Iran imekwisha!

Kaka hapa unachangaya mambo ya ajabu.
Uzayuni ni harakati ya kihistoria iliyoweka misingi ya kuundwa kwa Dola la ISraeli.

Hizi "miniti ya wazee wa Zion" ni andiko la uwongo lililotungwa katika Urusi mnamo 1903 na kusambazwa na watu wenye chuki dhidi ya Wayahudi.
"The Protocols is one of the best-known and most-discussed examples of literary forgery, with analysis and proof of its fraudulent origin going as far back as 1921"
Soma zaidi na uchungulie marejeo mengi yaliyomo hapo.
The Protocols of the Elders of Zion - Wikipedia, the free encyclopedia
Kipala

Isome hiyo the protocols halafu uone jinsi dunia ilipofika na hayo yaliyoandikwa humo ulinganishe na uhalisia wa mwenendo wa dunia. Unaweza acha kinywa wazi.

Inawezekana wakasema ni ya uongo, wakaikana lakini mkuu kuna mshabihiano wa kiwango cha juu ya maazimio ya the protocols na dunia inavyoendeshwa leo.
 
ukweli ni kwamba waisrael ndio wanashika dunia sasa kwan mataifa yote dunian yamewekwa chini ya mfumo ambao unaongozwa nao,World Bank,UN, IMF,zote hizo na mataifa kama US na mengine makubwa yameshikwa na wayahud ,matajir wakubwa dunian kama akina gates,Rockefeller na wengine wengi wana asili ya kiyahud ingawa wanaishi nje ya israel kwani si wayahudi wote walirud mwaka1948 ilipoanzishwa tena taifa la Israel ndani ya Palestina
Mpendwa je unapenda sana riwaya na hadithi za Abunuwasi?
Au ulifundishwa si vema kuuliza maswali bali muhimu ni kuamini??

Basi wala Gates wala Rockefeller wana punje ya Uyahudi ndani yao. Mababu ya Gates wanajulikana hadi mwaka 1700 - wapi myahudi??? (isipokuwa unahesabu Adamu na Hawa ???)

Wala watu wengine wengi ni wayahudi - maana wayahudi ni wachache sana duniani na wanajivunia kuhusu wataalamu au wenye tuzo la Nobel au wasanii au wenye mafanikio mengine kutoka kundi lao na wanapenda kujitangaza jinsi wanavyochangia kwa maendeleo ya binadamu - je wamfiche nani??
 
Kipala

Isome hiyo the protocols halafu uone jinsi dunia ilipofika na hayo yaliyoandikwa humo ulinganishe na uhalisia wa mwenendo wa dunia. Unaweza acha kinywa wazi.

Inawezekana wakasema ni ya uongo, wakaikana lakini mkuu kuna mshabihiano wa kiwango cha juu ya maazimio ya the protocols na dunia inavyoendeshwa leo.
Mpendwa nilikuomba usome marejeo katika nukuu niliyokupa. Hujasoma, ee?

Hizi "miniti za wazee wa Zion" ni uwongo - sio labda lakini hakika!
tangu miaka 90 inajulikana ni nani aliyezitunga yaani Mrusi Pyotr Ivanovitsch Rachkovski pamoja na wasaidizi wake.

Nimewahi kusoma. Sijaona utabiri wala kitu chochote chenye maana. Ujinga mtupu.

NB: Kuhusu video links zako: je unapenda kweli kutangaza hapa kazi za watu wajinga na wenye chuki? Hujui ya kwamba waliosambaza hizi "miniti" ni watu na wasaidizi wa KukluxKlan waliokandamiza watu weusi huko Marekani?
Sasa unaleta hapa filamu za wajukuu wao.
Aibu!
 
Mpendwa je unapenda sana riwaya na hadithi za Abunuwasi?
Au ulifundishwa si vema kuuliza maswali bali muhimu ni kuamini??

Basi wala Gates wala Rockefeller wana punje ya Uyahudi ndani yao. Mababu ya Gates wanajulikana hadi mwaka 1700 - wapi myahudi??? (isipokuwa unahesabu Adamu na Hawa ???)

Wala watu wengine wengi ni wayahudi - maana wayahudi ni wachache sana duniani na wanajivunia kuhusu wataalamu au wenye tuzo la Nobel au wasanii au wenye mafanikio mengine kutoka kundi lao na wanapenda kujitangaza jinsi wanavyochangia kwa maendeleo ya binadamu - je wamfiche nani??

Kwa sababu hizo na kwa sababu ya umiliki wao wa vyombo vyote vikuu vya habari ndiyo maana hadi leo watu wengi bado wamelala usingizi hawajui mbinu za hawa Wazayuni. Watu hawa ni wajanja wa hali ya juu kiasi unawakuta pande zote, za heri na za shari. Ukitazama watu wanaolingania haki za binadamu duniani wengi ni wa mtandao huu, halikadhalika wanaozivunja haki hizo! Wafadhali wakuu wa vyama viwili vya kisiasa Marekani ni watu hawa. Wanajiweka katika nafasi zote ili useme kama ulivyosema hapo juu.
Nakupa testi: hebu fuatilia majina ya watu wote waliokuwa na walio sasa msitari wa mbele katika kuchochea vita dhidi ya Iraq na sasa vikwazo na sauti za kuchochea vita dhidi ya Iran. Halafu ufuatilie sauti za wakuu walio msitari wa mbele katika kukataza vita kama hiyo!
Ndipo nikasema vita hii itachukua muda mrefu hadi watu waamke. Ingekuwa Wamarekani washa-amka by this time, lakini wengi ndio kwanza wanashabikia mtandao huu ambao umewatia katika majanga na hadi nchi yao- tajiri kupita zote duniani- kufilisika! Ndiyo maana wanatuita 'goyim'
 
Yasipo tokea haya maandiko yatatimizwaje?
The book of revelation imemaliza kila kitu hamna cha kuongeza wala kupunguza

Tuache ndoto za mchana nor israel or iran will going to stand,USA ana play a very contradictory role kwa kujifanya anaisapot israel lakini hamna kitu,hapa anatumia theory of DEVIDE AND RULE,try to think outside the box utaona kuwa Us atakapo ruhusu Israel kuivamia Iran ndipo kutakuwa na 3rd ww ambapo nchi zote zitapigana in either side,hapa USA ata gain advantage kwa Kuingiza NWO baada ya ku wa weaken both moslems and christians,microchip zipo tayar kwaajili ya NWO,hebu tusubiri uchaguzi upite obama arudi white house tuone up next in world politics,ukijua sababu za kuiangusha libya na kusababisha political instability in syria ndo utajua USA NA UN NDO ILE CHAPA 666 ASOMAYE NA AFAHAMU
angalia Un walipokuwa wakisherekea miaka 60 toka ianzishwe utaona walivyo design 666 kwa mfumo wa
60 60 60
angalia john terry compaign watu wamebeba mabango yenye 666 hakianani ninayo mambo meng sema nimechoka ku type fungua hiz attachments
 
.. Nakupa testi: hebu fuatilia majina ya watu wote waliokuwa na walio sasa msitari wa mbele katika kuchochea vita dhidi ya Iraq na sasa vikwazo na sauti za kuchochea vita dhidi ya Iran. Halafu ufuatilie sauti za wakuu walio msitari wa mbele katika kukataza vita kama hiyo!
Bado riwaya, ee? na unapendelea kutembea gizani badala ya kuleta majina namba??

basi:
1. Majina ya watu waliochochea vita dhidi ya Iraq: Bush, Cheney, Powell, Blair. Nani Myahudi??
2) Wayahudi wengi wa MArekani walipinga vita ya Iraq kuliko Wamarekani wengine
FOR IMMEDIATE RELEASE
MARCH 19, 2007
3.02 PM
CONTACT: Jews Against the War
Aryeh Cohen, [COLOR=#49535A !important] 310-569-9193 [/COLOR] or[COLOR=#49535A !important] 310-440-1262 [/COLOR];
Shaul Magid, [COLOR=#49535A !important] 812-856-1469 [/COLOR] or[COLOR=#49535A !important] 812-334-2133 [/COLOR]
Coalition Announces Launch of �Jews Against the War� to Give Voice to Growing Anti-War Jewish Majority
New Gallup Poll Shows 77% of American Jews Oppose War
LOS ANGELES - March 19 - On the fourth anniversary of the war on Iraq, a coalition of Jewish leaders announced the launch of �Jews Against the War� (JAW), an organization dedicated to ending the Iraq war and preventing one with Iran. The group will also focus on mobilizing the overwhelming majority of Jewish Americans opposed to the war - demonstrated by a new Gallup poll showing 77% of Jews believe the Iraq War was a mistake, compared with 52% of the general American public....
 
Yasipo tokea haya maandiko yatatimizwaje?
The book of revelation imemaliza kila kitu hamna cha kuongeza wala kupunguza

Tuache ndoto za mchana nor israel or iran will going to stand,USA ana play a very contradictory role kwa kujifanya anaisapot israel lakini hamna kitu,hapa anatumia theory of DEVIDE AND ROLE,try to think outside the box utaona kuwa Us wataporuhusu Israel kuivamia Iran ndipo kutakuwa na 3rd ww ambapo nji zote zitapigana in either side,hapa USA ata gain advantage kwa Kuingiza NWO baada ya ku wa weaken both moslems and christians,microchip zipo tayar kwaajili ya NWO,hebu tusubiri uchaguzi upite obama aqudi white house tuone up next in world politics,ukijua sababu za kuiangusha libya na kusababisha political instability in syria ndo utajua USA NA UN NDO ILE CHAPA 666 ASOMAYE NA AFAHAMU
angalia Un walipokuwa wakisherekea miaka 60 toka ianzishe utaona walivyo design 666 kwa mfumo wa
60 60 60
angalia john terry compaign watu wamebeba mabango yenye 666 hakianani ninayo mambo meng sema nimechoka ku type fungua hiz attachments
hizi apa nilisahau kuzi attach
 
Attachments

  • 666kerry1.jpg
    666kerry1.jpg
    15.1 KB · Views: 40
  • satanic-goat.gif
    satanic-goat.gif
    19.8 KB · Views: 207
ndugu yangu kipala pole sana kwa kutojua kinachoendelea,kuna kitabu nimekisoma kinaitwa jews ,author nimemsahau wanaelezea historia nzima ya wayahud kuanzia Abraham mpaka sasa na majina yote ya watu maaruf ambao unawajua ww yapo humo na jinsi gani wanavyo jidisguise watu wasiwajue kama ni wayahudi kwani wayahudi ni watu waliopata mateso na kuchukiwa sana ulaya mpaka uarabun kutokana na wao kutokubaliana na dini za ukristo wala uislamu ,na wakristo wa zamani na nadhan mpaka sasa wanawachukia wakiamin ndio waliomuua mkombozi wao yesu na ndio maana kwenye biblia kama umesoma vema wanatofautisha kati ya wayahud na wanafunz wa yesu ingawa wote walikua wayahud hiyo ni kuonyesha chuki,na baada ya yesu kufa israel ilikuja kupotea katika ramani ya dunia na ile sehemu ikakaliwa na wapalestina kwani waisrael wlisambazwa dunia nzima na kama utafuatilia walikuja kuchukiwa dunia nzima kwani wao ndio walikuja kuwa wafanyabiashra wakubwa katika hizo nchi na kwa taarifa yako hii kitu inayoitwa riba ilianzishwa na wao kwan walikua wanawakopesha watu wasio wayahudi kwa riba kubwa ambayo inaongezeka kadr mda unavyoenda huku wakiwa hawawatozi hiyo riba ndugu zao wayahudi .na usione Hitler kuwachukia wayahudi tu bila sabab au kwa kudhan kwa kuwa alikua mfuasi wa shetan bali si hivyo la hasha aliona waziwazi dunia nzima matajir wakubwa na wanaoendesha hizo nchi ni wayahud ambao wanawanyonya wazawa na kuchukua nguvu kubwa kwani wayahudi walijipanga mda mrefu na maprotocol ya zionism ambayo ni kuja kuitawala dunia nzima
 
Mpendwa huko juu nilipinga madai yako nikauliza maswali. Badala ya kujibu maswali unanyamaza kuhusu yale uliyoleta juu na kuleta kingine (kitabu ambacho hukumbuki nani aliandika...)

Ukipeda kujadili - basi tujadioli kama watu wazima! Maswali yangui kwakop yalikuwa:

Basi wala Gates wala Rockefeller wana punje ya Uyahudi ndani yao. Mababu ya Gates wanajulikana hadi mwaka 1700 - wapi myahudi??? (isipokuwa unahesabu Adamu na Hawa ???)

Wala watu wengine wengi ni wayahudi - maana wayahudi ni wachache sana duniani na wanajivunia kuhusu wataalamu au wenye tuzo la Nobel au wasanii au wenye mafanikio mengine kutoka kundi lao na wanapenda kujitangaza jinsi wanavyochangia kwa maendeleo ya binadamu - je wamfiche nani??

Historia ya Biblia niache kando sasa inaonekana una habari chache sana.
 
unajua ni kazi ngumu sana kupata taarifa zao za ndani na ndio maana hawajitangazi kwani kugundua dunia nzima ikijua na kuielewa hii siri watarud kwenye mateso yaleyale ila soma hii [SIZE=+1]Nelson Rockefeller: The Rockefeller Family - Secret Jews!:[/SIZE]
A book overlooked by most people and published for sale mainly within the Jewish community states that the Rockefellers are Jews of Sephardic descent (meaning Spanish and Portuguese Jews). The book is entitled "The Grandees - America's Sephardic Elite." The author is Stephen Birmingham, who is recognized by the Jewish community as an expert on Jewish history.
The publisher of "The Grandees" is the Jewish owned publishing firm of "Harper and Row" of New York City. Mr. Birmingham also wrote the book "Our Crowd" about the family background of America's wealthiest and most successful Jews. Both books have been hailed by Jewish publications as first class works in the documentation of Jewish history.
In "The Grandees" Stephen Birmingham reveals the existence of a very rare book which was published only for Jews some years ago. The work was published only for Jews some years ago. The work was compiled by the Jewish historian Malcolm H. Stern and entitled "Americans of Jewish Decent." That book weighed 10 pounds and gave the history of 25,000 Jewish individuals in America. It is extremely interesting to note that only 550 copies of the book were printed and each copy was consecutively numbered. The book was delivered to the top Jewish community leaders in America for their personal reference files in dealing with and contacting Jews who are "Marranos" (those Jews who "PRETEND" to be Christians in their community but secretly hold to their Jewish faith and race when among their own kind).
Mr. Birmingham in "The Grandees" reports: "Who would expect to find the Rockefellers in the book." Stern's work traces what he calls the "Nobility of Jewry - the Sephardim who lived in Spain and Portugal as princes of the land." Many centuries ago the Jews flooded into Spain in great numbers and through usury and stealth became vast land owners. The Jews controlled both Spain and Portugal through their monopoly over the finances of the country.
It was in 1492 that King Ferdinand and Queen Isabella of Spain expelled the Jews from their country and confiscated their ill-gotten wealth. It was during this period that the Rockefeller family moved to the Turkish Empire which welcomed the Jews at that time, believing them to be a "poor persecuted people."
The grandfather of our former Vice-President Nelson Rockefeller, admitted that his family once moved from Turkey to France. It was from France that they moved to America. John D. Rockefeller, Sr., was a wealthy man even before he took over Standard Oil Co., which made their family one of the richest in the world. No one has ever explained how this family came into such wealth as soon as they arrived in America from France.
There is no known information on how the Rockefellers came into huge amounts of money in France. Some thing they got their money from the Rothschilds and were originally their agents in buying up Christian businesses in America. "Marranos" are Jews who "PRETEND" to convert to Christianity so as to deceive Christians in their business dealings, but secretly continued to practice Judaism in private rituals. For this reason, a Marrano family like the Rockefellers would make the perfect tool for the Rothschilds of France who have for centuries used secret agents to carry on their work.
"The Thunderbolt" was the first publication to bring Vice-President Nelson Rockefeller's Jewish ancestry to public attention. This information finally explains why he has always been able to work so closely with Jewish interests and why his administration as governor of New York was loaded down with Jews from top to bottom. His political campaigns of the past were always directed by Jews and he was always the support of the Jewish community in all of his political races.
Normally the Jews would not support a Christian multi-millionaire for political office because they would be afraid they could not control him after the election. The fact that Jewish community leaders have long known that the Rockefellers were fellow Jews goes a long way in explaining why the organized Jewish community has always supported the Rockefeller's political ambitions. Now we can see why Nelson and David Rockefeller boosted his fellow Jew Henry Kissinger into the Nixon administration and Kissinger in turn has used his position to bring his fellow Jew Rockefeller into power.
 
kuna kale ka wimbo tulikuwa tunaimba enzi za sunday school, Sayuuni sayuuni, nina imani kwa kwamba nitafiiika kumbe ndo ZION hahahahaha

Hata mwalimu aliyekuwa anawalisha hzo nyimbo hata yeye hajui maana yake nini. Duh!
 
Iran imejitakia yenyewe! jwa nini wao wanakataa holocoust? Hisbolla na Hamas ni maadui wa taifa la Israel, sasa kwa nini Iran imewajenga sana na silaha kali ili waiangamize Israel? Halafu Iran ina vibaraka wake hapa nchini ambao kila kukicha huandika mambo ya uongo kuhusu Israel magazetini. Sasa kweli Israel ikae kimyaaa wakati adui yake mkubwa antaka kutengeneza silaha za kumuuwa?
 
Back
Top Bottom