Nakuunga mkono Mkuu. Hili ni la kweli kabisa. Vita inaidhoofisha sana US kiuchumi sijui kwanini hawalioni hili.
..naona mnawaelewa hawa US kinyume kabisa,FYI war is a very good business kwa Economy ya US na ndio maana miaka yote wako busy kutafuta hizo war,hizi war zinaongeza sana nguvu za uchumi wao lakini hakuna hata mwanasiasa anaweza kujaribu kusema hilo maana kila mtu anaogopa hizi military industry,hivi mkisikia US wame spend trillion dollar for Iraq war mnafikiri hizo pesa zimeenda wapi?in short hizo pesa zimeingia in American economy through banking,wallstreet,military industry etc Iraq hawakuona hiyo pesa kwao na wao ndio watakuja kulipa for many yrs to come,hapo wamenunua kuanzia tankers,jetfighters,bullets,foods etc kutoka American factories,kumbuka hakuna made in china in american military kwa hiyo pesa yote inaingia in american Economy na wakati huohuo Iraqis watakuja kulipa hiyo so called misaada na billions of oil contracts to Americans,world war 2 kulikuwa na booming economy in America kwa ajiri ya hiyo vita....vita ni industry kama housing,autos etc na ni part kubwa sana kwenye economy ya hawa watu na ni inawaletea utajiri mkubwa sana kuliko kitu chochote,hiyo Iraq imekula 1.3 trillion lakini wanaweza wakawa wametengeneza double kwenye uchumi wao