Iran na Israeli zajibizana kuhusu Tel Aviv

Iran na Israeli zajibizana kuhusu Tel Aviv

Fake news
Mossad pulled its agent out of Iran, MI6 smuggled him to UK on dinghy – report
Sunday Express says nuclear scientist with knowledge of program in wake of 2015 deal was eventually transferred to US
By STUART WINER 10 February 2019, 8:38 pm


Israel's Mossad spy agency pulled a nuclear scientist out of Iran and helped get him to Britain in a joint operation with the UK’s MI6 and the American CIA, the British Sunday Express newspaper reported.

The technician was a long-time Israeli agent who was said to have played a part in the 2012 assassination of Mostafa Ahmadi Roshan, an Iranian nuclear scientist and director of Iran’s Natanz uranium enrichment facility, who was blown up by a bomb attached to his car in Tehran, sources told the weekly.



In October, the technician, 47, began worrying he was going to be found out, so a plan was put together to extract him from Iran, the report said. British and US agents were reportedly keen to speak with the technician to find out everything he knows about what Iran has been up to since signing a 2015 nuclear agreement to limit its nuclear development program.

After the Mossad successfully extracted the technician in December, and he was debriefed in Israel, he began a 3,000-kilometer (1,865-mile) journey across Europe to reach the UK, the report said.
MI6 was reportedly tasked with getting him through Europe and into the British Isles, after which he was to be transferred to the US.
Iranian authorities quickly noticed he was missing and apparently sent a force to track him down, the report said.
“This wasn’t without its challenges,” a source told the Sunday Express. “His absence was noted quickly, and we were informed that a special unit of Islamic Revolutionary Guard Corps was sent after him..
​
Police were dispatched to the beach to pick up the migrants, and MI6 agents quickly moved in to retrieve the technician, who was taken to a safe house and questioned by intelligence officials, the report said.
“We were reassured during our interview Iran seems to be sticking by the terms of the JCPOA,” the source was quoted as saying. “This is good news.”
After being interviewed by British authorities, the technician was transported to the US, the report said.
US President Donald Trump pulled out of the JCPOA in May 2018, saying the agreement was not strict enough in preventing Iran from developing nuclear weapons and also citing concerns over Iran’s ballistic missile development program.
 
Usisahau tu kuwa Ndo nchi inayopokea msaada mkubwa sana kutoka marekani
Tangu dunia iumbwe, hakuna inchi iliyowahi kupigana vita na mataifa zaidi ya matatu kwa wakati mmoja na kushinda isipokuwa Israel pekee. (Misri, Iraq, Libya, Jordan, siria n.k) walipoteana

The Unknown
Screenshot_20181227-162716.jpeg
 
Hilo la huyu the former president wa Iran kua mwenye asili ya Israel nililiacha makusudi ili nisigombane na wenye dini yake but the truth is, jamaa na yeye nae ni Myahudi na nina hakika ndio maana Israel anaweza kutamba kuipiga Iran kwa muda mfupi because of that, yaani wana jeshi wa Iran wanaweza kujikuta badala ya kuipiga Tel Aviv wakaanza kuzigeuza bunduki na mabomu yao huko huko Tehran
Unanidanganya mkuu
 
Huku İran ikitishia kuifuta Tel Aviv na Haifa katika ramani, Netanyahu awaonya wasijaribu kufanya makosa hayo
Vita kali ya Maneno baina ya İran na İzrael
Waziri mkuu wa İzrael Benjamin Netanyahu ameijibu kauli ya İran isemayo kama Marekani ikiishambulia İran basi İran watalipiza kisasi kwa Kuifuta Tel Aviv na Haifa katika uso wa dunia.

Netanyahu amesema kama İran itajaribu kufanya makosa ya kuifuta Tel Aviv na Haifa katika uso wa dunia huo ndio utakuwa mwaka mpya wao wa mwisho kuusherekea.

Netanyahu alisema hawajavipuuzia vitisho vinavyotolewa na İran lakini pia hawajatishika kwa vitisho hivyo.

Netanyahu alisema kama uongozi wa sasa wa İran ulıopo madarakanı utajarıbu kufanya makosa ya kuifuta Tel Aviv na Haifa, kıtu ambacho hawatafanikiwa lakini huo ndio unaweza kuwa mwaka mpya wao wa mwisho kuusherekea.

Mmoja wa makamanda wa jeshi la İran Yadullah Javani aliliambia shirika la habari la İran İRNA hapo jana kwamba kama Marekani itaishambulia İran basi na wao (Iran) wataifuta Tel Aviv na Haifa katika ramani.

Trt
Irani hawajui wasemalo.
Zekaria 12
1 Ufunuo wa neno la Bwana JUU YA ISRAELI. Haya ndiyo asemayo Bwana, azitandaye mbingu, auwekaye
msingi wa dunia, aiumbaye roho ya mwanadamu ndani yake.
2 Angalia, mimi nitafanya Yerusalemu kuwa kikombe cha kuyumba-yumba kwa watu wa kabila zote,
wazungukao pande zote; tena kitakuwa juu ya Yuda pia wakati wa kuhusuriwa Yerusalemu.
3 Tena itakuwa siku hiyo, nitafanya Yerusalemu kuwa JIWE LA KUWALEMEA WATU WA KABILA ZOTE; wote
WATAKAOJITWIKA JIWE HILO WATAPATA JERAHA NYINGI; na mataifa yote ya dunia watakusanyika pamoja juu yake.
4 Katika siku hiyo, asema Bwana, NITAMTIA KILA FARASI USHANGAO, NA YEYE AMPANDAYE NITAMTIA WAZIMU;
nami nitaifunulia nyumba ya Yuda macho yangu, nami nitamtia upofu kila farasi wa hizo kabila za watu.
5 Na wakuu wa Yuda watasema mioyoni mwao, Wenyeji wa Yerusalemu ni nguvu zangu katika Bwana wa
majeshi, Mungu wao.
 
Unanidanganya mkuu
Israel controls American politicians and media through its powerful lobby in Washington, enabling it to change the political dynamics in favor of the regime in Tel Aviv, says a journalist in New York.

“They already own every politician in the Congress” and “control the entire media apparatus in the Western world,” David Christie said in an interview on Tuesday.

He made the comments after a new batch of emails from Hillary Clinton’s private server was released, showing that the former secretary of state considered a secret plan to foment unrest among Palestinians in order to push the Israeli leaders into taking action.

The recommendation was made in a Dec. 18, 2011 email to Clinton by then US ambassador to Israel, Thomas Pickering, as a method to prompt Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu to resume the failed negotiations with the Palestinians.

Pickering characterized the plan as a potential “game changer in the region,” arguing that the United States should undertake the campaign to spark protests, led by female Palestinians, against Israel.

The former diplomat suggested that the United States should employ non-governmental groups and third parties to “help” implement the plan.

“It’s not a surprise that Secretary of State Hillary Clinton was desperately searching for some way, some strategy, to deal with the racist-supremacist, warmongering psychopaths running Israel,” Christie told Press TV.

“But the miscalculation here is that the Zionist regime, headed up by master political-criminal and sociopath lunatics like Netanyahu, loves an opportunity to create another bloodbath,” he said of the clandestine campaign.

“This is because when Jews control the media,” the journalist said, “they control the perceptions of everything among couch-potatoes in the United States,” making it possible for American voters to “vote for the candidate that is most loyal, not to the United States, but to Israel.”
 
Bahati mbaya kwako ni kuwa hicho ni kitu ambacho HAKITAWEZEKANA MILELE. Soma maandiko na vitabu vya historia utajua sababu.
Mbona kihistoria walifurumushwa hapo Israel na mataifa mengi tu na mwishoni Roman empire na wakatawanywa na mpaka leo zaidi ya makabila 10 hayajulikani yalipo yaani yalitoweka!!

Hapo bado masalia wanadai waliuawa million 6 na Hitler..... Kma aliweza kuwachinja kama kuku kwanini Iran wasiweze??

Sishabikii upande wowote ule ila sipendi mnavyowapa Israel sifa zisizo na uhalisia..... Wao ni kma mimi na wewe tu hakuna cha utaifa teule maana hata kibiblia taifa teule ni wanaomfuata Yesu tu sio wayahudi tena!! So tusiwakuze sana kupita kiasi Bila marekani hamna kitu pale na ndio maana hata hilo taifa walipewa na uingereza na sio Nabii wa Mungu kama kwenye agano la kale!!

Tubadilike
 
Irani hawajui wasemalo.
Zekaria 12
1 Ufunuo wa neno la Bwana JUU YA ISRAELI. Haya ndiyo asemayo Bwana, azitandaye mbingu, auwekaye
msingi wa dunia, aiumbaye roho ya mwanadamu ndani yake.
2 Angalia, mimi nitafanya Yerusalemu kuwa kikombe cha kuyumba-yumba kwa watu wa kabila zote,
wazungukao pande zote; tena kitakuwa juu ya Yuda pia wakati wa kuhusuriwa Yerusalemu.
3 Tena itakuwa siku hiyo, nitafanya Yerusalemu kuwa JIWE LA KUWALEMEA WATU WA KABILA ZOTE; wote
WATAKAOJITWIKA JIWE HILO WATAPATA JERAHA NYINGI; na mataifa yote ya dunia watakusanyika pamoja juu yake.
4 Katika siku hiyo, asema Bwana, NITAMTIA KILA FARASI USHANGAO, NA YEYE AMPANDAYE NITAMTIA WAZIMU;
nami nitaifunulia nyumba ya Yuda macho yangu, nami nitamtia upofu kila farasi wa hizo kabila za watu.
5 Na wakuu wa Yuda watasema mioyoni mwao, Wenyeji wa Yerusalemu ni nguvu zangu katika Bwana wa
majeshi, Mungu wao.
Mkuu huu ulikuwa unabii juu ya YESU na Israel mwenyewe ni Yesu ndio maana Hoseah 11:1 alitabiri Yesu ataenda misri na baadae kurudi Judea na katika mstari huu Yesu aliitwa ISRAEL..... Na wote wanaomfuata wanakuwa ndio wana wa Israel yaani warithi wa baraka zote za wana wa Yakobo rejea Galatia 3:29

Hivyo hakuna uhusiano wowote kati ya Unabii wa zakaria na Hii Israel feki ya sasa ule unabii uliishia kwa Yesu na wafuasi wake!!
 
Mkuu huu ulikuwa unabii juu ya YESU na Israel mwenyewe ni Yesu ndio maana Hoseah 11:1 alitabiri Yesu ataenda misri na baadae kurudi Judea na katika mstari huu Yesu aliitwa ISRAEL..... Na wote wanaomfuata wanakuwa ndio wana wa Israel yaani warithi wa baraka zote za wana wa Yakobo rejea Galatia 3:29

Hivyo hakuna uhusiano wowote kati ya Unabii wa zakaria na Hii Israel feki ya sasa ule unabii uliishia kwa Yesu na wafuasi wake!!
Ndugu Zitto,
hakuna,
HAKUNA,
hakuna aya hata moja ya Biblia inayosema Yesu ni Israeli.
Hakuna.
 
Ndugu Zitto,
hakuna,
HAKUNA,
hakuna aya hata moja ya Biblia inayosema Yesu ni Israeli.
Hakuna.
Israel maana yake ni MSHINDI sio lazima imaanishe lile taifa la wana wa yakobo

Hoseah 11:1
1 Israeli alipokuwa mtoto, nalikuwa nikimpenda, nikamwita mwanangu atoke Misri

Na hapa alikuwa anatabiri kuwa mtoto wake yaani Israel/Yesu ataenda misri na baadae kurudi Judea sababu ya kumuepusha na hasira za Herodius.

Unabii unatimia hapa

Mathayo 2:15
15 akakaa huko hata alipokufa Herode; ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii (Hoseah), akisema,''Kutoka Misri nalimwita mwanangu''

Sasa huoni connection kati ya huo mstari wa Hosea wa kuhusu Israel kuwa alimaanisha Yesu na sio Israel?? Au Mathayo amepotosha mkuu

Zunguka kote duniani kwa vyuo vyote vya theologia na wachungaji.... Ni hivi unabii wa Agano la kale unahusu kuja kwa Yesu sio kitu kingine chochote. So zakaria hapo alikuwa anatabiri kwamba Yesu ambaye of course atazaliwa Israel ndio atakuwa hilo JIWE so huo ni unabii wa kiroho kuwa Yesu atakuwa TOP wa wote ila haimaanishi Israel eti ya kina Netanyahu ndio ilitabiriwa hapo hapana.... Ni Israel chini ya YESU

I hope tumeelewana
 
@zitojunior
yesu hakupata kwenda misri,hiyo habari kaitunga mathayo kwasababu zake,
hiyo aya inayodai,"nitamwita mwanangu israel kutoka misri"
haihusiani na yesu,japo mathayo alitaka kuihusianisha kama kwamba ni unabii,
nikipata link ntakuwekea hapa usome mwenyewe
 
Naona sasa waarabu wamebadili gia angani, kutoka kuifuta kabisa Israel kwenye ramani ya dunia hadi kuifuta Tel Aviv na Haifa, baadaye watasema hawana shida na uwepo wa Israel.
 
@toyotaescudo,naona hujaziona twitter za Netanyau za hiyo jana huko poland,au labda umekosa mtu wa kukutafsiria,
actually arabs countries ndo wanaunda coalition na israel kuanzisha vita na iran,karibu nchi 60 zinakutana poland kupanga mikakati ya kupigana na iran
 
@toyotaescudo,naona hujaziona twitter za Netanyau za hiyo jana huko poland,au labda umekosa mtu wa kukutafsiria,
actually arabs countries ndo wanaunda coalition na israel kuanzisha vita na iran,karibu nchi 60 zinakutana poland kupanga mikakati ya kupigana na iran
BIBI anawachezea picha hawatakuja kumsahau. atawachonganisha halafu atasogea nchi mojawapo iliyokaribu na Iran ili amfundishe adabu kupitia huko. maana Israel na Iran hawapakani
 
Acha kupotosha mkuu mbona second congo war Rwanda alipambana na mataifa zaidi ya 13 na aliyamudu tena ndani ya ardhi ya DRC?? Ndio sembuse israel na hizo nchi 3 pekee??

Hapo bado hatujaongelea north korea ilivyomudu majeshi kibao mpaka UN ilivamia ila waliwamudu vilivyo ila sijaona mkiwasifia humu ila wangekuwa wamefanya Israel mngewakuza sana kwa hoja ya taifa teule!!

Mahaba ya kidini yametuharibu sana waafrika
Fact aise kumbe north Korea ni gangwe hivyo

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Tatizo la iran na hizi nchi,sio kwamba iran kafanya kitu kibaya,but growing iran influence in middle east ndo kitu kinawafanya wahangaike na kufikiri Persian empire inarudi,
tumeona iraq uchaguzi umepita na imeundwa serikali ambayo iko influeced na iran japo marekani anajitahidi isiwe hivyo,
kule lebanon juzi imeundwa serikali ikiwa na mawaziri 15 wa kikristo,6 sunni na 6 shia,lakini bado iko under iran influence,
so hapa wanachanganyiwa watafanya nini kuizuia persia empire,
jibu lao ni kuanzisha vit na iran,
lakini iran kama iran haijalazimisha nchi yeyote kuwa rafiki ,matendo yake ya kiutu ndo yanafanya nchi zivutike na iran
 
Sio kweli wayahudi ni watu wa sifa sana
Kinacho wasaidia Wayahudi kupandikiza informers wao hapo middle east ni hiyo rangi yao mchanganyiko; hawa wana wa Ibrahim, Isaka na Yakobo/Israel ni hiki, wapo wenye asili ya kiarabu, wapo wazungu (ndio hawa tunao wajua wengi ) wapo blacks etc,sasa sometimes Waarabu hua wanapanga mission zao dhidi ya hawa watu wakidhani wote ni waarabu wenzao, kumbe sometimes there is a green snake in/on the green grass then is difficult to differentiate between the 2. Hope bado tunakumbukumbu za alicho kifanya Osama kule Pentagon na WTC September 2001, pale kwenye lile jingo la WTC (world trade centre) kulikua na ofisi nyingi tu za Wayahudi na Wayahudi wengi tu walikua wakifanya kazi kwenye hilo JENGO but kitu cha ajabu sana hakuna Myahudi hata mmoja aliye KUFA kwenye yale mashambulizi; kilicho wasaidia Wayahudi ni hi kitu, walipandikiza members feck ndani ya kundi la Al Quider lilikua linaongozwa na mzee mwenye akili nyingi sana bwana Osama Bin Laden, hao ndio wali likisha information kwa Mossaid

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Back
Top Bottom