We mangi, acha kudanganyika uchumi wa Marekani unadorora kwa sababu ya vita kubwa mbili zilizoandaliwa kinyemela na akina Bush and the co. vita ya Irak na ile ya Afghanistan. Wanaofaidika kiuchumi kutokana na hizo vita ni hao hao watajwa hapo juu lakini Marekani kama nchi sasa hivi imeathirika sana kiuchumi hata mwenyewe wajua hilo. Huyu Mjaluo sasa hivi anajaribu kubana matumizi hata kufikia kupunguza air craft carrier zao kutoka 11 kwenda 10, pia ule mradi wa F-35 JSF pia unakatiwa fedha kama ilivyokuwa kwenye F-22 raptors, pia kambi nyingi sana za kijeshi ndani na nje ya USA zitafungwa etc, etc. Hii yote ni kutokana na strain ya hizo vita mbili kwenye uchumi wa nchi, pia kumbuka wamekuwa wakitegemea kukopa fedha kwa ajili ya mambo yote hayo...:lol:
Hii ni sahihi kabisa...the so called cowboy wars.😛oa
Mkuu, wote wanajuwa kabisa what gets the economy going is spending, lakini tatzo ndilo hilo, spending on what?
Hapo ndipo wamegawanyika...
Repubs wanasema spending ni muhimu, lakini wanataka spending on things they believe will stimulate the economy, na wanasema la muhimu ni ku cut "wasteful spending", ila defense si mojawapo kwa upande wa repubs...
Pia wanataka spending on private sector, walimsusia Obama, na ndiyo maana Obama ikabidi aspend kwenye federal programs, just to keep the economy going...Na pia evidently some on war ie Libya!
Kwa upande wa democrats, wao wanaamini spending pia lakini za tofauti na zile za Repubs na pia hawakubalini ku cut spending on some of the domestic programs...
Wanaamini kuwa pesa ya ziada itapatikana kwa kuwa tax matajiri their "fair tax" share, wana amini kama defense itakuwa cut, basi ni kwasababu mbinu ya vita sasa imebadilika, ambapo si lazima kuwa na majeshi sehemu flani flani, bali "predators" AKA unmanned planes, zina replace, haina maana kwamba vita ni mbaya kwao...Again wanachojali zaidi ni human cost, na ndiyo maana Bush alipiga marufuku majeneza kuonyeshwa kwenye TV yakirudi.
Wakisha pata namna ya kure shuffle spending allocations, mtaona kama defense itakuwa cut all together!
Hii issue mnavyoiangalia nyie, kwa kweli siwalaumu, lakini pia mtambuwe kuwa hayo mabomu hayawagusi wamarekani wenyewe na hivyo uchungu wa vita hawaujui kihivyo, na Gates juzi hapa alilalamika kuwa cutting defense spending will jeopordize security.
Mimi naangalia issue kama mtu huru bila kusukumwa na hisia,na ndiyo hapo tunapotifautiana.
Hadi sasa ni federal Reserves pamoja na mebenki kadhaa ie Japan, wamekuja pamoja kuisadia Euro, same stories "dejavu" like after world war 2...?! Soma hapo chini...
(
http://www.cnbc.com/id/45490416)
Sasa kama hao matajiri wakikubaliana na hiyo tax policy itakayowafanya walipe ile wanayoita "fair share" Unadhani defense itakatwa?
Sijui huwa mnatizama vipi issue wakuu!?
Msiangalie issue kwa ushabiki, tizame reality, mliko huko mimi pia nilikuwepo, lakini nimejifunza kuweka reality into account!