Iran vs. US military capabilities

Hayo maneno hata kwenye drone yake ile ilo2nguliwa mwaka jana yalikuepo kama haionekani na nn cjui lakini hatimae imepasuka....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo drone ilitunguliwa New York ??.


Hebu kaeni chini mjifunze vitu acheni story za vijiweni ... THAAD na system za kuzuia makombora kutua Aridhi ya Marekani naaamini ulikuwa hujui .... Wewe unaniletea story za drone ...


Haya niambie lini Missiles za hao Iran, uturuki, Russia zikatua miji ya USA ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo inaeleweka sana kua katika nchi ambazo US walikuna na wanaendelea kukuna kichwa basi Iran moja wapo.
Kwa miaka 40 wamejaribu choko choko zao wanakuta wakina Ayatollah wako ngangari.

dodge
 
Hiyo inaeleweka sana kua katika nchi ambazo US walikuna na wanaendelea kukuna kichwa basi Iran moja wapo.
Wanataka kutumia njia za hekima, Sasa subiri walipe kisasi na waue wamarekani wengi uone kitakachotokea
 
Walishawahi kuwaua wanajeshi wa wamarekani zaidi ya 300 kwa kutumia trucks zenye mabomu,US walifanya nini?
Wanataka kutumia njia za hekima, Sasa subiri walipe kisasi na waue wamarekani wengi uone kitakachotokea

dodge
 
Lkn US anaweza akaishambulia Russia uso kwa uso sio?
dodge
 
Mpaka leo mashariki ya kati haijatulia,kuibuka kwa Isis ni matokeo ya vita ya Iraq
 
Hili swala mngejua hata wa iran wenyewe wanatamani vita ili huo utawala uondolewe msingebishana humu.haswa vijana hawaupendi huo utawala. Kwani wamebanwa mno hawako free wanajiona wameletewa utawala wa kiarabu nchini mwao. Vita ni umoja ili ushindi upatikane. Wale vilemba ndio wanaoufaidi utajiri wa Iran kwa kisingizio cha uislaam. Pia hao viongozi ni waongo hatari vita vikianza utashangaa wao wameshakimbia zamani sana . labda wapigane kwa mbinu za kigaidi huku wakikwepa kuwa wao hawahusiki.na nguvu kubwa wanaitegemea urusi. Pili Tehran inajibagua sana na baadhi ya mikoa wao wakijiona ni kundi lililo bora sawa na (esfahan) Vita ni mshikamano Iran ya zamani si ya sasa kwani tumaini walilotegemea wakati wa mapinduzi lilikwisha potea na wamekata tamaa. Maisha magumu kwa raia ni kitu cha kawaida. Hao si wafia dini kama walivyo sunn wa Iraq. Wao wanajiona kama wajeruman so wanauoga tu kuupinga huo utawala. Na Vita ikitokea msitegemee upinzani wa ki hivyoo .siwezi kuiongelea marekani kwa kuwa siijui. Tuombe mungu kuiepusha hii Vita kwa viumbe visivyo na hatia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka leo mashariki ya kati haijatulia,kuibuka kwa Isis ni matokeo ya vita ya Iraq
Acha waibuke ISIS wengi, ikiwezekana nchi nzima wawe ISIS ili iwe rahisi kuwaua, hata akifa mmoja wanatangaza kafa ISIS.
Bomu likiuwa wote Bagdad inakuwa wamekufa ISIS, easy tu yanajimwambafy na uwezo hayana.
 
Yaani mibongo kazi yao kushabikia tu nyuma ya kibodi ya tecno .....😈😈😈😈
 
Mkuu kabla yakutaka kuambiwa lini ungenambia kwanza nilini US Super Power Alirusha Kombora Lake Ndani Ya Mipaka Ya IRAN Kuanzia Mwaka 1979 Mpaka ss ...

Ina maana mifumo ya US hua inafanya kazi ikiwa US Tu


Basi kama ni hivyo jamaa anateseka sana kama mifumo yake haifanyi inavyotakiwa ikiwa nje ya US..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…