Iran Kapeleka Ujumbe Jana Hakuna Red Line

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
10,597
Reaction score
13,980
Iran jana kamtembezea kichapo Israel hakijawahi kutokea maisha yake na kawafikishia message US kabla ya Israel hakuna cha Red Line kwenye vita hi.

Israel alizowea kupiga Hospital kule Gaza na kaenda kupiga Hospital Iran alidhani Iran hata jibu kwa kupiga Hispital jana kapiga Hospital kule Israel.

Iran jana kaonyesha wazi ushindi wanao tangaza US na Israel ni wa propoganda tu, wako wajinga walio sema Iran kaishiwa Missiles wako waliosema hana uwezo wakurusha Missiles kama mwanzo wako wapi.

Alianza jana kuwarushia Missiles 3 afu akawacha waone kama hana uwezo wakurusha Missiles kwa wingi kilicho tokea badaye ni kipigo cha mbwa koko hakijawahi kutokea.

Israel aliamini wanacho sema Iran kipigo cha jana kuamkia leo kitakuwa kikubwa sana wakazuia media na watu wasirecords video vipi Missiles za Iran zinashuka kama mvua hahaha

View: https://youtu.be/ZY3JpIoh1ho?si=FXwy133KLuw3-Lot

View: https://youtu.be/ztzrGMc8VQ4?si=zXxQGoiKnmLfnjy_

Police wanazuia media wasiende sehemu zilizo pigwa vibaya sana kuficha aibu

View: https://youtu.be/qQfw1yGj_Uo?si=G4loIV9abfMbEyBK
 
leaders starting war,
anytime they want,
some for their rights,
some for fun and their own glory,

letting people die,
for the wrong that they do,
ooh it's painful,
come on little boy say prayer before you sleep,
little boy went down on his knees and he said,

crazy world (luck dube ).
 
Mwana kuli find mwana kuli get. Israel na bwana yake US ni hovyo sn. Badala ya kulenga maeneo ya kijeshi wao wanapiga raia wasio na slaa. Wamegeuza gaza km punching bag lao
 
Tunataka kichwa cha Ayatollah ww endelea na propaganda Mwarabu koko wa Mchambawima !
Sasa kwani huyo Ayatollah ndo Iran. Mbona wameua majenerali kibao lakini moto upo pale pale. Hamas imewafanyaj, mbona viongozi wao kibao wameuwawa lakini hadi Leo Hamas wapo wanadunda tu.
 
Subiria kipondo toka kwa Yahudi.
? Si mmeulilia
 
Missiles za Iran zilipumzika tu kama firecrackers, hakuna damage ya kweli. Hiyo message ni kwa headlines tu, maana real battle bado haijaanza. Keep calm, hakuna shock huko.
Acha kukariri na ushabiki. Trump kayaona madhara yake. Wewe uko mpilimbi unasema hakuna kitu. Haya Trump kishaidhinisha jeshi la US liishambulie Iran. Iran safari hii kafanya kile, dunia haikutegemea atafanya pamoja na vitisho vyote vya US.
 
Iran bado anacheza michezo ya kitoto. Their moves are more like playground tantrums kuliko strategy za serious power politics. While US and its military make calculated decisions, Iran’s actions bado ni response za hisia na show-off, si za kweli kuweza kuleta mabadiliko makubwa.

Ukiandika kishabiki, nakujibu kishabiki,, lete hoja, usiwe kama bi ushungi kuniletea michambo.
 
Wewe unaambiwa ukweli...
Hivi unaweza kujibu kwanini Trump anaweka vikao kila muda kutaka kuingilia hii vita?

Unaelewa hilo ni kwanini?

Ni kwa sababu Israel inazidiwa, ADs zimekuwa exhaust kwa kuzifanyisha kazi ngumu mfululizo usiku na mchana kuzuia hypersonic ambazo hazizuiliki... pia Israel wanaishiwa interceptors za ADs.. soon Israel haitoweza kuzuia mashambulizi..

Kingine kuipiga Iran ni mpaka US, EU na Israel wapeleke infrantry... na hapo hawatoweza...

Israel kaua high ranking officers wa Iran lakini Iran ime recover haraka na ni kitu kime wa surprise Israel...

Ni sawa na unamnyemelea adui yako unayejua ana nguvu kukuzidi, unataka kum time kwa kumpiga na kitu kizito kichwani ili afe, ajabu unampiga kichwani lakini humpati vyema, anaamka na majeraha kidogo na kuanza kupambana na wewe, hapo lazima uombe msaada, and that is what happens in Middle East...

Netanyahu kila siku anaomba US aingie... kumbuka Israel inatumia nguvu zake zote na resources zake zote kwa sasa... kasoro nuclear..
 
Haya ni mawazo ya upande mmoja tu. Trump anafanya vikao si tu kwa ajili ya vita, bali pia kwa maslahi ya kisiasa na kiuchumi ya Marekani.

Kuingilia mizozo ya Middle East ni mbinu ya kawaida ya Marekani kudumisha ushawishi wake eneo hilo na kuzuia maadui wa kimataifa kuimarika.

Israel si dhaifu kama unavyodai; ina msaada mkubwa wa kijeshi na kiufundi kutoka Marekani. Pia, vita si tu kuhusu nguvu za kijeshi, bali ni siasa, diplomasia, na ushawishi wa kanda. Trump anajua hili, na vikao vyake ni sehemu ya mchezo mkubwa wa geopolitics, sio tu kuokoa Israel kama unavyosema.
 
Iran jana kamtembezea kichapo Israel hakijawahi kutokea maisha yake na kawafikishia message US kabla ya Israel hakuna cha Red Line kwenye vita hi.

Israel alizowea kupiga Hospital kule Gaza na kaenda kupiga Hospital Iran alidhani Iran hata jibu kwa kupiga Hispital jana kapiga Hospital kule Israel.

Iran jana kaonyesha wazi ushindi wanao tangaza US na Israel ni wa propoganda tu, wako wajinga walio sema Iran kaishiwa Missiles wako waliosema hana uwezo wakurusha Missiles kama mwanzo wako wapi.

Alianza jana kuwarushia Missiles 3 afu akawacha waone kama hana uwezo wakurusha Missiles kwa wingi kilicho tokea badaye ni kipigo cha mbwa koko hakijawahi kutokea.

Israel aliamini wanacho sema Iran kipigo cha jana kuamkia leo kitakuwa kikubwa sana wakazuia media na watu wasirecords video vipi Missiles za Iran zinashuka kama mvua hahaha

View: https://youtu.be/ZY3JpIoh1ho?si=FXwy133KLuw3-Lot

View: https://youtu.be/ztzrGMc8VQ4?si=zXxQGoiKnmLfnjy_

Police wanazuia media wasiende sehemu zilizo pigwa vibaya sana kuficha aibu

View: https://youtu.be/qQfw1yGj_Uo?si=G4loIV9abfMbEyBK

TV yenyewe unawashia battery za n70 huko kimbiji.

Sasa hayo ya Irani unayajulia wapi
 
Wewe unaambiwa ukweli...
Hivi unaweza kujibu kwanini Trump anaweka vikao kila muda kutaka kuingilia hii vita?

Unaelewa hilo ni kwanini?

Ni kwa sababu Israel inazidiwa, ADs zimekuwa exhaust kwa kuzifanyisha kazi ngumu mfululizo usiku na mchana kuzuia hypersonic ambazo hazizuiliki... pia Israel wanaishiwa interceptors za ADs.. soon Israel haitoweza kuzuia mashambulizi..

Kingine kuipiga Iran ni mpaka US, EU na Israel wapeleke infrantry... na hapo hawatoweza...

Israel kaua high ranking officers wa Iran lakini Iran ime recover haraka na ni kitu kime wa surprise Israel...

Ni sawa na unamnyemelea adui yako unayejua ana nguvu kukuzidi, unataka kum time kwa kumpiga na kitu kizito kichwani ili afe, ajabu unampiga kichwani lakini humpati vyema, anaamka na majeraha kidogo na kuanza kupambana na wewe, hapo lazima uombe msaada, and that is what happens in Middle East...

Netanyahu kila siku anaomba US aingie... kumbuka Israel inatumia nguvu zake zote na resources zake zote kwa sasa... kasoro nuclear..
Ndugu hata US yupo ndani ya vita hii ya kujidai itaingia wanamtisha Iran. Lakini Iran anasubiri atangaze official kaingia ili asambaratishe base zake zote pale Middle East.
 
Back
Top Bottom