Iran vs. US military capabilities

Mkuu,

Usiandike tu kishabiki bila kufanya analysis.

Hebu tuambie US Ina ukubwa gani ardhi yake vs Iran, Askari mmoja analinda eneo kubwa kiasi gani?

Ratio ya eneo vs vifaa.

Ni sawa na kuitaka Rwanda owe na vifaru sawa na Tanzania wakati eneo lao kukiwa na vifaru 30 vinatosha Ila wewe unataka wawe navyo 5000. Wakivipanga tu hakuna anjia ya kupita magari
 
Kwahiyo mkuu Rwanda akiwa na vifaru 30 vitamtosha hata akivamiwa na vifaru 5000??
Bangi mbaya
 
Vita haitangazwi na kuanza.
Hizo unazozisema ndio cheche za vita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mkuu drone zimerushwa kutoka kwenye base za marekani ziliko kwenye bahari. Hivyo Iran angekuwa yuko smart angeziona kabla hazijafika Iraq.
Halafu kama akishaziona azifanye nn IRAN Ana Haki Yakufanya Nn Ndani Ya Mipaka Ya IRAQ ?!...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yah
Kwa Saud Arabia ndio USA??? ... Hoja nimezinjenga kwa USA wewe unanijibu kwa Saudi Arabia

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekujibu kwa SAUDIA Kwasababu US Ana Vifaa Vyake Pale Vyakijeshi Kuzuia Mashambulio Yasiingie SAUDIA Chaajabu Yameingia


Naunahisi US Atampigia IRAN Kutokea Washington Ama New York

Pole sana Kaka MKUBWA....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
YahNimekujibu kwa SAUDIA Kwasababu US Ana Vifaa Vyake Pale Vyakijeshi Kuzuia Mashambulio Yasiingie SAUDIA Chaajabu Yameingia


Naunahisi US Atampigia IRAN Kutokea Washington Ama New York

Pole sana Kaka MKUBWA....

Sent using Jamii Forums mobile app
Vifaa gani vilivyoko Saudia??? Nimekuwekea kifaa Cha THAAD wewe unakuwa general eti vifaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa wakitandikana tujiandae kupanda kwa bei la wese
 
Watu mnashabikia vita kijingakijinga
Inatakiwa dunia ya amani


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…