Talibani wameendelea kugain maeneo Afghanistan..na hata siku nne zilizopita walikwa na negotiations na marekani..Jaribu kuangalia VICE utaona jamaa wanavyozidi kugain controll, Usisome na kusikiliza sana vyombo vya habari kutoka west wanaficha mambomengi sana
Hawa Taliban Ni watu wa ajabu Sana miaka zaidi ya 15 wako vitani na hawajawahi shindwa
Sent using Jamii Forums mobile app