rosmariini
Senior Member
- May 6, 2017
- 158
- 318
Upupu1940: Denmark, Norway, Luxembourg, Belgium, Netherlands, France, Channel Islands
Hitler alipigana na hayo mataifa na aliwachapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upupu1940: Denmark, Norway, Luxembourg, Belgium, Netherlands, France, Channel Islands
Hitler alipigana na hayo mataifa na aliwachapa.
Ndiyo umejibu au umefanyaje?
That is one of schools of thought. Kuna hiyo nadharia ni dhaifu.Ashkenazi Jews si Wayahudi wa asili, ni kabila moja ya eastern Europe iliyobadili dini na kuwa Wayahudi. Hii kabila inajulikana kama Khazar.
Maandiko gani.Kwa mjibu wa maandiko mfalme Koreishi ni Masiha,aliewakomboa wayahudi kutoka utumwani Babel
Kweli mkuu? Mbona Iran kashaivamia Israel Mara nyingi tu na bado hawajafanya chochote mpaka leoAyatollah ni kelele tu Mkuu ila anaujua vizuri moto wake endapo atafanya kosa la kujaribu kurusha bomu Israel; Iran itakula kichapo ambacho hakijawahi kufikiriwa!
Leta uthibitisho. Kukanusha peke yake haitoshi.
WE JAMAA NDO HUJUI KAMA USA IMESHIKILIWA NA ISRAEL
FANTA UTAFITI KIDOGO SIO UNAKUA MBISHI BILA FACTS