi wajitafakari.
Hakuna lolote ndo maana USA Trump anaropoka ropoka tu,Iran wanamsoma tu.Ila tuombe amani.Fikiria raia wa Iraq ,Afghastan wanavyoishi.Kila binadamu anadeserve maisha katika sehemu yenye amani.
Jitahidi kua mfuatiliaji wa mambo ya kiulimwengu kiundani.Hii ni dhana tu inajengwa ili kutokugusia kiini cha Tatizo, lakini haina UKweli.
Kwa mfano, Waliwatumia ili kufanya Nini?
Wapoteze Ushahidi upi na kwa nani wanayemuogopa?. Utaona ni baseless.
Ukweli ni kua magaidi wengi wamekua Indocrinated na Religion.
Magaidi wamekua waki-Recruit new members, wazima mpaka Watoto kupitia nyumba za Ibada.
Ugaidi ni ideology in nature. Watu wanauishi, wanaabudu, wanasujudu.
Kuna watu sio magaidi lakini wanajihisi kushabikia na kuunga mkono Magaidi. Wakipewa Upenyo au Fursa watajiunga moja kwa moja. Ugaidi ni vita vya waoga. Ni sawa na kirusi cha Ukimwi. Kwasababu ni vigumu kumtambua gaidi akiwa katikati ya watu wema.
Na jinsi Waarabu wanavyopata Pesa ya Mafuta na ugaidi unazidi kua na nguvu duniani. Magaidi sio watu masikini. Ila wanaweza kutumia watu masikini wa mali hadi masikini wa akili.
Nimefuatilia sana na nikaona wale wote wanaoitwa magaidi, have something in Common;Jitahidi kua mfuatiliaji wa mambo ya kiulimwengu kiundani.
Bado hujafuatlia acha uchabiki nakusistiza fuatilia....Sipo kidini ila inaeleweka kua mti wenye matunda ndio upigwa mawe MIddle East kinachowaponza ni utajili wao wa mafuta kwa hiyo US kwakua wanataka kila wadhfa wawe nao wao ndio wanawatafutia sababu..BBC swahili kunamakala wamefafanuua zaidi mzozo wao ulipoanzia.Nimefuatilia sana na nikaona wale wote wanaoitwa magaidi, have something in Common;
1.Wote wanajitangaza kua wanapigana "Jihadi(Holy War)"
2. Na wote wanalenga kushambulia innocence people ili kueneza Hofu na kuwa intimidate mataifa yale ambayo ndio maadui zao.
3. Hawakosi kujiingiza kwenye aina zingine za uhalifu kama Utumwa, Wizi, Biashara ya Unga na Ubakaji wa Wanawake na watoto wa Kike(mf. Bokoharam peke walibaka wasichana takribani 200 wakawapa Mimba.
Kiufupi Tu Huna Lakunambia Kuhusiana Na Siasa Zamashariki YakatiHivi unaelewa unachoandika ??? Narudia Tena unaelewa unachoandika ?
Unamfahama mahmoud ahmadinejad???
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ww unataka awe nani na kwa nn ?!Anataka kuwa Supper Power mashariki ya kati. Jambo ambalo si jema kwa dunia nzima.
Wao na wapuuzi wa US wanaotoka Kwao Us Huko Na IRAN Nani Anaetaka Kuwa Kijogoo ?!.......Nielewe kuwa siombi vita ila kuna wanaotaka kuwa vijogooo (Iran). Acha wapigwe wakome