Iran shoots down US drone | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iran shoots down US drone

Discussion in 'International Forum' started by Jasusi, Dec 4, 2011.

 1. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  TEHRAN (Reuters) - Iran's military has shot down a U.S. reconnaissance drone aircraft in eastern Iran and has threatened to respond to the violation of Iranian airspace, a military source told state television Sunday.
  "Iran's military has downed an intruding RQ-170 American drone in eastern Iran," Iran's Arabic-language Al Alam state television network quoted the unnamed source as saying.
  "The spy drone, which has been downed with little damage, was seized by the Iranian armed forces."
  Iran shot down the drone at a time when it is trying to contain foreign reaction to the storming of the British embassy in Tehran Tuesday, shortly after London announced that it would impose sanctions on Iran's central bank in connection with Iran's controversial nuclear enrichment program.
  Britain evacuated its diplomatic staff from Iran and expelled Iranian diplomats in London in retaliation, and several other EU members recalled their ambassadors from Tehran.
  The attack dragged Iran's relations with Europe to a long-time low.

  "The Iranian military's response to the American spy drone's violation of our airspace will not be limited to Iran's borders," the military source said, without elaborating.
  The United States and Israel have not ruled out military action against Iran's nuclear facilities if diplomacy fails to resolve the nuclear dispute.

  Iran has dismissed reports of possible U.S. or Israeli plans to strike Iran, warning that it would respond to any such assault by attacking U.S. interests in the Gulf and Israel.
  Analysts say Tehran could retaliate by launching hit-and-run strikes in the Gulf and by closing the Strait of Hormuz. About 40 percent of all traded oil leaves the Gulf region through the strategic waterway.
  Iran said in July it had shot down an unmanned U.S. spy plane over the holy city of Qom, near its Fordu nuclear site.

  (Additional reporting by Ramin Mostafavi, Writing by Parisa Hafezi; Editing by Tim Pearce)


  @yahoonews on Twitter, become a fan on Facebook
   
 2. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kazi imeanza taratiiibu
   
 3. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #3
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,918
  Trophy Points: 280
  Hapo ndo penye mambo,ndo karata kubwa ya wairan...
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Dec 4, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,535
  Likes Received: 81,956
  Trophy Points: 280
  Hii si dalili nzuri kwa uchumi wa dunia ambao bado unasuasua....Vita nyingine itasababisha bei ya mafuta ipande kwa kiwango kikubwa na hivyo kuondoa kabisa matumaini ya uchumi wa dunia kuanza kukua tena.
   
 5. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #5
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,918
  Trophy Points: 280
  Ili uchumi wa dunia usonge mbele ni lazima chumi za mataifa makubwa nazo kwanza zifanye hivyo.

  Yaniina maana kuwa ni lazima mkubwa ale kwanza na ashibe kabla wengine hawajafanya hivyo...

  Na mitafaruku ndo njia peke ya kuokoa chumi zao,kwahiyo vita ni mbaya kwa wengine lakini si kwa wote,marekani hawa tena wameshagunduwa haya ya drones, unajuwa wenzetu sometime wanachukulia vita kama war games.

  Lakini mostly wako kibishara zaidi.
   
 6. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #6
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,918
  Trophy Points: 280
  Cheki hii...
   
 7. Waridi

  Waridi JF-Expert Member

  #7
  Dec 4, 2011
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,027
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wekeni kumbukumbu vizuri, huenda hii ndio risasi ya kwanza ya WWIII. Ikiwa yatakuwa ndio hayo, chondechonde waafrika tusitie timu kwenye huu mtanange!
   
 8. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #8
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,918
  Trophy Points: 280
  Dada Waridi,

  Toka lini mwafrika ana uwezo wa kujiamulia lolote?

  Siyo chini ya viongozi wa sasa.
   
 9. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #9
  Dec 4, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hiyo ndio inatakiwa sasa china juu us bye bye :poa ..
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Dec 4, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,535
  Likes Received: 81,956
  Trophy Points: 280
  Mkuu jmushi01 kwa maoni yangu uchumi wa dunia umeathirika sana kutokana na uvamizi wa Iraq ambao ulianza mwaka 2003. Uvamizi ule ulisababisha bei ya mafuta ipande kwa kiwangi kikubwa na hivyo pesa nyingi katika nchi nyingi zilitumika katika uagizaji wa mafuta na hata Wananchi wengi katika nchi nyingi duniani ilibidi wapunguze matumizi yao katika sehemu nyingine za kiuchumi ili waweze kukidhi bei za mafuta ambazo zilikuwa juu sana.

  Kumbuka Kichaka na Serikali yake walisema vita ile ingegharimu $30 miiloni tu lakini hadi hii leo ni zaidi ya $1.3 Trillioni zimeanguka. Hebu fikiria kama pesa ile ingekuwa invested katika mambo mbali ya kiuchumi tangu mwaka ule wa 2003. Mimi naamini kabisa kama hilo lingetokea basi sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine kabisa kuhusu hali ya uchumi wa dunia ambayo engine yake ni Marekani. Naamini kabisa uneemployment rate ingekuwa ni chini ya 6% na uchumi wa dunia ungekuwa katika hali nzuri zaidi kuliko ilivyo sasa.

  Ni kweli wakati wa vita kuna makampuni ambayo yanapata neema kubwa sana lakini hayana impact kubwa sana katika kunyanyua uchumi wa Marekani na hivyo wa dunia. Naamini kabisa kama itatokea vita nyingine na Iran na kama itakuwa ya miaka mingi, tuseme miaka miwili na kuendelea, basi uchumi wa dunia utazidi kudhoofika na hivyo kuathiri watu wengi sana duniani kuliko ilivyo sasa.

   
 11. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #11
  Dec 4, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,535
  Likes Received: 81,956
  Trophy Points: 280

  Nakuunga mkono Mkuu. Hili ni la kweli kabisa. Vita inaidhoofisha sana US kiuchumi sijui kwanini hawalioni hili.
   
 12. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #12
  Dec 4, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,535
  Likes Received: 81,956
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #13
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,043
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mmmhhh, I can smell a rat. So help us God!
   
 14. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #14
  Dec 4, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mathayo 24:3-9

  3 Hata alipokuwa ameketi katika mlima wa Mizeituni, wanafunzi wake wakamwendea kwa faragha, wakisema, Tuambie, mambo hayo yatakuwa lini? Nayo ni nini dalili ya kuja kwako, na ya mwisho wa dunia?4 Yesu akajibu, akawaambia, Angalieni, mtu asiwadanganye.5 Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.6 Nanyi mtasikia habari za vita na matetesi ya vita; angalieni, msitishwe; maana hayo hayana budi kutukia; lakini ule mwisho bado.7 Kwa maana taifa litaondoka kupigana na taifa, na ufalme kupigana na ufalme; kutakuwa na njaa, na matetemeko ya nchi mahali mahali.8 Hayo yote ndiyo mwanzo wa utungu.9 Wakati huo watawasaliti ninyi mpate dhiki, nao watawaua; nanyi mtakuwa watu wa kuchukiwa na mataifa yote kwa ajili ya jina langu. MWENYE MASIKIO NA ASIKIE!_eRRy
   
 15. n

  njemba fulani Member

  #15
  Dec 4, 2011
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  like we have a choice!!! WWIII ikitokea sie kwakuwa bado ni makoloni lazima tutie timu kwa kupenda au kutopenda, jst angalia mambo mangapi serikali zetu zinailazimika kufanya bila ridhaa zetu, mfano mdogo ni jinsi gani cameron alivotaka tulikubali suala la homosexuality,hiyo ianonyasha that we r stiil under colonial rule but the only difference is that sa hivi hawakai hapa kwetu wananutawalia Washington au London.
   
 16. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #16
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Vita ni vya mungu wala si kazi ya binadam! mnapoinyoshea kidole usa, muionye pia iran, kwani kuporomoka kwa uchumi wa dunia si kitisho eti wasidundwe, wanadundwa, uchumi unaporomoka, wanapoteza umoja wao, wanamalizwa na athari za vita, wananyong,onyezwa na mporomoko wauchumi, na kiu ya new killer inayeyuka!!! wajifunze matokeo kwa iraq, afganistan n.k
   
 17. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #17
  Dec 5, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  dah! Hawa jamaa wanapenda ugomvi,hivi tatizo lao ni nini hasa? Nalog off
   
 18. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #18
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,918
  Trophy Points: 280
  Mkuu,cheki hapo chini kwenye analysis zao...Housing crisis was the main problem...
  Kwa khabari zaidi, ingia humu...Current Issues in U.S. Monetary Policy :: April 7, 2011 :: Federal Reserve Bank of Cleveland
   
 19. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #19
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,918
  Trophy Points: 280
  Mkuu BAK,Pitia taratibu tu kipengele baada ya kipengele halafu you might see what i mean...Na hao ndiyo FED's wenyewe AKA FOMC...

  Mkuu unajuwa hizo reconstructions za baada Ya vita etc zina angukia wapi?
  Kwahiyo hakuna pahala kwenye analysis za hao feds zinazoonyesha kwamba vita ina negative impact.

  Wao wanacholalamika mara pengi ni cost ya human life.
   
 20. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #20
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,918
  Trophy Points: 280
  Kuhusu hilo la mafuta,feds wanaitizama hivi pale wanapopitisha policies zao...Ni kweli kuwa bei za mafuta zikipanda, lakini wao hawaoni ni shida kwasababu hawaamini kama inaweza kuleta a lasting inflation...Sababu kubwa ni kwamba hizo ni large increase on prices for food and energy but they are "temporary"


   
Loading...