Tetesi: Iran: Israel inajiandaa kutushambulia

Tuliza kisimi dogo
 
Haijalishi mikakati hakuna wa kuishinda kivita Israel hapo mashariki ya kati, in fact end time prophecies ipo wazi sana kuwa russia atayakusanya mataifaya kiislamu na mengine mengi tu kutaka kuifuta Israel na bado Israel itashinda.
 
mbona sasa air defence systems hazikumsaidia dhidi ya kipigo cha israel hadi kufikia hatua ya kudanganya kutungua F35 tano?
 
Hawakufeli, Wayahudi wangeshambuliwa kwanza wangepata support kubwa ya kijeshi kutoka uingereza, ujerumani, Ufaransa,Japan etc. Wangejiportray kama victims na wangeweza kusababisha damage kubwa mno kwa Iran, Lebanon na Yemen.
Punguza mahaba we tumbili
 
Yaan jamaa unasimulia utazan wewe ni moja wapo wa majenerali wa Iran
Kumbe mndendeule mmoja tu na kobaz zako pemben
 
Umenikumbusha kisanga cha Saddam Hussein wakati wa vita ya Ghuba kwa bahati mbaya hata Saddam alikuwa victim wa crafty Russian Military baada ya Rais Bush jr kumuomba mlevi Boris Yeltsin Rais wa Urusi wakati huo kwamba wawapatie jeshi la Merikani CODE za Iraq's integrated air defense systems, Boris Yeltsin akampatia Rais Bush jr secret codes za ADS zilizo nunuliwa na Saddam kutoka Urusi, kilicho fuata ni ADS zote za Iraq zikawa jammed kwa kutumia specialized air force bombers kutoka US Airforce baada ya kutekeleza operation hiyo, ndio baadae zikatumwa squadrons za jetfighters kushambulia jeshi la Saddam Hussein pamoja critical infrastructures za nchni Iraq!!

Nafikiri baada ya Iran kukumbuka tukio la Iraq ndio maana Iran ili-decline offer ya URUSI kunatokana na kusalitiwa na Urusi during Gulf WAR.
 
Hawakufeli, Wayahudi wangeshambuliwa kwanza wangepata support kubwa ya kijeshi kutoka uingereza, ujerumani, Ufaransa,Japan etc. Wangejiportray kama victims na wangeweza kusababisha damage kubwa mno kwa Iran, Lebanon na Yemen.
Sio rahisi hivyo mkuu kwa UK, Germany, France na Japan waingie mzima mzima kumuunga mkono Israel.
Maana vita ingegeuka ya kikanda na mind you Israel angewekwa mtu kati,maana ingegeuka ya kikanda na ya kidini.
 
Kosa la Israel ni anataka precision hivyo hutumia sana ndege. Iran yeye anayarusha tu litapotua si jukumu lake. Ila Israel naye akitaka alipize anaweza ifanya Iran iwe Gaza
Israel kufanya Iran iwe Gaza labda kwa kutumia nuclear bombs,ila sio kwa missiles Wala kwa ndege hapo unatudanganya.
Na tena hapo hata hiyo vita ya siku 12 alifanya sabotage kwenye ADS za Iran ndio akaweza kuleta ndege.Ila asingefanya sabotage kwenye ADS za Iran basi asingeweza kufanya kama alivyofanya October mwaka jana. Shambulizi lingezuiliwa kama la mwaka jana.
Israel alitamani sana kuichakaza Iran kama Gaza ila alishindwa na huo ndio ukweli Bavar-373 chache zilizobaki zilipambana sana ku contain mashambulizi.
Na pia Israel hana missile power kama ya Iran.
Angethubutu aende msobe msobe kwa kurushiana makombora na Iran Sako to bako angechakaa mapema sana.
 

Makobazi hatuwezi. Iran yenyewe ipo hoi kwa sasa... Ilishambuliwa vibaya kimkakati sana. Tukaishia tu kulipua walipo raia. Israel wanaingia Iran kama msalani na kuchafua kila kitu wanarudi kwao kwenda kula chapati na maziwa. Wamepiga vinu vya nyuklia na kuua makamanda na wanasayans wengi. Sisi makobazi hatuna ushirikiano.
 
Makobazi hatuwezi. Iran yenyewe ipo hoi kwa sasa... Ilishambuliwa vibaya kimkakati sana. Tukaishia tu kulipua walipo raia. Israel wanaingia Iran kama msalani na kuchafua kila kitu wanarudi kwao kwenda kula chapati na maziwa. Wamepiga vinu vya nyuklia na kuua makamanda na wanasayans wengi. Sisi makobazi hatuna ushirikiano.
 
Rising lion iligeuka downing lion japo aliishambulia iran kwa kushitukiza,ila kwa kilichowakuta hawawezi kuanzisha mchezo tena


Makobazi hatuwezi waisrael sisi ni maneno tu na kulia lia. Iran yenyewe ipo hoi kwa sasa... Ilishambuliwa vibaya kimkakati sana. Tukaishia tu kulipua walipo raia. Israel wanaingia Iran kama msalani na kuchafua kila kitu wanarudi kwao kwenda kula chapati na maziwa. Wamepiga vinu vya nyuklia na kuua makamanda na wanasayans wengi. Sisi makobazi hatuna ushirikiano.
 
Mzee unalazimisha ionekane Israel alisaidiwa
 
Vita ni mkakati sio kujipigia tu popote ndio maana Iran alirusha makombora mengi bila data...ndio maana mpaka Leo kaishia kupiga majumba,lakini Israel alikuwa na mkakati kwamba Wanataka kuua viongozi tu ndio maana ile vita imeua viongozi wengi wa jeshi na wanasayansi kwa sababu ndio lengo lao...ilifika sehemu walitaka hadi kumuua ayatollah marekani akawakataza....iran yenyewe inakili wameuliwa watu zaidi ya 800 achilia mbali viongozi....ukija israel kwa jinsi walivyozungukwa na maadui pande zote inasababisha nchi nzima kuwa na shelter nyingi chini ya ardhi....98% ya waisrael walikuwa chini kipindi cha vita.....nakukumbusha tu vita ni plan ndio maana hujasikia israel karusha ballistic missile kwenda Iran sio kama Hana anayo shehena ya kutosha kwa sababu ana plan yake ndio maana alikuwa anatumia kurusha mabom kutoka kwenye ndege....
 
Maskini Ayatollah Israel mtoa roho wanamsaka. awamu hii nasilia myahudi kaapa Iran haitajua kapigwa na nini, toka wapi, muda gani na itakuwa ni pigo takatifu la laser weapon from space, yaani ni moto toka angani, au itakuwa kama ile walichoma hkikopta ya Rais wa Iran n kumuua bila hata mtu yeyote kujua..!! Laser Weapon hatari sana sana from space
 
Maskini Ayatollah Israel mtoa roho wanamsaka. awamu hii nasikia myahudi kaapa Iran haitajua kapigwa na nini, toka wapi, muda gani na itakuwa ni pigo takatifu la laser weapon from space, yaani ni moto toka angani, au itakuwa kama ile walichoma hkikopta ya Rais wa Iran n kumuua bila hata mtu yeyote kujua..!! Laser Weapon hatari sana sana from space
 
Iran wamesema ni vita vya mwisho/mustakabali, israel si walianzishe chapu tambo ziishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…