Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,600
- 36,613
US Anaijua Hekma Toka Lini Angewalisha Watu Matango Pori Kuhusu IRAQ Akaitia Vitani KaikachaWanataka kutumia njia za hekima, Sasa subiri walipe kisasi na waue wamarekani wengi uone kitakachotokea
Msije Mkaja Na Propaganda Nyengne OhooooSafari hii ni Trump, washauri wafanye hivyo tena uone
Aliyekwambia Waarabu wana umoja ni nani?Marekani hawezi enda vitani peke yake bila UK na wengine,Iran akiungana na mataifa mengine hapo middle east,USA ni zero tu.Aliondoka Vietnam mwenyewe bila kupenda.USA alone is zero zero.
Sera za USA sio kurusha makombora hovyo ... Na sio kwamba anashindwa kuichakaza Iran ni Swala la sekunde nchi inakuwa majivu Kama ilivyofanywa Libya chini ya Obama na Hilary Clinton...Mkuu kabla yakutaka kuambiwa lini ungenambia kwanza nilini US Super Power Alirusha Kombora Lake Ndani Ya Mipaka Ya IRAN Kuanzia Mwaka 1979 Mpaka ss ...
Ina maana mifumo ya US hua inafanya kazi ikiwa US Tu
Basi kama ni hivyo jamaa anateseka sana kama mifumo yake haifanyi inavyotakiwa ikiwa nje ya US..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maana mashia wakiachwa bila kudhibitiwa watataka kuwapanda masuni, Mdhibiti mkuu ni USA.Siyo suala la dini ingekuwa dini Marekani asingekuwa na base hata moja mashariki ya kati,kingine msichokijua waislam wa sunni walio wengi wako pamoja na Marekani
Sasa Sera Za IRAN Ni Kutokuivamia Ama Kuipiga Nchi Yoyote Ile Labda Itakapo Muanza Kama Ilivyokua Kwa IRAQSera za USA sio kurusha makombora hovyo ... Na sio kwamba anashindwa kuichakaza Iran ni Swala la sekunde nchi inakuwa majivu Kama ilivyofanywa Libya chini ya Obama na Hilary Clinton...
Siraha za kisasa nyuma ya mipango ya USA ni Economic sanctions na biological weapons ... Huyo Iran ameshapigwa vikwazo kuanzia mwaka Jana raia wanataka raisi wao aachie ngazi kwa maisha kuwa magumu....
Sitashangaa utakuja hapa na kusema USA Hana uwezo wa kuipiga Somalia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini utaje mambo ya imani?,hivi we utajisikia vizuri watu kusema watu was jumspili wamemuua kamanda wa Iran?.Tukiwaambia ukweli hawa ijumaa hawasikii wanaanza matusi, Irani ni mtoto wa chekechea ukilinganisha na US
hadi kweny mpira kazi yetu ni kushabikia tuYaani sisi dunia ya tatu kazi yetu ni kushabikia tu.
Tukiitwa tuonyeshe silaha zetu tunazoweza kutengeneza tutapeleka mawe, marungu, majembe.
Huyu anatafuta ugomvi wa kidini, wewe achana na mimiKwanini utaje mambo ya imani?,hivi we utajisikia vizuri watu kusema watu was jumspili wamemuua kamanda wa Iran?.
Halafu unaona sifa Sana kwa nchi kumiliki misilaha ya kuulia watu,Basi wewe unajisikii rahaaa.
Ha ha ha,lakini jamaa wameshasema marekani ataondoka Iraq Iwe Kama alivyokuja wima,au akiwa kalala kwenye sanduku
Nisipojua maana yake ndio nakuwa chizi ???.
Haya na wewe nipe maana ya MdoSuloPutu
Sent using Jamii Forums mobile app
Inflation rate mpaka mwaka Jana ilikuwa ni 37% .. Wewe Kama ulienda shule huo mfumuko wa bei kwa akili yako ni mzuri kwa nchi Kama ilani ... Unaongea maneno matupu huna hata tangiable evidence , ila sishangai ndio vijana wa Tanzania wapo wapo Kama walevi....Sasa Sera Za IRAN Ni Kutokuivamia Ama Kuipiga Nchi Yoyote Ile Labda Itakapo Muanza Kama Ilivyokua Kwa IRAQ
Halaf Vikwazo Vya US Kwa IRAN Havikuanza Jana Na Leo Ila Kila Leo Mnasema RAIS Hatakiwi Ila Bado Yupo Madarakani Nikukumbushe Kama UTAWALA Unaotawala IRAN Ungekua Hautakiwi Mazishi Ama Mapokezi Ya SULEIMAN Alale Pema YasingejazaMamilioni Yawatu Kiasi Kile
Suala Lasomalia Unalileta Wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan Maduro Wavenezuela Alitakiwa Kuondolewa Kisa MAISHA Ama Kisa Kaiba Kwenye Uchaguzi Ambayo Guaido Alijitangaza Raisi Nayeye Na Kutambuliwa Na Nchi Kibao Kama Rais Wa Venezuela Badala Ya MADURO Haya Ya Maisha Hamekuja Hv Karibuni Baada Ya VIKWAZO Vya USInflation rate mpaka mwaka Jana ilikuwa ni 37% .. Wewe Kama ulienda shule huo mfumuko wa bei kwa akili yako ni mzuri kwa nchi Kama ilani ... Unaongea maneno matupu huna hata tangiable evidence , ila sishangai ndio vijana wa Tanzania wapo wapo Kama walevi....
Yani wewe ugumu wa maisha unaupima kwa raisi kuwa madarakani na sio namba..Eti mbona hawamuondoi madarakani
Haya Venezuela Walipigwa Sanctions na US mwaka Jana inflation rate ikaenda mpaka 200,000% , najua ulikuwa hujui maana wewe ni kilaza ... Nchi ilipigwa njaa ... Raia wanaandamana nchi nzima ila mpaka Sasa hawajamuondoa madarakani ... Nikuulize Sasa wewe Je , kutokuondolewa madarakani kwa Maduro ni kwamba raia wanamkubali ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna lolote ndo maana USA Trump anaropoka ropoka tu,Iran wanamsoma tu.Ila tuombe amani.Fikiria raia wa Iraq ,Afghastan wanavyoishi.Kila binadamu anadeserve maisha katika sehemu yenye amani.
Lkn US anaweza akaishambulia Russia uso kwa uso sio?
dodge
Hana sababu ya kufanya hivyo.Ikiwa wakati wa Cold war hapakutokea head to head military confrontation between the two, hilo haliwezi kutokea hivi sasa. Hivyo swali lako halina foundation yoyote ile. Na kumbuka, hapa ni suala la Iran na USA.
Hukuona hio sentensi huyo jamaa aliposema "Kati ya china, Russia, na Iran, hakuna nchi inayoweza kupambana na USA uso kwa uso "all out War "
dodge